Joseph Kabila anatafuta nini?

Joseph Kabila anatafuta nini?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
142,528
Reaction score
287,064
Huyu alikuwa Rais wa DRC kwa mgongo wa Wapambe (chawa) wa baba yake, Muda wake ukamalizika, uchaguzi ukaitishwa Mtu wake akaangushwa, aliyeshinda ni Martin Fayulu

Kabila akagoma kumtangaza, akaingia makubaliano na Mgombea mwingine aliyeshindwa anayeitwa Shishekedi ndiye akatangazwa, akaunda naye kolabo na chama chake cha Rwanda, shishekedi akastuka. Akatimua Kabila na chama chake

Stori ni ndefu bali tunataka kujua kisa cha Kabila kuwa muasi wa nchi aliyoiongoza, anataka nini?

Screenshot_20261013_221000_Instagram.jpg
 
View attachment 3690167
Madaraka...
 
Deputy PM of DRC,
the war lord, Jean Pierre Bemba Gombo is waiting him in Kinshasa with a long smile :HAhaa:
 
Attachments

  • a09704a9-6d0e-4811-992f-60894a0b60ab_w1200_h630.jpg
    a09704a9-6d0e-4811-992f-60894a0b60ab_w1200_h630.jpg
    138.3 KB · Views: 2
wakuu Inasikitisha sana!
Binadamu ukikosa hekima utashi haya ndio matokeo yake. Watu wenye ubinafsi uliopindukia huwa hawana mshipa wa aibu. Sasa huyu akivaa suti ana ndevu mtu unaweza ukadhani ni mtu wa maana kabisa kumbe zero brain.
Hayuko peke yake mwenye tamaa ya madaraka kama yeye, East Africa wapo wanne Mr 7 Mr neck na Mr tabasamu.
Huyu ni mtoto wetu wa kambo kakulia hapa elimu yake ni form 4 Kamaliza mnazi mmoja evening. Marehemu Baba yake naye alikuwa kama yeye mnafiki mbinafisi na hakuwa na mshipa wa aibu. baba yake alisaidiwa kufika kileleni akawageuka waliomsaidia matokeo yake wakamtanguliza. Baba yake aliwahaidi washirika na wafadhiri wake kuwa ataifanya Zaire kuwa nchi yenye utawala bora na demkrasia na kwamba atawafuta machozi wakongo kwa kurejesha amani na kukomesha uonevu na udiktekta lakini baada ya kupata madaraka akawa worse kuliko Diktekta Mobutu. Amechangia sana distabilazation ya DRC. Katika kipindi cha mtoto ndio East DRC ikawa a failed region hadi leo. Inasikitisha sana. sasa unajiuliza kwa akili hizi aliitaawalaje DRC kwa miaka 16.
MUNGU WA MBINGUNI TUSAIDIE TUSIWE WATU WA TAMAA ILIYPITILIZA NA ISIYO HALALI! BILA MUNGU PEKEYETU ATUWEZI.
 
Back
Top Bottom