Kagera/bukoba villages gallery

Kashura bukoba
17362527_1384803494911179_2809255320341135878_n.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • 136.jpeg
    136.jpeg
    67.2 KB · Views: 36
Uzi unalengo la kuwaonesha watanzania wengi ambao hawajawahi kufika au wanausikia mkoa wa kagera na vijiji vyake wafike walau Kwa picha . Vijiji vya mkoa wa kagera vinasifa ya kuwa na migheto mikali ijengwayo na wasomi na PhD holders kutoka huko ambao ndo wengi.wahaya hawajengi ipasavyo mji mkuu wa mkoa wao bukoba Bali huko wazaliwako vijijini ndani ndani huko hata barabarani ni ngumu kuziona.hivyo basi namkaribisha mtu yoyote wa mkoa huu na aufahamuyo mkoa alete migheto iliyopo huko migombani ili kuwadhihirishia watanzania wanaokaa huko tandale kuwaponda Tu .wakati reality ipo .hatutaki battle za kikabila hapa.lengo ni kudumisha utalii na kuwaonesha watu faida za elimu na kujali chimbuko lenu karibun.Tuanzie hapaView attachment 1003870View attachment 1003873View attachment 1003874View attachment 1003875View attachment 1003878View attachment 1003879

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii taswira ni tofauti na ile tulioiona wakati wa tetemeko la ardhi, zile nyumba zilee
 
Achana nae huyo atakuwa na bukoba ya kwake kichwani. Actually sasa hivi mjini Bukoba watu wanajenga sana kiasi kwamba wakati mwingine cement inaadimika, tatizo bado lipo kwa serikali katika kuweka miundombinu imara na inayoendana na ukuaji wa mji
Mji wa bukoba shida yake ni Barabara zake,stendi na soko kuu ambavyo ni KAZI ya serikali kuhakikisha zinajengwa .
Wakati huku dar stendi zikifumuliwa na kujengwa mpya mfano gerezani na ubungo .mji wa bukoba haujawahi kuonja stendi ya lami .Kwanza serikali haiwekazi wazi Kwa nini stendi ya bukoba haijengwi miaka nenda Rudi .wanaishia kujenga kibaha na stendi nyingine magari yanapita Tu lakini bukoba no na magari yanalala pale . Anyway ipo siku

Hebu achaneni na masuala ya bk mjini. Huu uzi ni wa vijijini mazee. Au mmesahau kichwa cha uzi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom