Kagera - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

Matokeo ya Udiwani Bukoba Mjini kata ZOTE 14(official)

Kata Buhembe Diwani CCM
Kata Mafumbo Diwani -Chadema (UKAWA)
Kata Miembeni Udiwani- CCM
Kata Kagondo-NCCR (UKAWA)
Kata Bilele Udiwani -Cuf (UKAWA)
Kata Nshambya Udiwani-Chadema (UKAWA)
Kata Bakoba Udiwani - Chadema (UKAWA)
Kata Rwamishenye - CCM
Kata Nyanga Diwani -CCM
Kata Kibeta Udiwani-Chadema (UKAWA)
Kata Kashai Udiwani Chadema (UKAWA)
Kata Kitendaguro -ChADEMA (UKAWA)
Kata Hamugembe- Chadema (UKAWA)
Kata Ijuganyundo- CCM

Mbona kata ya kahororo haipo kwenye hyo list au !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mimi nipo Muleba Tibahijuka ameshindwa amekataa kusaini anasema anaenda mahakamani na bukoba mjini Kagasheki ameshindwa kwa upande wa bukoba vijijini Lweikiza(CCM) ameshinda.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Mimi nipo Muleba Tibahijuka ameshindwa amekataa kusaini anasema anaenda mahakamani na bukoba mjini Kagasheki ameshindwa kwa upande wa bukoba vijijini Lweikiza(CCM) ameshinda.

Kaaazi kwelikweli. Wakubali matokeo. Mbona kwingine Ukawa wamekubali tu yaishe?
 
attachment.php
attachment.php

Kwa habari nilizozipata kutoka chanzo makini inasemekana Lwakatare ametangazwa mshindi.
 
Attachments

  • BK1.jpg
    BK1.jpg
    21.8 KB · Views: 740
  • BK2.jpg
    BK2.jpg
    21.3 KB · Views: 751
Bukoba Mjini tumeshinda mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,hongera saaaaaaaaana engaju Lwakatare,,,huyu jamaa hakati tamaa jamani ,
 
Bukoba vijijini sehemu za Rukoma, Mbugwe,Kikomelo......uamuzi wenu mtaujutia, kuanzia leo sitaki kusikia oooh tumeuguza Ndolage gharama ya matibabu kubwa Ndebile tunaomba mchango wako au tuuze OMWATE, mimi nasema uza tu si mmeaumua kuridhika na hizo kanga na kofia na RUBISI! Kalye am.....g@si.
 
Hahahahaaaaa!
 
Mkuu Kuna Wilaya fulani nafanya Project fulani na wananchi wake ni Masiki wa kufa mtu ila nasikitika wamekumbatia CCM sasa nitawaonyesha kazi hakuna rangi wataacha kuona na itakuwa fundisho tosha kwao, tulikuwa tunawapiga tafu sana kwa kila kitu ila kwa sasa naweka ukuta wa Berini kabisa
 
Bukoba vijijini sehemu za Rukoma, Mbugwe,Kikomelo......uamuzi wenu mtaujutia, kuanzia leo sitaki kusikia oooh tumeuguza Ndolage gharama ya matibabu kubwa Ndebile tunaomba mchango wako au tuuze OMWATE, mimi nasema uza tu si mmeaumua kuridhika na hizo kanga na kofia na RUBISI! Kalye am.....g@si.

ahahaha,kamanda punguza munkari,mie niko izimbya!mpaka sasa ukawa tumeshachukuwa kata zfatazo:
izmbya,kyaitoke,mgajwale,katoro,nyakbimbili,rubale,kyamulaile,nyakato,kasharu,ruhunga na bado matokeo yanaendelea kutoka
 
Nimeambiwa na ndugu yangu huko Buyango, jimbo la Nkenge, matokeo kuwa
Kata ya Buyango- CCM
Bwanjai, Ruzinga na Kitobo _ Ukawa
 
Asante kamanda. Kazi nzuri
ahahaha,kamanda punguza munkari,mie niko izimbya!mpaka sasa ukawa tumeshachukuwa kata zfatazo:
izmbya,kyaitoke,mgajwale,katoro,nyakbimbili,rubale,kyamulaile,nyakato,kasharu,ruhunga na bado matokeo yanaendelea kutoka
 
NCCR MAGEUZI 44 CUF 45 CHADEMA 1440 ACT WAZALENDO 2048 CCM 2554. Wadau toeni maoni yenu kuhusiana na matokeo hayo
 
Back
Top Bottom