Duduwasha
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 5,703
- 3,663
Sasa baada ya Mbabe Gadaffi sasa kuna mmbabe mpya wa Africa naye ni Raisi wa Rwanda mwenye akili nyingi Bwana Paul Kagame.... akitoa hotuba yake ya kulaani nchi za Magharibi na Marekani kuwa Rwanda inawasaidia waasi wa Congo ni suala la kizushi kupindukia..
kwani ni sawa na mtu aue mtu mwingine barabarani kisha auchukue mwili wa marehmu na auweke mrangoni kwako then aende polisi kusema kisha polisi wakupeleke mahakamani kwa kosa la kuua....
so nchi za Ulaya na marekani ndizo zimeiua DRC kwani zimekuwa zikifadhiri silaha na wanajeshi wengi kila mwaka ndani ya hiyo nchi then wameona wameshindwa lengo lao hivyo wameamua kuisingizia Rwanda...
Sasa kagame kawaambia kuwa kama ndio hivyo yeye anaweza kurejesha amani DRC wamlipe na hiyo kazi haitomshinda kama wao walivyoshindwa... na yeye kwa upande wake kasema anayo matatizo yake so huo muda wa kuleta amani DRC angeweza kutatua matatizo yake ya nchini kwake....
Ukweli na uwazi ameuonesha kuwa kama nchi za magharibi zina pesa nyingi wafute hiyo mipango yao ya kuweka majeshi na silaha wampe pesa yeye apige kazi... na jinsi nimsikiavyo huyu jamaa mbona DRC itatulia...
Akimaliza huko tumpe kama alivyoomba aishike uongozi kwa Tanzania kwa muda wa miezi miwili basi ataigeuza kama Dubai(Alishawahi kuomba Bandari aiongoze kwa Muda tu muone kazi yake)
Ndio Kagame wape wape hao Vidonge Vyao....