Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,227
Hii ni hatari sana,tena kwa usalam wa Nchi yetu.Kama ni kweli(Yes) hadi viongozi ambao wako kwa ajili ya kulinda maambo yahusuyo usalama wa nchi.\
Mwanakijiji umenishtua sana na hnaogopa sasa,Nilikuwa nahisi tu na kusikia kuwa kagoda ni dudu kubwa.
Asante kwa kumsaidia DPP,umewasilisha jibu ambalo pinda alilisahau jana kulijibu.
"kama CCM ikiacha misingi yange mie nitaiacha sababu CCM siyo Mama Yangu".
Misingi ya chama ilianza kupotea toka lini?
Ile Act ya 1996 inasemaje?
Interesting article.. I know for a fact kina Apson, Ballali, Mkapa... probably and Kingunge kweli wamepiga hili tukio and Rostam of course.. About Manji, and i heard this 4months ago.. walimuomba alipe Kagoda's share lakini jamaa hana hatia.. so Manji hawezi guswa.. Apson anasiri za nchi kumshtaki ni ngumu sana labda wamuuwe.. Nalo ni swala gumu, wale watu wa usalama loyalty yao iko kwao wenyewe.. That guy is dangerous not to mention ndio kampa JK nchi.. Yule mwanae Tom who is also a closet homosexual was given Ubunge as a token to Mzee Apson... hii situation ni ngumu sana... I didn't like the way the richmond deal imejaribu kuwa connected na Kagoda.. its an entirely unrelated issue.. hapo kidogo dots zilikuwa zinaungwa pale ambapo hazipo.. but otherwise there is a considerable amount of truth in what has been said hapa.

Hakuna mkuu,
Huyo apson anatakiwa kukamatwa mara moja na kuwekwa under detention.Inamaana hata angekomba hazina yote angeachwa tu kwa kuwa ana siri ya Nchi? Utaratibu huu sikubaliani nao lazima apatiwe kibano kikali.
Manji nae mwizi tu,kwanini akubali kuhusika katika kuficha wahujumu uchumi.Sijui sheria inasemaje,lakini i'm sure sheria ikinyooshwa kabisa this guy sholud be under blust furnance.
Hakuna cha huyu jamaa kuwa usalama wa taifa wala nini,hata mkapa ana siri za nchi,hata wakuu wa majeshi pia wanakua na siri za nchi but huwa wanafukuzwa kazi na kukamatwa jinsi Kabila alivyomtimua Kalembe. jeshi limekosa nidhamu.alifanya hivyo. Hapa kwetu usalama wa taifa pia umekosa nidhamu,huyu jamaa hatakiwi kuachwa kabisa,na sisi wananchi tumeshaelewa utovu wa nidhamu wa mkuu wa usalama wa taifa,serikali inabidi iachie hayo majina haraka sana
Hatutaki suluhisho lolote kati yetu na polisi, wala hatumtaki (Kamishna Alfred) Tibaigana sisi tunamtaka Lowassa, au waje gerezani Waziri wa Sheria na Katiba, Mary Nagu, Mkurugenzi wa Mashitaka Tanzania, Mwanasheria Mkuu, Mkurugenzi wa Upelelezi, au Hakimu Makazi Mfawidhi wa Mahakama ya Kisutu kufika kwao gerezani ndio utatuzi wa kilio chetu,
Hatutaki suluhisho lolote kati yetu na Rais, wala hatumtaki Pinda sisi tunamtaka Lowassa na wenzake wote waliohusika na RDC,KAGODA au waende Gerezani kufika kwao gerezani ndio utatuzi wa kilio chetu,