Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,483
Kagame amekuwa akiudanganya ulimwengu kwa miaka mingi sana kwamba yeye ndiye aliyestop genocide, ukweli uliokuwa mioyoni mwa watu ni kwamba Kagame alipotungua ndege ndio ulikuwa mwanzo wa mauaji yale ya kimbari. tangu miaka ameingia madarakani ametumia hela nyingi sana kuhonga waandishi na vyombo mbalimbali ili kuusimamisha uongo huu. amewaua wale waliokuwa mashuhuda.
Ukweli ni kwamba, hakuna ubishi kwamba genocide against Tutsi ilifanyika, jambo la kujiuliza ni kwamba.
1. Je? hivi kabla ya genocie idadi ya wanyarwana wote walioko Rwana ilikuwa ngapi?
2.Pili, idadi ya Watusi ilikuwa ngapi?
3. Idadi ya wahutu ilikuwa ngapi?
4. Kama Watusi karibia milioni moja waliuawa, je, waliobaki walikuwa wangapi?,
5. WAKATI WA GENOCIDE 1994 population ya RWana iliikuwa 7mil, 14% tusi, the remaining hutu and twaa. 14% of 7mil is 980,000 (laki tisa na themanini).
6. mwaka 2014 population of Rwana is 12.5mil people and we are told 14% of it are Tusi, 85% Hutu, 1%Twaa. kwa hesabu ya kawaida, kama waliouawa 1994 walikuwa watusi zaidi ya milioni moja wakati watusi waliokuwepo Rwanda hata hawakufikia milioni moja, utaelewa nini hapo? na, kama waliouawa ni walau laki tano tu, mbona hadi leo hii watusi Rwanda ni 14%? si wangefutika kabisa, kwasababu tukisema waliotoka diaspora baada ya kagame, sio wengi hata laki hawafiki.
vilevile, imethibitika kuwa, idadi ya waliohesabiwa kufariki ni zaidi ya laki nane, lakini ukweli ni kwamba sio wote ni watusi, bali waliouawa wengi ni wahutu kwasababu idadi hiyo wangekuwa waliuawa watusi wasingekuwepo idadi ile leo Rwanda.
kwenye documentary, CIA na wapelelezi wengine waliokiri kufumbwa mdomo na mataifa ya magharibi wamethibitisha kuwa watusi waliouawa walikuwa ni wale tu waliouawa kabla kagame hajachukua nchi, baada ya kagame kufika kigali wahutu walikimbia na walikuwa wanatapatapa kuikimbia nchi.
vilevile wameonyesha RPF ya kagame ikiuwa maelfu ya wahutu KIBEHO na congo, nyamwasa amekiri kwamba ni kweli mauaji hayo yalitokea na askari wao RPF walifanya hivyo kwasababu walikuwa na hasira ya kulipiza visasi.
KAGAME SIKU ZAKE ZIMEHESABIWA.