Ajali yaua watano Morogoro na Kujeruhi wengine 10

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Jan 29, 2021
573
2,553
Watu watano wamefariki dunia na wengine 20 kujeruhiwa katika eneo la Iyovi baada ya gari aina ya Costa iliyokuwa ikitoka Mbeya kuelekea Dar es Salaam kujaribu kulipita Lori lililokuwa limeharibika njiani na kugongana na Lori jingine lililokuwa likitokea Mikumi.

1685981650435.png

Ajali hiyo imetokea hii leo Juni 5, 2023, katika eneo la Iyovi, barabara kuu ya Morogoro-Iringa.

Chanzo: EATV
 
View attachment 2647010

Kwani Yanga SC Mabingwa na Medali za Mbao za Kariakoo Shimoni wana Mechi yoyote ile tena ya Kimataifa hivi Karibuni wanayotakiwa Kuishinda kwa Udi na Uvumba?
 
Watu watano wamefariki dunia na wengine 20 kujeruhiwa katika eneo la Iyovi baada ya gari aina ya Costa iliyokuwa ikitoka Mbeya kuelekea Dar es Salaam kujaribu kulipita Lori lililokuwa limeharibika njiani na kugongana na Lori jingine lililokuwa likitokea Mikumi.

View attachment 2647010

Ajali hiyo imetokea hii leo Juni 5, 2023, katika eneo la Iyovi, barabara kuu ya Morogoro-Iringa.

Chanzo: EATV
Iyovyi ni pana sana, which area specifically
 
Sema zile Kona ni hatari sana. Kuna siku Subaru ya kuazima ilinitia wenge kidogo niwahi kwa Sir God kwenye zile kona.
 
Mwaka 2014 nimejenga blocks na mitaro kuanzia kidoma hadi iyovi kuna mzungu mmoja alikuwa anaitwa babuu maisha haya hapo nimetoka kupata ajari ya boda boda kuanguka na mtu na akafariki nikakimbilia mikumi
 
Back
Top Bottom