chitambikwa
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,941
- 903
Wote wana mke mmoja mmoja isipokuwa mmoja
Kagame alichukulia mafunzo ya kijeshi yote nchini Uganda, wakati anaandaliwa kuivamia nchi ya Rwanda na kwa kuwa alikuwa hajaiva vizuri kama rafiki yake marehemu Fred Rwigema. Rais wa Uganda ambae ni swahiba wake alimpeleka United States Army Command and General Staff College (CGSC) huko Fort Leavenworth, Kansas hiki ni chuo kikubwa sana duniani kwenye mambo ya jeshi.Ukisikia mwanajeshi amepitia huko yaani anauwezo wa kumuona binadamu mwenzake kama inzi.Kwa hiyo kuua na kutesa kwa mwanajeshi aliepitia chuo hiki ni kitu cha kawaida sana