Kagera/bukoba villages gallery

Kagera/bukoba villages gallery

Soko kuu la Ndizi muleba
FB_IMG_15567475408621696.jpeg
FB_IMG_15567475932138838.jpeg
FB_IMG_15567475626845118.jpeg
FB_IMG_15567475561048609.jpeg
FB_IMG_15567475708924904.jpeg
 
Mkuu, mbona sasa hukutupa updates kuhusu ujenzi wa stend mpya hapo Bukoba???? Au zilkua ni propagandatu!!?
Wala sio propaganda mkuu maana mimi sio mwanasiasa. Ki ukweli nilikwenda kuangalia kinachoendelea ila kwa bahati mbaya nilikuta hamna kinachoendelea ndo maana nilikata hata tamaa ya kuleta mrejesho. Kwa mwendo huu hii stend hitakamilika mapema. Lakini niwalaumu viongozi wote wa manispaa kwa sababu wakati inaanza kujengwa walijinasibu kwamba hela ipo kwa hiyo ujenzi utakamilika mapema lakini kinachoendelea ni tofauti kabisa
 
Kwahyo inamaanisha kwamba mji wa bukoba hauna mchango wowte katika pato la serikali au!! Maana ni aibu kukosa stendi, vip hiyoramani ya stend yenyewe ilokua ikiendelea kujengwa, ni stendi stendi kweli ya maana au ndo yale yale kama ile ya zamani ambayo bado kwa sasa ina tumika, utadhani ni kibaraza cha nyimba kwenye mji wa mtu flani!!!

Stend ya bk magari kampuni moja ya princess mulo ilikua inajaa hadi mengine yanapaki nje, na hii ni changamoto kubwa sana,

Nabaki nikijiuliza kila mda, hiviii na hili nalo mpaka lisubirie serikali kuu jamani!! Mkoa mzima wa kagera hakuna wilaya yenye stendi ya maana, kote vumbi tupu, mfano ni muleba, karagwe, biharamlo, nakadharika.... Au mkoa huu hauna vyanzo vya mapato vya kujenga miundo mbinu?? Serikali za mitaa zinafanya kazi gani hapa!!!!

Nashauri Zichunguzwe!
 
Ramani na ukubwa wake sio mbaya. Hizi halmashauri zetu wala sio kwamb zinakosa mapato kivile kwa sababu hata taarifa ya Waziri wa tamisemi mwezi jana hakuna hata halmashauri moja ya mkoa wa Kagera imefanya vibaya, mfano ni wilaya ya muleba mwaka 2017/18 imekusanya zaidi ya bilioni 3 lakin bado stend haipo kwenye mipango yao. Lakini ukiangalia sasa hivi muleba wanajenga barabara za mitaa kwa Rami lakini stend haipo kwenye mipango yao wakat hizi stend zinachangia mapato
 
Mmh! Mkuu kwanza niseme sawa asante kwa taarifa, lakin pia hiyo mleba naomba kujua ni barabara zipi hizo za mitaani zinazo jengwa kwa kiwango cha rami!!!? Na je ujenzi umeanza lini labda kwa mujibu wa muwakilishi aliye toa hizo taarifa!

.. Mitaa hiyo inayo jengwa ni ipi haswa, mfano eidha ni mtaa wa walimu!!?
Mtaa wa kagabiro?? Bugombe?? Omundangara?? Buyango!?? Bujumbi!!? Nyarwondo!!? Au mitaa ipo haswa!!! Maana hata barabara ya Nshamba yenyewe ilisha shindikana kwa bumbi!!!

Kinacho uma sana kwangu mim zaid ni stendi jamani!! Imagine hata hilo soko la ndizi lilopo hapo omkalyambwa limejengwa ndizi zishaanza kuisha, sasa cjui logic nini haswa!!!

Mh. Anaye husika na mipango nahisi anakosesha serikali mapato kwa mda muafaka, ila,,, naomba kujua zaid mkuu nikweli hizo barabara za mitaani zinajengwa kwa kiwango cha rami kweli?? Maana vumbi pia huchangia barabara kuu kujaa uchafu utokanao na michanga/vumbi Kali inayo toka barabara za mitaani.

Kwako mkuu The Great Haya.
 
Wahaya bwana, yaani unapost nyumba za watu wengine kwa mbweeeeembwe wakati babako mzazi aliezeka ya kwenu na majani ya mgomba.

41.7% ya watoto chini ya miaka 5 mkoani Kagera wamedumaa. Na wao wanaishi kwenye nyumba hizi ulizopost?
 
Palipo matajiri hata maskini wapo, vip hiyo ripoti ni reseach ulofanya wew au!! Vipi kuhusu ugogoni watoto wanaishi vipi?? Vip kuhusumikoa mingine je?? Hata india wapo mkuu. So hiyo si hoja yenye mashiko, kimsingi, hizi nchi ni za dunia ya tatu
 
Bata langu 1 huwa linakuwaga#to the fullest

Ova
Naona...hiyo beach ulipopiga picha panaitwaje jina na ni karibu na kwa wapi kutokea bukoba mjini stendi?...maana kuna moja nilionyeshwa ni karibu na stendi kulikuwa na wahuni kibaoo
 
Palipo matajiri hata maskini wapo, vip hiyo ripoti ni reseach ulofanya wew au!! Vipi kuhusu ugogoni watoto wanaishi vipi?? Vip kuhusumikoa mingine je?? Hata india wapo mkuu. So hiyo si hoja yenye mashiko, kimsingi, hizi nchi ni za dunia ya tatu
Sina shida na yeyote, namsaidia tu Bwenga kuweka rekodi za utalii sawa. Kuna mtu anateseka?
 
Wahaya bwana, yaani unapost nyumba za watu wengine kwa mbweeeeembwe wakati babako mzazi aliezeka ya kwenu na majani ya mgomba.

41.7% ya watoto chini ya miaka 5 mkoani Kagera wamedumaa. Na wao wanaishi kwenye nyumba hizi ulizopost?
Sio hio Tu mkoa wa kagera ni wa tatu Kwa umaskini ripoti ya 2012 inayoongoza na mhaya kakwesigabo.akili inatumika Sana kwenye ripoti hizi na inaingiliana na siasa
Kwa kuwa mkoa upo maskin Sana kadiri ya ripoti unakuwa priority ya mbele kabisa ambayo n advantage.

Hiyo haizuii vijiji vya wahaya kuwa na nyumba nzr .na ukiona tunapost ujue na sie tupo vzr pia
 
Back
Top Bottom