Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,508
- 9,293
- Thread starter
- #21
Shukrani sana mkuuWishes to Meet Miss Zomboko.....@ miss Zomboko unaleta taarifa ngumu ngumu na za uhakika
Shukrani sana mkuuWishes to Meet Miss Zomboko.....@ miss Zomboko unaleta taarifa ngumu ngumu na za uhakika
Ngara ni wilaya iliyo mpakani na Burundi, probably ni mabomu yaloletwa na wakimbiziTuzidisheni maombi
Kutakuwa kuna sehemu tunakosea na mungu anaamua kutuadhibu
Watakuwa ni ccm tu hao
Maana kazi imewashinda
RIP!Poleni wafiwa.
Wafiwa wana majonzi we waleta siasa?Watakuwa ni ccm tu hao
Maana kazi imewashinda
Sidhani kama kila jambo mpakani ni Wakimbizi. Wanaweza kuwa wazawa ama yamelipuka yenyewe kutoka eneo yalipokuwepo. Tuwapende tu wakimbizi maana ndio wageni wetu wakazi.Mambo ya wakimbizi hayo.
kwa hiyo Mungu ndo kalipua bomu!!!? nchi hii ina vilaza wengi sanaTuzidisheni maombi
Kutakuwa kuna sehemu tunakosea na mungu anaamua kutuadhibu
miss zomboko Leta taarifa iliyoshiba, mwanajf mwenzetu Paskali Mayala yuko huko je hajadhurika?!!!
Takribani wanafunzi 3 wameripotiwa kufariki dunia mpaka sasa na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia mlipuko wa bomu wilayani Ngara.
Diwani wa Kata ya Kibogora wilayani humo, Ndg Adronizi Burindoli ameeleza kuwa jitihada za kuokoa uhai wa majeruhi zinaendelea..
Taarifa zaidi zitafuata...