Kagera - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

Nimeconfirm kutoka Kwa jamaa yuko huko anasema kuna kila dalili za kutangaza mtu ambaye hakushinda.
 
Mbona mnatuchanganya?
Huo ndio utamu na uchungu wa JF. Hata mtu akiota ndoto anaibandika hapa. Mtu akitoka ulevini, anabandika habari aliyoisikia kilabuni. Mtu akiwa na taarifa nusu ukweli, nusu udaku, zinabandikwa hapa. Sasa hivi tunaendelea na ushabiki ule ule wa UKAWA vs FICIEM hata baada ya masaa 12 vituo vya kupigia kura kufungwa!!! Ndiyo, inachanganya hadi NEC watoe taarifa rasmi.
 
Kagasheki ameshinda.....Ukweli mchungu

Jamani hebu tuacheni taarifa za kinazi
Kama huna uhakika ni bora ukaweka wazi maana mnatuchanganya bana

Huyu jamaa mbona inasemekana yupo hoi hospitali na kalazwa...

Ni kweli...Wasiliana na mtu yeyote aliyepo Bukoba mjini sasa hivi...CCM wanashangilia


attachment.php
 
Matokeo ya Udiwani Bukoba Mjini kata ZOTE 14(official)

Kata Buhembe Diwani CCM
Kata Mafumbo Diwani -Chadema (UKAWA)
Kata Miembeni Udiwani- CCM
Kata Kagondo-NCCR (UKAWA)
Kata Bilele Udiwani -Cuf (UKAWA)
Kata Nshambya Udiwani-Chadema (UKAWA)
Kata Bakoba Udiwani - Chadema (UKAWA)
Kata Rwamishenye - CCM
Kata Nyanga Diwani -CCM
Kata Kibeta Udiwani-Chadema (UKAWA)
Kata Kashai Udiwani Chadema (UKAWA)
Kata Kitendaguro -ChADEMA (UKAWA)
Kata Hamugembe- Chadema (UKAWA)
Kata Ijuganyundo- CCM
 
matokeo ya udiwani bukoba mjini kata zote 14(official)

kata buhembe diwani ccm
kata mafumbo diwani -chadema (ukawa)
kata miembeni udiwani- ccm
kata kagondo-nccr (ukawa)
kata bilele udiwani -cuf (ukawa)
kata nshambya udiwani-chadema (ukawa)
kata bakoba udiwani - chadema (ukawa)
kata rwamishenye - ccm
kata nyanga diwani -ccm
kata kibeta udiwani-chadema (ukawa)
kata kashai udiwani chadema (ukawa)
kata kitendaguro -chadema (ukawa)
kata hamugembe- chadema (ukawa)
kata ijuganyundo- ccm
muleba kusin tibaijuka down
 
Bukoba mjini mabomu yanapigwa sasa. CCM na UKAWA wote wanashangilia ushindi. Nimeongea na askari mmoja muda huu na anasema lock-up zimejaa na hakuna pa kuweka mtu mwingine yeyote. Dalili zote babu Kagasheki kapigwa.
 
Daaah tusubiri maana hata haieleweki wengne wanadai khamis wengne lwakatare Kwa hyo tusubiri
 
Back
Top Bottom