mokala1989
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 2,236
- 730
Mfa maji haachi kutapatapa
Wana JF,
Unajua kuna vitu mtu unafanya hata nchi za wenzako wanaanza kukutilia shaka. Kwa hili naona credibility ya kiwete iko chini sana na ndiyo maana huyu Kagame amesema aliyosema tena kwa ujasiri! Hivi tujiulize kama Kagame akiamua kumbana Rais Kiwete kwa kumwuliza kwamba yeye anataka kagame akae na Intarahamwe na FDRL kwenye meza ya mazungumzo MBONA YEYE KIWETE HAKAI NA WAPINZANI HUSUSAN CHADEMA WAKAPATANA badala yake Kiwete anahangaika kuwatumia Polisi,TISS,Wassira,Mwigule Nchemba na Nepi Nauye kuuwa Wapoinzani? Hivi Kikwete atajibu nini kwa Kagame???
".....there is a line you cannot cross,there is a line, a line that you should NEVER cross.It is impossible!" Paul Kagame, Rwandese President.
Tafakuri jadid.
Kagame naye anaelekea kubaya,JWTZ ni jeshi imara na sio jeshi la kisiasa kama majeshi ya Rwanda,ni JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA.
Huyu mtu mwisho wake utakuwa mbaya sana,Kagame naye anaelekea kubaya,JWTZ ni jeshi imara na sio jeshi la kisiasa kama majeshi ya Rwanda,ni JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA.
kagame akae na Intarahamwe na FDRL kwenye meza ya mazungumzo MBONA YEYE KIWETE HAKAI NA WAPINZANI HUSUSAN CHADEMA WAKAPATANA badala yake Kiwete anahangaika kuwatumia Polisi,TISS,Wassira,Mwigule Nchemba na Nepi Nauye kuuwa Wapoinzani? Hivi Kikwete atajibu nini kwa Kagame???
Huyu mtu mwisho wake utakuwa mbaya sana,
Jeshi letu sio tu ni kubwa bali lina uzoefu na cv nzuri ya kudunda wapuuzi kama hawa.
Tulifagia uganda na kubadilisha marais mara tatu sembuse ka nchi kama Rwanda ambako kwangu mimi ni saizi ya shamba la babu yangu tu
Kama ikitokea vita mimi nitarudi jeshini na kuvaa combat kwa hasira!
Hakika :kev:alafu hao m23 wa congo na sudan ni karibu sana maana ni nchi zilizopakana
Sina uhakika wa maelezo hayo,ila ninachojua ni kwamba Wanajeshi wa Tanzania wameuawa huko Darfur.Sasa ni group gani haijulikani.Watanzania tuna maneno sana.tulikuwa na jeshi imara zamani sasa hivi kuna wanasiasa tu.Tusijidanganye kupigana vita hata mara moja.macho ya mbinu za majeshi yetu ni kuhangamiza upinzani na sio kulinda mipaka siku hizi.kwa hiyo tutachapya kama watoto wadogo.Hatuna vifaa vya kisasa tunatengemea wingi wa askari,hii ni stahili ya zamani ya china .sasa hivi ni vifaa tu.hata mkija million ,jamaa anabonyeza kitufe tu mmekwisha.hii sio vita ya watanzania ni vita vyake kiwete .Na sisi hatutaki vita tunataka kujenga uchumi tu ,kilichobaki.