Kagame whats the number of Tutsi and Hutu before genocide

Kagame whats the number of Tutsi and Hutu before genocide

Sikia mtoto.....Kagame started killing Hutus since 1989 huko mipakani na kila mtu alikuwa anajuwa kuwa kuna mtu anaitwa General Paul Kagame ana kundi lake anataka kuchukua nchi kwa mapinduzi, yaani kama vile anavyofanya Kony wa Nothern Uganda. Hivyo basi, Kagame alikuwa anaua watu kidogo kidogo na his intent was to destroy all Hutus that were on his way to Kigali. Siyo siri tena kuwa Kagame ndiyo chanzo cha genocide Rwanda, this has NO argument and it is no brainer anymore facts are there for everybody to see and read. Wapinzani in Rwanda are only there to lie to the world that in Rwanda there is democracy but that's not true, there isn't democracy there. Kagame is running Rwanda with a fist and is ready to kill anyone who says the truth against him. He is not stupid, he wants to live and for him to live he has to kill those who release his secrets out. Believe me, if he is dead....people will kill his family too to wipe out his legacy. Time will tell because nobody makes a living by killing innocent people to survive. God sees everything.
Mhh! sijui fikra kama hizo mtaziacha lini, eti People will kill his family too???
 
Tatizo la mada kama hii ukitea side A utaitwa mtutsi, ukitetea side B utaitwa mhutu, nyie kuwa ivoivo wazungu wawachezee vichwa vyenu muuwanee wee ili population ikae sawa make walishagundua hili bara ni vichwa nazi, eti bbc! Basi na nyie toeni makala kuonesha jinsi US na UK walivyochinja iraq na afghanistan muone kama na wenzenu watakurupuka kama nyie

kila mutu humu ndani ana jua wewe ni mtutsi,kubali ukatae lakini kagame ni muuaji na siku zake zina hesabika time will tell.go to hell kagame.
 
wewe mtutsi kubali yaishe. Hakuna mtu ambaye yuko neutral ana misimamo kama yako ya kumtetea kagame wakati ukweli uko kinyume. Angalia facts zifuatazo:

1. Ni kagame ndie aliyevamia rwanda kwa miaka minne toka 1990 mpaka 1994. Rpa kwa tafsiri ya yoyote yule ni jeshi la watutsi toka uganda. Takwimu za watu rwanda ni over 85% wahutu. Hivyo since 8 out of 10 people waliouawa na kagame kwa miaka minne ni wahutu, na jeshi la kagame ni watutsi. Je huoni kuwa in 1994 genocide against tutsis ilitokana na mauaji haya? Kagame ndio cause ya genocide.

2. Un ilitaka kuongeza jeshi lake 2 weeks baada ya kagame kuingia rwanda. Kagame sio tu alikataa bali alitishia kupambana nao! Lengo lake lilikuwa kuchukua madaraka kwa kuteka nchi nzima sio kusimamisha mauaji. Matokeo yake interahamwe wakaendelea kuchinja watutsi for months, while kagame naye anaua! Unasemaje eti kagame kakomesha mauaji?
Ukabila wako utakufuata mpaka kuzimu, kwako kila supporter wa Kagame lazima awe ni mTutsi?
Hivi ukisema jeshi la Wa Tutsi kutoka Uganda una maana hawa wa Tutsi hawakuwa WanyaRwanda, do you mean Kagame si mNyaRwanda?
Kira mara unarudia rudia issue ambazo tayari zishajibiwa, tatizo halikuwa idadi ya wanajeshi wa UN, hata wale waliokuwepo wangekuwa na mandate ya UN wangesimamisha mauaji, manake walikuwa na vifaa na skills vya kutosha kuzidi pande zilizokuwa zikipigana.
Mandate ilikuwa hairuhusu kutumia nguvu.
 
source of this garbage please.
Hasira za nini?kwa nini hutaki ukweli? which source do you want, and who is there to provide source;
This is not a longtime history may be alikuwepo and he/she witnessed the events and he/she may be a source him/her self.
Do you want a source from your website? i.e proxylake website.
 
wewe mtutsi kubali yaishe. hakuna mtu ambaye yuko neutral ana misimamo kama yako ya kumtetea kagame wakati ukweli uko kinyume. Angalia FACTS zifuatazo:

1. Ni kagame ndie aliyevamia Rwanda kwa miaka minne toka 1990 mpaka 1994. RPA kwa tafsiri ya yoyote yule ni JESHI LA WATUTSI TOKA UGANDA. Takwimu za watu Rwanda ni over 85% wahutu. Hivyo since 8 out of 10 people waliouawa na kagame kwa miaka minne ni wahutu, na jeshi la kagame ni watutsi. Je huoni kuwa in 1994 Genocide against tutsis ilitokana na mauaji haya? Kagame ndio cause ya genocide.

2. UN ilitaka kuongeza jeshi lake 2 weeks baada ya kagame kuingia Rwanda. Kagame sio tu alikataa bali alitishia kupambana nao! Lengo lake lilikuwa kuchukua madaraka kwa kuteka nchi nzima sio kusimamisha mauaji. Matokeo yake interahamwe wakaendelea kuchinja watutsi for months, while kagame naye anaua! Unasemaje eti Kagame kakomesha mauaji?

We nyani huoni ----- lako?
 
Hata utumie sabuni gani...hiyo damu mikononi mwako haiwezi kutoka.
 
Kagame amekuwa akiudanganya ulimwengu kwa miaka mingi sana kwamba yeye ndiye aliyestop genocide, ukweli uliokuwa mioyoni mwa watu ni kwamba Kagame alipotungua ndege ndio ulikuwa mwanzo wa mauaji yale ya kimbari. tangu miaka ameingia madarakani ametumia hela nyingi sana kuhonga waandishi na vyombo mbalimbali ili kuusimamisha uongo huu. amewaua wale waliokuwa mashuhuda.

Ukweli ni kwamba, hakuna ubishi kwamba genocide against Tutsi ilifanyika, jambo la kujiuliza ni kwamba.

1. Je? hivi kabla ya genocie idadi ya wanyarwana wote walioko Rwana ilikuwa ngapi?

2.Pili, idadi ya Watusi ilikuwa ngapi?

3. Idadi ya wahutu ilikuwa ngapi?

4. Kama Watusi karibia milioni moja waliuawa, je, waliobaki walikuwa wangapi?,

5. WAKATI WA GENOCIDE 1994 population ya RWana iliikuwa 7mil, 14% tusi, the remaining hutu and twaa. 14% of 7mil is 980,000 (laki tisa na themanini).

6. mwaka 2014 population of Rwana is 12.5mil people and we are told 14% of it are Tusi, 85% Hutu, 1%Twaa. kwa hesabu ya kawaida, kama waliouawa 1994 walikuwa watusi zaidi ya milioni moja wakati watusi waliokuwepo Rwanda hata hawakufikia milioni moja, utaelewa nini hapo? na, kama waliouawa ni walau laki tano tu, mbona hadi leo hii watusi Rwanda ni 14%? si wangefutika kabisa, kwasababu tukisema waliotoka diaspora baada ya kagame, sio wengi hata laki hawafiki.

vilevile, imethibitika kuwa, idadi ya waliohesabiwa kufariki ni zaidi ya laki nane, lakini ukweli ni kwamba sio wote ni watusi, bali waliouawa wengi ni wahutu kwasababu idadi hiyo wangekuwa waliuawa watusi wasingekuwepo idadi ile leo Rwanda.

kwenye documentary, CIA na wapelelezi wengine waliokiri kufumbwa mdomo na mataifa ya magharibi wamethibitisha kuwa watusi waliouawa walikuwa ni wale tu waliouawa kabla kagame hajachukua nchi, baada ya kagame kufika kigali wahutu walikimbia na walikuwa wanatapatapa kuikimbia nchi.

vilevile wameonyesha RPF ya kagame ikiuwa maelfu ya wahutu KIBEHO na congo, nyamwasa amekiri kwamba ni kweli mauaji hayo yalitokea na askari wao RPF walifanya hivyo kwasababu walikuwa na hasira ya kulipiza visasi.

KAGAME SIKU ZAKE ZIMEHESABIWA.

Chuki na roho ya kutu inakusumbua.yaani unapinga Genocide ya Rwanda ambayo ilitokea kwa jirani yako? Wewe ni mtu wa aina gani?Bila shaka unapinga pia Jewish holocust.Wewe,na wenzako wa aina yako mtalaaniwa!
 
Hasira za nini?kwa nini hutaki ukweli? which source do you want, and who is there to provide source;
This is not a longtime history may be alikuwepo and he/she witnessed the events and he/she may be a source him/her self.
Do you want a source from your website? i.e proxylake website.

1. wewe kama unayo source hebu toa sio unaleta blah blah, proxylake ndio source yangu na sioni aibu yoyote kuiweka wazi pale ninapotoa post huko, KWANINI WEWE UNAONA AIBU KUSEMA SOURCE YAKO?
 
Ukabila wako utakufuata mpaka kuzimu, kwako kila supporter wa Kagame lazima awe ni mTutsi?
Hivi ukisema jeshi la Wa Tutsi kutoka Uganda una maana hawa wa Tutsi hawakuwa WanyaRwanda, do you mean Kagame si mNyaRwanda?
Kira mara unarudia rudia issue ambazo tayari zishajibiwa, tatizo halikuwa idadi ya wanajeshi wa UN, hata wale waliokuwepo wangekuwa na mandate ya UN wangesimamisha mauaji, manake walikuwa na vifaa na skills vya kutosha kuzidi pande zilizokuwa zikipigana.
Mandate ilikuwa hairuhusu kutumia nguvu.

1. Unyarwanda ni uraia, tutsi ni kabila. Hii kitu ngumu sana nyinyi kuelewa sijui kwa nini. Unaweza kuwa mtutsi na usiwe na connection yoyote na Rwanda. Kama ambavyo obama actually ni mjaluo lakini raia wa marekani.
2. RPA lilikuwa ni jeshi la watutsi ambalo lilivamia nchi ambayo majority ni wahutu and that is a FACT. Je, kwa nini wahutu wasihisi kagame was "genociding" them for four years? RPA waliporuhusiwa kuingia kigali as part of Arusha talks watutsi wa Rwanda walijipanga barabarani kuwashangilia na kuwaimbia...Je unadhani wanyarwanda wahutu walijisikiaje? Hujaona mpasuko hapo? i don't condone genocide or kilings of any kind lakini i understand ilitokeaje. Chuki alizianzisha kagame. Na ameshafanya hivyo DRC. Sasa hivi wanyarwanda wa DRC hawana amani kama walivyo mwanzo, waDRC wanawaona wote ni M23 supporters hata iweje.
 
Same talking points mmepush for yrs to justify uharamia mliofanya,ukiacha ignorants fools na interahamwe wenzako no one is buying that BS anymore...give it up.

why you on my case then?
 
1. wewe kama unayo source hebu toa sio unaleta blah blah, proxylake ndio source yangu na sioni aibu yoyote kuiweka wazi pale ninapotoa post huko, KWANINI WEWE UNAONA AIBU KUSEMA SOURCE YAKO?
I don`t need to provide any source when it comes to matters concerning my country, i don`t need to copy foreign websites to prove what i saw and what i am living in.
What matters is the content, otherwise na mimi nawez kuanzisha blog sasa hivi, harafu niwe naiweka kama source yangu, just the way you do when you quote proxylake
 
I don`t need to provide any source when it comes to matters concerning my country, i don`t need to copy foreign websites to prove what i saw and what i am living in.

kwa hiyo unadai ninachokiombea source kilichoandikwa na "mamamdogo" ni maneno yako au?
 
1. Unyarwanda ni uraia, tutsi ni kabila. Hii kitu ngumu sana nyinyi kuelewa sijui kwa nini. Unaweza kuwa mtutsi na usiwe na connection yoyote na Rwanda. Kama ambavyo obama actually ni mjaluo lakini raia wa marekani.
2. RPA lilikuwa ni jeshi la watutsi ambalo lilivamia nchi ambayo majority ni wahutu and that is a FACT. Je, kwa nini wahutu wasihisi kagame was "genociding" them for four years? RPA waliporuhusiwa kuingia kigali as part of Arusha talks watutsi wa Rwanda walijipanga barabarani kuwashangilia na kuwaimbia...Je unadhani wanyarwanda wahutu walijisikiaje? Hujaona mpasuko hapo? i don't condone genocide or kilings of any kind lakini i understand ilitokeaje. Chuki alizianzisha kagame. Na ameshafanya hivyo DRC. Sasa hivi wanyarwanda wa DRC hawana amani kama walivyo mwanzo, waDRC wanawaona wote ni M23 supporters hata iweje.
Ok, so you understand those killers?and it is understandable how childrens, womens and old people were butchered??
 
Bila Kagame hali sijui ingekuaje maana mataifa yote ikiwemo wewe mtoa mada mlikuwa mnaangalia tu kwenye tv bila kuchukua hatua ata UN na Marekani wamekiri ilo.

Hongera sana Kagame mpambanaji wa ukweli
Wee vipi!.. Hatua gani wakati mwanzishaji wa vagi ni kagame na RPF yake. Vita wanavyojidai watutsi kuita ni vya ukombozi vilikua na lengo moja tu... Watutsi kuchukua madaraka ya nchi. Hatua za mwanzo za vita yao haramu walizidiwa ndio ikabidi Mu7 aingize jeshi la uganga kuwasaidia hatimae RPF wakapenya ndani ya rwanda na kufanikisha mpango wa kutungua ndege na kuwaua marais wawili wahutu kwa mpigo. Habyarimana na yule wa burundi. Kwa hasira hapo ndipo wahutu wakaanza mauaji kuwaangamiza watutsi. Hapo utasema kagame na rpf yake ndio malaika gabriel au shetani wekundu. huyu jamaa iko siku atafikishwa the hague. hana sera hata moja ya reconciliation ni kisasi na kiburi. Eneo zima maziwa makuu lilichafuka kwa wakimbizi na vita anazotengeneza yeye kwa nchi jirani ya kongo.
 
Back
Top Bottom