jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,412
- 5,013
ooh, kumbe ni hii, already read it wakati uleee....thanks though.
mimi siyo mtutsi niko kueleza ukweli.Dunia ilikuwa wapi wakati mauhaji yanatendeka?
Hali ingekuwaje Kagame asingijitokeza kukomesha mauaji.
Mungu bariki Kagame
6. mwaka 2014 population of Rwana is 12.5mil people and we are told 14% of it are Tusi, 85% Hutu, 1%Twaa. kwa hesabu ya kawaida, kama waliouawa 1994 walikuwa watusi zaidi ya milioni moja wakati watusi waliokuwepo Rwanda hata hawakufikia milioni moja, utaelewa nini hapo? na, kama waliouawa ni walau laki tano tu, mbona hadi leo hii watusi Rwanda ni 14%? si wangefutika kabisa, kwasababu tukisema waliotoka diaspora baada ya kagame, sio wengi hata laki hawafiki.
Mjinga mkubwa umejawa na chuki hata unadiriki kuongopa! sina haja ya kurudia utumbo wako wote, lakini unaposema uliyo sema hapo juu, una maana gani? umeyatoa wapi? mwaka 2014 population ya Rwanda ni ya Wanyarwanda huwezi sema eti watusi ni idadi hii au wa hutu ni idadi hii. there is no anywhere in Rwanda you will find statistic zenye ethinicity. so where do you get " We are told" by Who? Tafuta uongo mwingine, Wa Tanzania hawadanganywi hivyo.
Kwa nini mnapenda sana matusi badala ya kuelimmishana?
Mhh! sijui fikra kama hizo mtaziacha lini, eti People will kill his family too???
the problem is that you are brainwashed. hakuna anayepinga genocide, ila tunachosema ni kwamba genocide ilitokea ili ilikuwa sio kwa watusi peke yake, kwa wahutu pia. hata mtusi mwenzenu kayumba nyamwasa amekiri kuwa askari wa RPF walikuwa wanaua raia wa kihutu ovyo kwa hasira kutokana na wahutu kuwaua watusi. ila ukweli hebu tuambieni, watusi waliokuwepo 1994 hawakufika hata laki tisa, inakuwaje mtuambie walikufa milioni moja? si watusi wote wangepotea Rwanda and right now we are told in Rwanda tusti are 14% inakuwaje watusi ni wengi kiasi hicho wakati waliuawa asilimia 100%?Chuki na roho ya kutu inakusumbua.yaani unapinga Genocide ya Rwanda ambayo ilitokea kwa jirani yako? Wewe ni mtu wa aina gani?Bila shaka unapinga pia Jewish holocust.Wewe,na wenzako wa aina yako mtalaaniwa!
so you want to tell us that today we do not have any tusi in Rwanda because they were all killed, laki tisa walikufa.