TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,763
- 4,046
Nakubaliana na wewe,lakini kumbuka unapomuua rais wa nchi unachochea chuki kubwa ,ambayo uwezi hata kidogo ukalinganisha na maendeleo unayoyaleta,watu wa Rwanda na hasa wahutu wanamajeraha makubwa sana ndani ya mioyo yao na hii ni hatari sana kwa usalama wa nchi.Juvenali Habyarimana ndiye aliyekuwa rais wa Rwanda kabla ya vita vya 1994,kuzuka vya vita hivyo kulisababishwa na kifo chake,watu wanaozidi laki nane walipoteza maisha wengi wao wakiwa watusi,katika ustarabu wa maisha ya binadamu unawezaje kulinganisha garama ya watu waliopoteza maisha na maendeleo yaliyoletwa na dikteta Kagame?Nani aliyemuua Laurent Kabila?nani aliyemua prof mwaikyusa aliyekuwa mwanasheria aliyebobea na rafiki mkubwa wa mahakama ya rufaa Tanzania?Mkuu achana na Kagame ni mtu hatari sana!!Mkuu kunatatizo gani kwa maendeleo ayaletayo!
kunatatizo gani ukiua mmoja kwa maendeleo na tiba ya wengi!?
NAONA PROPAGANDA ZIMEJAA ZAIDI KWA KAGAME!