Tume ya taifa ya uchaguzi Kenya imemtangaza Rais Uhuru Kenyatta wa chama cha Jubilee kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Jumanne.
Rais Kenyatta alipata kura 8, 203, 290.. ambayo ni asilimia 54 naye mpinzani wake mkuu, mgombea wa muungano wa upinzani wa National Super Alliance Raila Odinga akapata kura milioni 6,762,224 ambayo ni asilimia 44.
Kwa viongozi wa Afrika Mashariki, Rais Paulo Kagame na wa Uganda Yoweri Museveni wamekuwa wa kwanza kumpongeza Rais Uhuru Kenyata.
Chanzo: BBC