Kagera/bukoba villages gallery

Kwakweli huku kuzuri sana mbali na hujuma zinazofanyiwa huu mkoa lakini ukweli utabaki pale pale

Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwai kusema kama matatizo aliyopitia kagera yangepitiwa na mikoa mingine cjui ingekuwaje tuanze na vita ya kagera njoo kwenye kuzama kwa meli, tetemeko, kampeini ya uujumu uchumi, mlipuko wa ugonjwa wa ukimwi na kupandishiwa alama za ufahulu kwa wanafunzi wanaotokea kagera. Yani ilifika atua ili uendelee na shule ukiwa wa kagera upate maksi kuanzia 81 wakati mikoa mingine walikuwa wanachukua ata wa 61.
 
Huu mkoa umefanyiwa hujuma sana na bado unaendelea kuhujumiwa kwa sababu mbalimbali ambazo hata hazifai kuanikwa hapa, lakini ukweli ni kwamba wakaazi wa maeneo haya kwakweli wanajitahidi sana sana tena sana. Ukitaka kujua vizuri zama vijijini ndani, usiishie mjini , hapana nenda ndani ndani ndo utajua hawa ni watu wa namna gani wamejenga Nyumba nzuri, wamelima nk tofauti na mikoa mingi hapa TZ. Lengo si kupambanisha na watani wa jadi kwenye maendeleo(wachaga) ila hata hujuma ziendelee kufanywa hawa watu wateendelea kujiinua tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You real know your Kwa mtogole residence right?
 
Hatukatai mkuu! Kitendo cha uwanja wa fisi kuwa na nyumba mbovu hakutufanyi tuseme Dar haina nyumba kali kuliko mikoa yote. Mchawi mpe sifa yake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini mkuu huu ni uzi wa picha/gallary. Sasa tukikaribusha maneno tutakuwa tunaharibu maana ya uzi. Kila mtu atase.a inazidiwa na mkoa wowote atakaojisikia. By the way nakumbusha n picha za vijijini tu na discussion za vijijini kama uzi unavyosema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…