Kahaba kanifanya niwaze mambo mengi sana

Kahaba kanifanya niwaze mambo mengi sana

Kwanini achague kazi ngumu hivyo kwa ujira mdogo? Hiyo elfu mbili angeuza karanga angepata nyingi zaidi. Mi naona ni ukosefu wa akili. Ni Bora uamue kuwa kahaba first class kuliko wa buku mbili yaani hasara juu ya hasara
Anataka pesa ya haraka, karanga mpaka akaange kisha kuzifunga na kuanza kuzaa hivyo anaona mambo ni mengi muda mchache
 
Sikuwah nunua dyudyu na sidhani kama nitakuja fanya hivyo.Maana huwa nawaza sn kwnn nimfanyie hivi dada wa watu,kisa ana shida?
Wengine hawana shida kama unavofikiria, wapo wanasomesha watoto wao kwenye private schools kwa kupata pesa kwa njia hiyo.
 
Kwanini achague kazi ngumu hivyo kwa ujira mdogo? Hiyo elfu mbili angeuza karanga angepata nyingi zaidi. Mi naona ni ukosefu wa akili. Ni Bora uamue kuwa kahaba first class kuliko wa buku mbili yaani hasara juu ya hasara
anauza kwa wengi per day
 
Ana uhakika wa kuingiza 10000 kwa siku au kwa saa maana ni kibao 1 tu 2000 imeisha
Mi nawaza tu huyo anayejiuza kwa elfu mbili, Ni maisha magumu au karogwa? Upondwepondwe kwa elfu mbili kweli [emoji849]
 
Demiss na genge lao ni great thinker embu kuwa serious, bora yako wewe ulifight ukapata kibarua na una kwako maeneo ya ubungo.

wachache humu mnajielewa sio wote, humu ndani kuna majambazi ya mapenzi hasa full kununuliwa usiku kucha.
Mmmh, hizo details vipi unanifahamu kiasi hicho? Umenishtua hizi I'd fake hizi[emoji30]
 
Moyo mwema kwa kumlipa hela ya vocha??

Hapana ana roho mbaya Sana kwa kuwa amemhurumia halafu hata hajamsaidia kibaya zaidi Kaja hapa kumuandikia uzi.
Hela ya vocha ni kwako ambaye unazo nyingi but m nna kidogo alaf lengo la uzi huu ni kujaribu kufahamisha wengine wenye perception potofu juu ya watu hao kina dada
 
Back
Top Bottom