Kagera, Ngara: Magari ya Mizigo 5 na Trekta 1 yateketea kwa moto Rusumo

Ivi jamani kweli kabisa Mzee Mengi na chaneli zote awezi kabisa akaungana na dstv ama azam,Ama napo Serikali mpaka waridhie kuwaunganisha
 
Wahanga ni: wale waliopatwa na maafa pamoja na vifo.
Waathirika ni: wale walioguswa na athari za janga hilo kwa namna moja ama nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mhanga ni yule anayepatwa na jambo huku akijua fika ujio wa tukio na mara nyingi hua anapanga hilo tukio kwa mfano mtu anaye kwenda kujilipua mabomu miongoni mwa watu na kufa au kuumia kwa kusudio la kulipa kisasi au kufikisha ujumbe anaotaka kwa mamlaka au upande anao sigana nao kiitikadi au mtazamo. Mfano chanya ni kama vile mtu anaye chupa majini kwenda kumuokoa mfa maji na bahati mbaya akafa yeye au wote wawili, hapa tunasema alijitoa mhanga kwenda kumuokoa mwenzie.

Lakini muathirika mara nyingi hua hajui yajayo mbele yake na hufikwa na janga pasi kutarajia kwa mfano wale walio anguka na daraja kule Genoa nchini italia au wale waliopatwa na tetemeko la ardhi kagera, indonesia na kwingineko.

Maneno haya yana mantiki tofauti japo siku hizi hutumiwa kama neno moja.
 
Nasikia meza ya pili toka hapa tulipo kaa mtu anasema eti "niliposikia mzee ameenda nyumbani pande hizo nilijua tuu lazima kuna matukio sio ya kawaida tutayasikia"
Anamaanisha nini huyu? nisaidieni maana simfahamu hivyo siwezi kumuuliza
 
..umetokea moto kituo cha forodha Rusumo.

..magari yaliyobeba mafuta yamelipuka na kuungua.

..huu siyo moto wa kwanza kutokea hapo Rusumo.

..Jeshi la Zimamoto wameshindwa kuuzima imebidi waombe msaada wa helikopta toka Rwanda.

..huu ni uzembe uliopitiliza.

..Mnakumbuka wakati wa tishio la maandamano ya Mange Kimambi?

..Polisi ktk miji mbalimbali walionyeshi migari ya kutisha ya kupuliza maji na kuzima maandamano.

..Sasa kumbe Jeshi hilo halina magari ya kuzima moto hata ktk sehemu sensitive kama kituo cha forodha ktk mpaka wa Rusumo.
 
Back
Top Bottom