Kagame: Mkitaka nilete Amani DRC Nilipeni!!!

Kagame: Mkitaka nilete Amani DRC Nilipeni!!!

...hizo ni discredited theory tumezisikia for over 15 yrs,talking points zako ni za hao genociders wanaotafutwa dunia nzima and seems ignorance yako ya Rwanda/Congo understanding ni ya hali ya juu or unaelewa lakini purposefully you know whats up,only ****** na watu kama wewe ndio wataamini shoot down of the plane ndio ilifanya one milion tutsi wachinjwe within 90 days...mpuuzi sana wewe!!

Mkuu Koba nimekushika pabaya na ngojera zako za a tall order ndio maana unakuja juu, unaweza kusema mimi ni mpuuzi hilo alinipi shida i.e aliwezi kunizuia kukemea nchi yenu kuwa hisiwe inavamia mara kwa mara nchi nyingine huru with impunity na kuleta wasi wasi katika kanda NZIMA ya Maziwa Makuu - nani kawapa mandate ya kuingilia uongozi wa nchi nyingine au kuwachagulia viongozi wao? Nataka nieleweke kwamba na mimi kama binadamu wengine tulisikitishwa na GENOCIDE lakini two wrongs haziwezi ku-make a RIGHT - tulieni nchini mwenu mu-reconcile na sio kuvamia nchi za wengine kwa visingizio vya kila aina - leo Rais wa Merikani Baraka Obama kasema nini kuhusu adventure za jeshi la RWANDA, je na huyo ni mpuuzi kama MIMI?

Mtu akitaka kukujua mind set yako na wenzako ambao wana tatizo hilo by default Angalia kwenye nyekundu hapo juu ndio Dunia itajua kwamba bado ina kibarua kigumu kuwa elimisha juu ubaya wa kuabudu/kuhusudu ukabila (why una-insist kwamba wa Tutsi pekee ndio walio uwawa within 90 days - repeat WATUTSI!! Mbona uzungumzii moderate Hutus possibly na Watwa, unasukumwa na ukabila wako wa Kitutsi, watu wengine unawaona si binadamu ndio mlivyo-arrogant!! Tumeishi na watusi kwa muda mrefu wakiwa ni wakimbizi katika mkoa niliko zaliwa, wengi wao walikuwa wanazungumza lugha ya kienyenji fluently wala mtu mgeni hasingiweza kujuwa kwamba ni Watutsi, usifikili nakurupuka tu kuzungumza hapa - jirekebisheni mheshimu makabila mengine bila hivyo amani ya kudumu nchi mwenu itakuwa ni ngumu kuwa-attained).

Dunia imechoshwa na vurugu zenu, hivi inaingia akilini kwamba watu minority wanaweza kutawala majority 4ever? Angalia kilicho tokea Africa Kusini ndio utajifunza kitu, tunalisema hili kwa nia nzuri tu, actually tunaitakia mema RWANDA ndio maana tunakuwa wawazi hatutaki kuwa wanafiki - lakini watu kama wewe mweye a skewed mind anaye ishi kwenye dream land kwa kukosa kuona mbali, sina shaka utaniona mimi ni MPUUZI.
 
miandishi mingi kumbe garbage tupu!
 
he knows he is the one who can fix it by simply stop supporting the rebels now he want to be paid for that, its time to deal with this moron who think great lake region is his area to rule!!! rwanda its a tiny country now with all the money he is racking as aid and sympathy for genocide he is left with a lot fo money with nothing to do about it hence the only way to spedn it is to expand territorial influence!!!
 
miandishi mingi kumbe garbage tupu!

Garbage eh, please take a closer look at the following facts itemised hereunder - here we GO again!

Name: Koba

Join Date : 3rd July 2007
Location : Pasadena California
Posts : 3,814
Rep Power : 1348
Likes Received: 111

Likes Given: 49

I suggest U pay attention particularly to the items marked in RED i.e Your posts are almost 4K, right? Likes received 111 right? See - the number of posts filed by you and the likes Received from members are highly disproportionate i.e most of your posts deserves to be thrown into a TRASH CAN/BIN! Mr Koba what does that tell you about your persona, specifically your analytical mind - got it - Dismal!

No wonder maoni ya maana kutoka kwa baadhi ya members ambayo hayakupendezi ingawa yana ukweli ndani yake - kwako unayona ni null and VOID, kwa maneno yako unasema eti ni "GARBAGE."

Mkuu unapaswa kuwaheshimu members wenzako usifikili awajuhi kutumia lugha chafu inapobidi, hapa tunajiheshimu ukishindwa ku-defend maoni yako just move on instead of name calling and what have you, tukiamua kukugehuzia kibao (retaliated) you'll be SORRY. Andika post zako lakini sio kutukana members, Goodday.
 
Huna maana wewe na mbumbu wa sayansi ya vita,unalinganisha vita ya Uganda ambayo sehemu kubwa WATZwalipewa ushirika na Waganda wenyewe wakionyesha wapi askari wa Idd Amini wamejificha na waganda wakimchukia Idd Amini na serikali yake?.

Rwanda wao ndiyo hawana maadui? acheni kumsifia mtu anae haribu nchi za wenzake,tulikua tunamuona mtu wa maana kumbe tulikua hatumjui vizuri! mbaguzi,mkabila na anajiona yeye na kabila lake au jamii yake wa maana sana!
 
...wee bweeege hiyo signature yako inaonyesha jinsi unavyoishi the past,watu walishasahau story za dowans,bot,tanesco etc watu wameshagawana na hakuna kesi ila mafala kama wewe ndio mmebaki kulipa madeni yaliyokopwa na serikali na kuishi gizani..hamia Rwanda utaishi vizuri na hakuna mtu atakuita mkimbizi kenge weee.

Toa hoja acha jazba kama Rais wako Paul Kagame yeye akiongea tu na vyombo vya habari ni majibu ya jazba na hasira tu anafikiri anaongea na wanajeshi kumbe walaaaaaaa ni wandishi wa habari. So wewe ambae unaishi mbinguni Kigali ambako hakuna ufisadi tuachie Tanzania yetu na uache majibu ya jazba kuwa mstaarabu
 
Back
Top Bottom