Katika kumbukumbu zangu sijawahi kusikia Kagame wa Rwanda kuja kufanya state visit hata ya siku moja hapa Tanzania. Kwa hiyo nina uhakika hata hii picha huenda ilipigiwa Uganda na sio Tanzania. Hata kama kuwe na issue gani ya kitaifa Kagame atatuma mwakilishi na siyo yeye kuja hapa Dar. Mwenye kumbukumbu hiyo aniambie na kama kweli hajawai kuja Tanzania what is his motive behind
Atakuwa anaona Ma classmate wake wa pale Sangu Sec watamzingua kuombaomba ela. Si unajua tena watanzania wanavopenda miteremko.... Muulize Kikwete wavomzingua ndo utajua....
Atakuwa anaona Ma classmate wake wa pale Sangu Sec watamzingua kuombaomba ela. Si unajua tena watanzania wanavopenda miteremko.... Muulize Kikwete wavomzingua ndo utajua....
Naona unachanganya madesa Paul Kagame wa Rwanda hajawahi kusoma Tanzania, aliesoma Sangu Secondary ni Kabila Jr
Kamzungumzia Kagame na sio Kabila
Naona unachanganya madesa Paul Kagame wa Rwanda hajawahi kusoma Tanzania, aliesoma Sangu Secondary ni Kabila Jr
Katika kumbukumbu zangu
sijawahi kusikia Kagame wa Rwanda kuja kufanya state visit hata ya siku
moja hapa Tanzania. Kwa hiyo nina uhakika hata hii picha huenda
ilipigiwa Uganda na sio Tanzania. Hata kama kuwe na issue gani ya
kitaifa Kagame atatuma mwakilishi na siyo yeye kuja hapa Dar. Mwenye
kumbukumbu hiyo aniambie na kama kweli hajawai kuja Tanzania what is
his motive behind
Mmmm fast jet tena haya sasaNi kweli mkuu, na hiyo ni kwa sababu fastjet ni kilaza, kagame anamdharau sana. kuna kauli kagame alitoa kuwa angepata dsm port, rwanda ingekuwa mbali sana... sasa hilo si ni sawa na kusema fastjet hana akili...
Wanaongea kiswahili au kiingereza?
By the way, Paul Kagame ni mwanafunzi wa taaluma ya Ulinzi na Usalama. Au ni seme ni Professional Soldier. Kuna mtu kaniambia juzijuzi tu hapa kwamba huyu bwana hakufika mbali sana katika formal education tunayoijua, kwa hiyo anajiendeleza katika masomo ya kawaida kwa evening classes akiwa palepale Ikulu kupata sijui Kadigrii gani; kama alivyokuwa akifanya Meles Zenawi. Now, mambo ya redio mbao si lazima kuyaamini sana.
Ila nikuulize kajiswali sasa, kama labda mwenzangu unaweza kuwa unajua kitu: Paul Kagame ni Mwanajeshi. Huyu jamaa mafunzo yake ya Kijeshi alichukulia nchi gani hasa?
Wanakula jokes za Kiswahili! "Ukila na kipofu usimkamate mkono"
Hakuna mwenye note book wala nn. Ila M7 naona kama kashika Biblia vile
Katika kumbukumbu zangu sijawahi kusikia Kagame wa Rwanda kuja kufanya state visit hata ya siku moja hapa Tanzania. Kwa hiyo nina uhakika hata hii picha huenda ilipigiwa Uganda na sio Tanzania. Hata kama kuwe na issue gani ya kitaifa Kagame atatuma mwakilishi na siyo yeye kuja hapa Dar. Mwenye kumbukumbu hiyo aniambie na kama kweli hajawai kuja Tanzania what is his motive behind
Ni kweli mkuu, na hiyo ni kwa sababu fastjetni kilaza, kagame anamdharau sana. kuna kauli kagame alitoa kuwa angepata dsm port, rwanda ingekuwa mbali sana... sasa hilo si ni sawa na kusema fastjet hana akili...