Kagame: Mkitaka nilete Amani DRC Nilipeni!!!

Kagame: Mkitaka nilete Amani DRC Nilipeni!!!

Kagame is the best president in Africa,nyie know nothing Kagame haters AKA Congo experts keep spreading your lies lakini at the end Congolese will suffer and not kagame,matatizo ya Congolese yatamalizwa na Congolese,Kagame wala wanajeshi wake hawapo Congo wanaouwana ni congolese wenyewe na genociders waliokimbia Rwanda....ignorance ya congo crisis ni ya hali ya juu humu na ni waste of time kuendelea debating watu wanaojifanya wanajua kumbe hawajui chochote,and the only thing congolese they need to say thank you kwa Kagame kwa kuwaondolea dikteta Mobutu aliyewatawala kwa miaka 30
 
Wewe mtaalam wa vita tena vita ya kisayansi unamaanisha kuwa tusingepewa support na wananchi wa Uganda kuonyesha wapi askari wa Uganda walipo vita ya Uganda ingetushinda? Kwani maaskari wa Uganda walikuwa insurgence wanaishi na raia mpaka raia hao watusaidie kuwatambua? Vipi kwani unaona kuwa raia wa Rwanda nao hawawezi kutusaidia kuonyesha walipo askari wa Rwanda ama unadhani Rwanda Defense Force ni rafiki wa kila askari na raia, kama ni rafiki wa kila askari na raia ni kitu gani kilimkimbiza uhamishoni South Africa mwaka 2010 Gen. Faustin Kayumba Nyamwasa's aliekuwa mkuu wa Rwanda Defense Force na Colonel Patrick Karegeya aliekuwa mkuu wa usalama kwenye jeshi la Rwanda. Endelea kusoma na uelewe vizuri kupitia kwa hii link hapa broo Lt. Gen. Kayumba Nyamwasa « London Despatch

Bornagain debating na extremist kama wewe is a waste of time,hujui chochote zaidi ya garbage unazo copy & paste from the web,na igorance yako imejionyesha zaidi kwa hii post hapo juu
 
Anaweza kuleta amani drc maana niyeye anayesababisha machafuko.huyu si mtu wa kumuachia maana akimaliza drc anaweza kuitaka TZ who knows
unezungumza pint nzuri sana. Tanzania inamfumbia macho huyu chizi Kagame, na naona ipo siku tutajuta kama ajutavyo kabila na taifa lake kubwa! KUle easten Congo kulitakiwa kumegwa na kufanywa taifa jipya tangia mwaka 1994! Ufaransa kupitia Angola na Zimbabwe ikaingilia kati na kukomesha uundwaji wa taifa jipya la kitutsi nchini Congo.

sasa haya yote madai ya M23, Bosco Ntaganda na mengine, yote haya yanzunguka uroho wa kuunda taifa jipya ndani ya congo. Ndio maana mara baada ya kuumuumbua kagame na museven kuwa ni chanzo cha mgogoro wa kongo, wameanza kuon ahaibu na kuwashauri M23 kurudi nyuma.

Yaani huko Bukavu, wanwake hubakwa kila saa, watoto wengi wameacha shule,magonjwa ya zinaa nje nje, na mahitaji muhimu hamna kabisaa. Iko siku historia itamuhukumu kagame, wewe muache tuu acheze na marekani, amuulize mwenzake gadafi au Sadamu!
 
Ni heri KAGAME mumuite Dikteta lkn Raia wake wanaishi vzuri ikumbukwe alishamwambia Nundu ampe Bandari tu ya Salama alishe Tanzania na Rwanda,,,Baniani mbaya kiatu chake kina Dawa! Big up Kagame japo Ulaya wanakuchukia kwa maendeleo yako ya kasi!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kwani kuna ugumu gani kwa kanchi ka kifala tu kama Rwanda, tuliipiga Uganda ambayo ni kubwa mara tatu ya Rwanda sembuse kale Karwanda
vita sio ukubwa wa nchi........waulize wachina shida walioipata kwa wajapani pamoja wingi wao wote
 
Ni heri KAGAME mumuite Dikteta lkn Raia wake wanaishi vzuri ikumbukwe alishamwambia Nundu ampe Bandari tu ya Salama alishe Tanzania na Rwanda,,,Baniani mbaya kiatu chake kina Dawa! Big up Kagame japo Ulaya wanakuchukia kwa maendeleo yako ya kasi!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Mimi nadhani hilo lingekua la kweli asingehangaika kuwafungulia mashtaka(au kuwauwa) wapinzani wake wa kisiasa. Kama watu wake wanaishi vizuri, basi wangekua wanampenda na angekua anashinda uchaguzi bila zengwe lolote. Hiyo kuali ya bandari nimeanza kuisikia hata kabla Nundu hajawa waziri sina uhakika kama mtu aliye makini anaweza kutamka maneno kama hayo.
 
...acha kusikiliza propaganda,election alishinda fair & square na kumbuka the guy anachukia rushwa na ufisadi kuliko kitu chochote,Rwanda hakuna rushwa wala longolongo just follow the law utaishi vizuri hakuna wa kukusumbua,hizo kelele wanaomwita muuaji au kuonea wapinzani wake ni wale genociders ambao alisema he will hunt them mpaka wote wapate justice au wezi na wala rushwa ambao Kagame ni zero tolerance kwa rushwa na ufisadi.
 
Bornagain debating na extremist kama wewe is a waste of time,hujui chochote zaidi ya garbage unazo copy & paste from the web,na igorance yako imejionyesha zaidi kwa hii post hapo juu

Sina neno ndugu mimi ni extremist haya ngoja ambao sio extremist wamkaribishe Kagame aje atusaidie ATCL, PTA, nakila shirika liloshindikana maana Kagame ndo mwarubaini
 
Bornagain debating na extremist kama wewe is a waste of time,hujui chochote zaidi ya garbage unazo copy & paste from the web,na igorance yako imejionyesha zaidi kwa hii post hapo juu

Koba,Jasusi, Duduwasha, Lonestriker please from your heart guys let me know what is president Paul Kagame is offering you for your propaganda, maana na sie tukijua tunaweza tukajiunga na nyie kumsafisha Kagame. Hasa Koba wewe inapofika story ya Kagame yaani kila mtu anaechangia wewe unasema ni garbage like wewe ndo Kagame mwenyewe ama wewe ndo msemaji wa Kagame. Please bwana penye ukweli pasemwe tu bila kuficha na penye pongezi papongezwe. Lakini kwa kifupi to me hakuna nachoweza kumsifia Kagame,just see below Rwandan Ambassador to UN Theonise Rudansingwa anavoelezea uozo wa Kagame. Yeye anaelezea kila kitu kwamba Rwanda is just a time ticking bombs lakini wewe unapiga kelele kwamba " actually we are doing fine, eti fine. FINE MY FOOT!

Former Rwandan Ambassador Theogene Rudasingwa's express concerns with the Great Lakes nation - YouTube

I CONFIRM IT IS PAUL KAGAME WHO SPARKED THE RWANDAN GENOCIDE, RUDASINGWA

Chief Editor Dr Theogene Rudasingwa.
PAUL KAGAME KILLED PRESIDENT JUVENAL HABYARIMANA, PRESIDENT CYPRIEN NTARYAMIRA OF BURUNDI, DEOGRATIAS NSABIMANA, ELIE SAGATWA, THADDEE BAGARAGAZA, JUVENAL RENZAHO, EMMANUEL AKINGENEYE, BERNARD CIZA, CYRIAQUE SIMBIZI, JACKY HERAUD, JEAN PIERRE MINABERRY AND JEAN-MICHEL PERRINE

Theogene Rudasingwa, ready to tell the truth about Habyarimana assassination
On August 4, 1993, in Arusha, Tanzania, the Government of Rwanda and the Rwandese Patriotic Front signed the Arusha Peace Agreement. The provisions of the agreement included a commitment to principles of the rule of law, democracy, national unity, pluralism, the respect of fundamental freedoms and the rights of the individual. The agreement further had provisions on power-sharing, formation of one and single National Army and a new National Gendarmerie from forces of the two warring parties; and a definitive solution to the problem of Rwandan refugees.
On April 6, 1994, at 8:25 p.m., the Falcon 50 jet of the President of the Republic of Rwanda, registration number "9XR-NN", on its return from a summit meeting in DAR-ESSALAAM, Tanzania, as it was on approach to Kanombe International Airport in KIGALI, Rwanda, was shot down. All on board, including President Juvenal Habyarimana , President Cyprien Ntaryamira of Burundi, their entire entourage and flight crew died.
The death of President Juvenal Habyarimana triggered the start of genocide that targeted Tutsi and Hutu moderates, and the resumption of civil war between RPF and the Government of Rwanda. The RPF's sad and false narrative from that time on has been that Hutu extremists within President Habyarimana's camp shot down the plane to derail the implementation of the Arusha Peace Agreement, and to find a pretext to start the genocide in which over 800,000 Rwandans died in just 100 days. This narrative has become a predominant one in some international circles, among scholars, and in some human rights organizations.
The truth must now be told. Paul Kagame, then overall commander of the Rwandese Patriotic Army, the armed wing of the Rwandese Patriotic Front, was personally responsible for the shooting down of the plane. In July, 1994, Paul Kagame himself, with characteristic callousness and much glee, told me that he was responsible for shooting down the plane. Despite public denials, the fact of Kagame's culpability in this crime is also a public "secret" within RPF and RDF circles. Like many others in the RPF leadership, I enthusiastically sold this deceptive story line, especially to foreigners who by and large came to believe it, even when I knew that Kagame was the culprit in this crime.
The political and social atmosphere during the period from the signing of the Arusha Accords in August 1993 was highly explosive, and the nation was on edge. By killing President Habyarimana, Paul Kagame introduced a wild card in an already fragile ceasefire and dangerous situation. This created a powerful trigger, escalating to a tipping point towards resumption of the civil war, genocide, and the region-wide destabilization that has devastated the Great Lakes region since then.
Paul Kagame has to be immediately brought to account for this crime and its consequences.
First, there is absolutely nothing honorable or heroic in reaching an agreement for peace with a partner, and then stabbing him in the back. Kagame and Habyarimana did not meet on the battlefield on April 6, 1994. If they had, and one of them or both had died, it would have been tragic, but understandable, as a product of the logic of war. President Habyarimana was returning from a peace summit, and by killing him, Kagame demonstrated the highest form of treachery.
Second, Kagame, a Tutsi himself, callously gambled away the lives of innocent Tutsi and moderate Hutu who perished in the genocide. While the killing of President Habyarimana, a Hutu, was not a direct cause of the genocide, it provided a powerful motivation and trigger to those who organized, mobilized and executed the genocide against Tutsi and Hutu moderates.
Third, by killing President Habyarimana, Kagame permanently derailed the already fragile Arusha peace process in a dangerous pursuit of absolute power in Rwanda. Kagame feared the letter and spirit of the Arusha Peace Agreement. As the subsequent turn of events has now shown, Kagame does not believe in the unity of Rwandans, democracy, respect of human rights and other fundamental freedoms, the rule of law, power sharing, integrated and accountable security institutions with a national character, and resolving the problem of refugees once and for all. This is what the Arusha Peace Agreement was all about. That is what is lacking in Rwanda today.
Last, but not least, Kagame's and RPF's false narrative, denials, and deceptions have led to partial justice in Rwanda and at the International Criminal Tribunal for Rwanda, thereby undermining prospects for justice for all Rwandan people, reconciliation and healing. The international community has, knowingly or unknowingly, become an accomplice in Kagame's systematic and shameful game of deception.
I was never party to the conspiracy to commit this heinous crime. In fact, I first heard about it on BBC around 1:00 am on April 7, 1994, while I was in Kampala where I had been attending the Pan African Movement conference.
I believe the majority of members of RPF and RPA civilians and combatants, like me, were not party to this murderous conspiracy that was hatched and organized by Paul Kagame and executed on his orders. Nevertheless, I was a Secretary General of the RPF, and a Major in the rebel army, RPA. It is in this regard, within the context of collective responsibility, and a spirit of truth-telling in search of forgiveness and healing, that I would like to say I am deeply sorry about this loss of life, and to ask for forgiveness from the families of Juvenal Habyarimana, Cyprien Ntaryamira, Deogratias Nsabimana, Elie Sagatwa, Thaddee Bagaragaza, Emmanuel Akingeneye, Bernard Ciza, Cyriaque Simbizi, Jacky Heraud, Jean-Pierre Minaberry, and Jean-Michel Perrine.
I also ask for forgiveness from all Rwandan people, in the hope that we must unanimously and categorically reject murder, treachery, lies and conspiracy as political weapons, eradicate impunity once and for all, and work together to build a culture of truth-telling, forgiveness, healing, and the rule of law. I ask for forgiveness from the people of Burundi and France whose leaders and citizens were killed in this crime. Above all, I ask for forgiveness from God for having lied and concealed evil for too long.
In freely telling the truth before God and the Rwandan people, I fully understand the risk I have undertaken, given Paul Kagame's legendary vindictiveness and unquenchable thirst for spilling the blood of Rwandans. It is a shared risk that Rwandans bear daily in their quest for freedom and justice for all. Neither power and fame, nor gold and silver, are the motivation for me in these matters of death that have defined our nation for too long. Truth cannot wait for tomorrow, because the Rwandan nation is very sick and divided, and cannot rebuild and heal on lies. All Rwandans urgently need truth today. Our individual and collective search for truth will set us free. When we are free, we can freely forgive each other and begin to live fully and heal at last.
Dr. Theogene Rudasingwa
Former: RPF Secretary General (1993-1996), Ambassador of Rwanda to the United States (1996-1999), and Chief of Staff for President Paul Kagame (2000-2004).
E-mail: ngombwa@gmail.com; Washington, DC. October 1, 2011

Perished in the plane:

Juvénal HABYARIMANA, Head of State of Rwanda;
Cyprien NTARYAMIRA, Head of State of Burundi;
Déogratias NSABIMANA, Chief of Staff of Rwandan Armed Forces (R.A.F.);
Elie SAGATWA, Colonel and Chief of the Military Cabinet of the Rwandan president;
Thaddée BAGARAGAZA, Major and executive officer in the ‘maison militaire' of the Rwandan president;
Juvénal RENZAHO, foreign affairs adviser to the Rwandan president;
Emmanuel AKINGENEYE, personal physician to the Rwandan president;
Bernard CIZA, Minister of Planning in the government of Burundi;
Cyriaque SIMBIZI, Communications Minister of Burundi;
and members of the French flight crew:
Jacky HERAUD, pilot;
Jean-Pierre MINABERRY, co-pilot; and ,
Jean-Michel PERRINE, flight engineer.
 
Niwemugizi you are a trip man...please quit hizo interahamwe politics,not good for you or anybody na jinsi ulivokuwa idealogue blinded unataka sasa watu waamini hutus ndio walikuwa victims of genocide na FYI hata big supporter wako (France) ambaye ali kusupply with machete during genocide alishatoa scientific/forensic report and concluded not RPF shot down Habyarimans plane ila ni ndugu zako hutu hardliner waliokuwa hawataki any talk with kagame,anyway you are too much man...remember final solution was a big failure and never again so dont waste your time na hizo junk zako zilizokujaa kichwani
 
Dah! Mabishano bado yanaendelea na huyu mkimbizi? Koba ashukuru ukarimu wa WATANZANIA.
 
Dah! Mabishano bado yanaendelea na huyu mkimbizi? Koba ashukuru ukarimu wa WATANZANIA.

...wee bweeege hiyo signature yako inaonyesha jinsi unavyoishi the past,watu walishasahau story za dowans,bot,tanesco etc watu wameshagawana na hakuna kesi ila mafala kama wewe ndio mmebaki kulipa madeni yaliyokopwa na serikali na kuishi gizani..hamia Rwanda utaishi vizuri na hakuna mtu atakuita mkimbizi kenge weee.
 
Umemaliza? khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

BTW the past determines the future fiy ..... kama wewe umesahau endelea kuchubiri historia haisahauliki ... .... . ati nihamie wapi? If you knew ... ... ..

Ni heri KAGAME mumuite Dikteta lkn Raia wake wanaishi vzuri ikumbukwe alishamwambia Nundu ampe Bandari tu ya Salama alishe Tanzania na Rwanda,,,Baniani mbaya kiatu chake kina Dawa! Big up Kagame japo Ulaya wanakuchukia kwa maendeleo yako ya kasi!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Mkuu unajuwa wakati mwingine tunapaswa kutafakali tunayo yazungumza, hivi nchi ya Rwanda ina tofauti gani na Mkoa wa Kagera kwa eneo, je idadi ya raia ni wangapi? Kagema amekaa kwenye madaraka takribani miaka 17 na ushee, sasa swali: Tukichukua maendeleo ya taifa letu kwa awamu ya nne achilia mbali awamu ya tatu, nitaje machache: Mabarabara ya lami yaliyo jengwa Tanzania kwenye awamu hii ya nne; Mashule: Shule za msingi, sekondari, vyuo vya ufundi, vyuo vikuu vya RAIA na Kijeshi; Mahospitali mengine yenye hadhi ya dunia ya kwanza i.e kutibu magojwa ya moyo/kupasua,Figo,Neurosurgery nk; Mawasiliano: makampuni ya simu za mikononi, Mkonga wa taifa wa mawasiliano, usambazaji/utandikaji RING ya optical fiber nchi nzima - branch nyingine imekwenda Rwanda kwenyewe; Mahoteli; Utalii; Viwanda:Nondo,mabati Sementi,Vinywaji kawaida na vikali, matrekta, construction equipment nk; Vyombo vya habari: Tv stations, Radio, Magazeti and what have you.

Kama kungekuwa na uwezekano wa kubabe kila kitu nilicho taja hapo juu tukapeleka RWANDA - nchi hiyo ingeonekanaje mbele ya International Community si ingeonekana hiko mbali sana kimaendeleo, nakubali kuna vitu Kagame amejitahidi kwenye nyanja fulani lakini mengine tunaweka chumvi mno, kumbuka yeye amekaa madarakani kwa miaka karibu 18; Je JK ambaye amekuwa madarakani kwa miaka saba, kuongoza nchi kubwa kuliko zote Africa Masharaki na kujitahidi kufanya mengi kwa muda mfupi wa uongozi wake, mbona baadhi ya RAIA wana mbeza beza!!
 
...acha kusikiliza propaganda,election alishinda fair & square na kumbuka the guy anachukia rushwa na ufisadi kuliko kitu chochote,Rwanda hakuna rushwa wala longolongo just follow the law utaishi vizuri hakuna wa kukusumbua,hizo kelele wanaomwita muuaji au kuonea wapinzani wake ni wale genociders ambao alisema he will hunt them mpaka wote wapate justice au wezi na wala rushwa ambao Kagame ni zero tolerance kwa rushwa na ufisadi.

Siwezi kukuzuia kupenda unachopenda ila usipotoshe jamii, kuchukia rushwa ni kitu kingine na udikteta au uuaji ni kitu kingine. Kama kweli unatenda haki katika kuandika kwako tuambie ni nani hasa aliyeangusha ndege iliyokua imembeba rais Juvenali Habyarimana wa Rwanda na Rais Cyprien Ntaryamira wa Burundi . Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kawalaumu watu wanaogongana gizani bila kumlalaumu aliyezima taa.
 
Huu upuuzi hapa chini ndio ulileta genocide na sio kagame kama mnavyotaka watu humu wamini na Habyarima hakuuwawa na RPF ni wenzake ambao walikuwa hawataki maelewano na RPF kama unataka tutakuletea official report iliyofanywa na wafaransa...soma ndugu zako kama na wewe sio mmojawapo labda unaweza kujua how evill hao mabwege unaowatetea

The Hutu Ten Commandments

1. Every Hutu should know that a Tutsi woman, whoever she is, works for the interest of her Tutsi ethnic group. As a result, we shall consider a traitor any Hutu who

  • marries a Tutsi woman
  • befriends a Tutsi woman
  • employs a Tutsi woman as a secretary or a concubine.
2. Every Hutu should know that our Hutu daughters are more suitable and conscientious in their role as woman, wife and mother of the family. Are they not beautiful, good secretaries and more honest?
3. Hutu women, be vigilant and try to bring your husbands, brothers and sons back to reason.
4. Every Hutu should know that every Tutsi is dishonest in business. His only aim is the supremacy of his ethnic group. As a result, any Hutu who does the following is a traitor:
  • makes a partnership with Tutsi in business
  • invests his money or the government's money in a Tutsi enterprise
  • lends or borrows money from a Tutsi
  • gives favours to Tutsi in business (obtaining import licenses, bank loans, construction sites, public markets, etc.).
5. All strategic positions, political, administrative, economic, military and security should be entrusted only to Hutu.
6. The education sector (school pupils, students, teachers) must be majority Hutu.
7. The Rwandan Armed Forces should be exclusively Hutu. The experience of the October 1990 war has taught us a lesson. No member of the military shall marry a Tutsi.
8. The Hutu should stop having mercy on the Tutsi.
9. The Hutu, wherever they are, must have unity and solidarity and be concerned with the fate of their Hutu brothers.
  • The Hutu inside and outside Rwanda must constantly look for friends and allies for the Hutu cause, starting with their Hutu brothers.
  • They must constantly counteract Tutsi propaganda.
  • The Hutu must be firm and vigilant against their common Tutsi enemy.
10. The Social Revolution of 1959, the Referendum of 1961, and the Hutu Ideology, must be taught to every Hutu at every level. Every Hutu must spread this ideology widely. Any Hutu who persecutes his brother Hutu for having read, spread, and taught this ideology is a traitor.[SUP][1][/SUP]
 
Mkuu unajuwa wakati mwingine tunapaswa kutafakali tunayo yazungumza, hivi nchi ya Rwanda ina tofauti gani na Mkoa wa Kagera kwa eneo, je idadi ya raia ni wangapi? Kagema amekaa kwenye madaraka takribani miaka 17 na ushee, sasa swali: Tukichukua maendeleo ya taifa letu kwa awamu ya nne achilia mbali awamu ya tatu, nitaje machache: Mabarabara ya lami yaliyo jengwa Tanzania kwenye awamu hii ya nne; Mashule: Shule za msingi, sekondari, vyuo vya ufundi, vyuo vikuu vya RAIA na Kijeshi; Mahospitali mengine yenye hadhi ya dunia ya kwanza i.e kutibu magojwa ya moyo/kupasua,Figo,Neurosurgery nk; Mawasiliano: makampuni ya simu za mikononi, Mkonga wa taifa wa mawasiliano, usambazaji/utandikaji RING ya optical fiber nchi nzima - branch nyingine imekwenda Rwanda kwenyewe; Mahoteli; Utalii; Viwanda:Nondo,mabati Sementi,Vinywaji kawaida na vikali, matrekta, construction equipment nk; Vyombo vya habari: Tv stations, Radio, Magazeti and what have you.

Kama kungekuwa na uwezekano wa kubabe kila kitu nilicho taja hapo juu tukapeleka RWANDA - nchi hiyo ingeonekanaje mbele ya International Community si ingeonekana hiko mbali sana kimaendeleo, nakubali kuna vitu Kagame amejitahidi kwenye nyanja fulani lakini mengine tunaweka chumvi mno, kumbuka yeye amekaa madarakani kwa miaka karibu 18; Je JK ambaye amekuwa madarakani kwa miaka saba, kuongoza nchi kubwa kuliko zote Africa Masharaki na kujitahidi kufanya mengi kwa muda mfupi wa uongozi wake, mbona baadhi ya RAIA wana mbeza beza!!

sema tu niko mobile ningekugongea like
 
Huu upuuzi hapa chini ndio ulileta genocide na sio kagame kama mnavyotaka watu humu wamini na Habyarima hakuuwawa na RPF ni wenzake ambao walikuwa hawataki maelewano na RPF kama unataka tutakuletea official report iliyofanywa na wafaransa...soma ndugu zako kama na wewe sio mmojawapo labda unaweza kujua how evill hao mabwege unaowatetea

Oficial report mbona zipo nyingi zinazohusisha RPF na mauaji hayo, kama ni wenzake waliomua ilikuaje ndani ya mda mfupi RPF wakawa tayari wameshashika maeneo muhimu. Wewe uko nje ya Rwanda siku moja tembelea Rwanda uende mpaka vijijini ndo utajua kua kuna bomu linaandaliwa na huyo mtu unaemsifia.
 
Huu upuuzi hapa chini ndio ulileta genocide na sio kagame kama mnavyotaka watu humu wamini na Habyarima hakuuwawa na RPF ni wenzake ambao walikuwa hawataki maelewano na RPF kama unataka tutakuletea official report iliyofanywa na wafaransa...soma ndugu zako kama na wewe sio mmojawapo labda unaweza kujua how evill hao mabwege unaowatetea

The Hutu Ten Commandments

1. Every Hutu should know that a Tutsi woman, whoever she is, works for the interest of her Tutsi ethnic group. As a result, we shall consider a traitor any Hutu who

  • marries a Tutsi woman
  • befriends a Tutsi woman
  • employs a Tutsi woman as a secretary or a concubine.
2. Every Hutu should know that our Hutu daughters are more suitable and conscientious in their role as woman, wife and mother of the family. Are they not beautiful, good secretaries and more honest?
3. Hutu women, be vigilant and try to bring your husbands, brothers and sons back to reason.
4. Every Hutu should know that every Tutsi is dishonest in business. His only aim is the supremacy of his ethnic group. As a result, any Hutu who does the following is a traitor:
  • makes a partnership with Tutsi in business
  • invests his money or the government's money in a Tutsi enterprise
  • lends or borrows money from a Tutsi
  • gives favours to Tutsi in business (obtaining import licenses, bank loans, construction sites, public markets, etc.).
5. All strategic positions, political, administrative, economic, military and security should be entrusted only to Hutu.
6. The education sector (school pupils, students, teachers) must be majority Hutu.
7. The Rwandan Armed Forces should be exclusively Hutu. The experience of the October 1990 war has taught us a lesson. No member of the military shall marry a Tutsi.
8. The Hutu should stop having mercy on the Tutsi.
9. The Hutu, wherever they are, must have unity and solidarity and be concerned with the fate of their Hutu brothers.
  • The Hutu inside and outside Rwanda must constantly look for friends and allies for the Hutu cause, starting with their Hutu brothers.
  • They must constantly counteract Tutsi propaganda.
  • The Hutu must be firm and vigilant against their common Tutsi enemy.
10. The Social Revolution of 1959, the Referendum of 1961, and the Hutu Ideology, must be taught to every Hutu at every level. Every Hutu must spread this ideology widely. Any Hutu who persecutes his brother Hutu for having read, spread, and taught this ideology is a traitor.[SUP][1][/SUP]

Mkuu kwani Theonise Rudansingwa ni kabila GANI, hivi inaingia akilini kwamba anayo ieleze dunia ni mambo ya KUTUNGA i.e hayana ukweli wowote! Kwa nini afanye kitu kama hicho kwani anataka apewe post ya ukatibu mkuu wa UN 4 being brave to come clean; kumbuka mtu huyu alikuwa kwenye inner circle ya regime ya Kagame kwa hiyo alikuwa yuko well informed kilicho jili unless wewe unaye counter matamshi yake wenda ikawa ulibahatika kuwepo wakati ndege inataunguliwa. Binafsi sikumbuki kusoma mahali popote ambapo wanasema kwamba Kagame personally aliwahi kufyatua shoulder fired surface to air missiles mbili zilizo angusha ndege ya Rais wa nchi huru. Mkuu tukubali kwamba kuuwawa kwa Rais Habyarimana ndiko kuli trigger mauaji ya alahiki regardless ya "who fired the missiles in the first place" Cha muhimu hapa ni: Ni nani alitoa amri ya kutunguliwa ndege na kuwaua ma Rais wa nchi mbili kikatili.

One more thing, kwenye vitu ulivyo itemise hapo juu sioni item hata moja inayo zungumzia specifically kwamba Watutsi wauawe emass by HUTUS! Kwa nini tusiamni kwamba hii inawezekana ni adithi/propaganda za kutunga kwa lengo la kuwa-discredit wa HUTU ili dunia iwaone ni watu wabaya sana/hatari! Mbinu hizi utumiwa sana na Waisrael, sasa swali: Did u or did u not borrow a leaf from 'em? Nyinyi hapa huwa mnazungumzia kuuwawa Watutsi na moderate Hutus karibu 800,000, je unaweza kutuangalia usoni na kutwambia ni wahutu wangapi waliuwawa na majeshi ya RWANDA kwenye kambi za wakimbizi huko DRC baada ya Kabila Sr kuchukuwa madaraka, wangalizi/wapelelezi wa kimataifa usema over two million HUTUS were slaughtered mercelessly in the refugee CAMPS kama kulipiza kisasi - kwa minajili ya namna hiyo mtu unategemea nchi yenu inaweza kweli kuwa na amani ya kudumu? Nyinyi wote mna matatizo si Watutsi si Wahutu labda BATWA/WATWA, makabila mawili mnashindwa kuelewana! Je mgekuwa Tanzania yenye makabila 120 na ushee ingekuwaje, TAKAFALI HILO KWA UMAKINI - goodday.
 
Binafsi sikumbuki kusoma mahali popote ambapo wanasema kwamba Kagame personally aliwahi kufyatua shoulder fired surface to air missiles mbili zilizo angusha ndege ya Rais wa nchi huru. Mkuu tukubali kwamba kuuwawa kwa Rais Habyarimana ndiko kuli trigger mauaji ya alahiki regardless ya "who fired the missiles in the first place" Cha muhimu hapa ni: Ni nani alitoa amri ya kutunguliwa ndege na kuwaua ma Rais wa nchi mbili kikatili.

...hizo ni discredited theory tumezisikia for over 15 yrs,talking points zako ni za hao genociders wanaotafutwa dunia nzima and seems ignorance yako ya Rwanda/Congo understanding ni ya hali ya juu or unaelewa lakini purposefully you know whats up,only ****** na watu kama wewe ndio wataamini shoot down of the plane ndio ilifanya one milion tutsi wachinjwe within 90 days...mpuuzi sana wewe!!
 
Back
Top Bottom