Kagera: Ajali yaua watu nane wakiwemo watano wa familia moja Julai 12, 2022

Nyie madereva Ni kwanini huwa mnahama upande wa barabara hasa kwenye Kona Kali ?

Yani unajuwa kabisa kwamba Kama Kuna mtu anakuja mtagongana sababu upo upande wake
Huyo dereva ana uzoefu wa kuendesha mkono wa kulia. Wafikapo huku hupata tatizo kwani tunatumia upande wa kushoto na hivyo pengine alijisahau. Lakini kitendo cha kutoroka toka eneo la ajali kinaleta wasiwasi na kitufànya tuwe na shaka na dhamira yake.
 
Kumbe walikufa wote Saba?

Hivi Toyota Ractis kumbe inatosha kubeba watu Saba?
 
Back
Top Bottom