dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,846
- 61,879
Bora angesimama tu awajibike kwa kosa moja.Tukio lililozua taharuki jijini Dar-es-Salaam ambapo dereva wa gari kagonga boda, (inasemekana kafariki) kisha kukimbia kwa kasi
Boda wenzake wakaanza kumfukuza kwa kasi, kisha kumpata na hiki ndicho kilichotokea
View attachment 3650813
Gari za kuiba au kuazima zinapenda majanga.Niliona moja pale ubungo Riverside duuh gari ilipigwa afu alikuwa kachukua gari carwash
Na gari mtu asipotoa taarifa ya anakokwenda au adanganye atakutana na ajali huko anaanza kuzima simu anaweza kujipoteza..Gari za kuiba au kuazima zinapenda majanga.
Wanakimbia TuBoda waki gonga watu huwa wana simama kwani
Hao boda wavuta bangi ndiyo maana wanafumuliwa UBONGO ,sasa unakuja na jiwe unavunja gari ya watu maana yake ni nini?Tukio lililozua taharuki jijini Dar-es-Salaam ambapo dereva wa gari kagonga boda, (inasemekana kafariki) kisha kukimbia kwa kasi
Boda wenzake wakaanza kumfukuza kwa kasi, baada ya kumpata hiki ndicho kilichotokea
Eeeh mkuu baadhi zinakula majanga vibaya mnoGari za kuiba au kuazima zinapenda majanga.
Mjinga wewe hasara zaidi ya roho?😆😆😆 kuna ******* wanajua kutia hasara, yaani alivyovunja hicho kioo hata hajali
We kama siyo bodaboda basi unafikiria kwa kutumia makalio, na ilibidi ujiite Mr O, Unauhakika gani kama huyo mtu kaua. By the way ukivunja kioo inasaidia nini kama mtu kaua.Mjinga wewe hasara zaidi ya roho?