Kagera, Ngara: Magari ya Mizigo 5 na Trekta 1 yateketea kwa moto Rusumo

Yatokee maandamano ya ghafla kama hizo gari zitakutwa na maji...


Maandamo yana maandalizi, ila majanga ni kama kifo hakina/hayana hodi...

Siku ya kufa nyani miti yote huteleza...


Cc: mahondaw
 
Kwahiyo Rwanda wao walijuwa itatokea ndiyo maana wakaleta Helkopta kuzima huo moto?.
Acha kuonyesha upunguani wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua nyie watu mapimbi sana. Kijiografia hao Wa Rwanda ilikuwa rahisi sana kufika hapo na isitoshe huo ni mpaka Wa nchi mbili na kusaidiana ni muhimu. Msiwe mapimbi hivyo
 
..moto umetokea Tanzania.

..Polisi wa Tanzania wameshindwa kuuzima.

..badala yake Polisi wa Rwanda wamekuja kuuzima.

..haiingii akilini Polisi wa Rwanda wawe na utayari wa kuzima moto Tanzania wakati askari wa Tanzania hawako tayari.

..mimi kama mlipa kodi lazima nijiulize kodi yake unavyotumika ktk kuliwezesha jeshi letu la Polisi.

..nimeuliza busara ya kuwa na magari mengi ya maji ya washawasha lakini hatuna magari ya kuzima moto.
Kwanza police hawazimi moto, ni jeshi LA zimamoto. Pili huo mpaka unatumiwa na Rwanda na Tanzania hivyo kila nchi INA stake katika yanayoendelea hapo na kijiografia Rwanda walikuwa karibu zaidi. Ndiyo maana nasema msiwe na akili za kipimbi
 
Aibu kubwa..boda iko bize sana lakini haina magari ya zima moto! Eti helikpota ya Rwanda iliombwa kusaidia kuzima moto! Shocking hii! Hatuna hata zima moto mpakani!
 
Wenzetu nchi ndogo sana hadi helicopter ya zima moto kitu ambacho ni cha kufikirika kwetu,

Hata magari ya zima moto tu ni shida ikitokea emergency hawana hats maji Mali na uhai wa watu hupotea kwa uzembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom