bukyanagandi said:
Spoton Mkuu Kabaridi, We're as guilty as HELL!! Mkuu Kabaridi hebu fikilia watu waliopoteza maisha nchini Congo sio million tatu tu ni million tano na ushee na wanaendelea kupoteza maisha - kinacho sikitisha ni Dunia kukaa kimya inawahacha wahusika wakuu wanao chochea vita na vurugu nchini DRC bila ya kuwafikisha kwenye mahakama ya kimataifa ya kushughulikia WAR criminals, badala yake ICC inakwenda kukimbizana kimbizana na akina Uhuru na RUTO wamewakalia kooni kweli kweli! Mimi naona ajabu sana kwa ni tuwe na double standard kwenye masuala ya uharifu wa kivita. Rais ambaye alikuwa anaelewa vizuri plan za akina PK na M7 kuhusu DRC na nchi jirani ni Mh Robert Mugabe.
PK na M7 wanalipo vamia DRC kwa mara ya pili, Mzee Mugabe alimuomba Mh.Mkapa ampe base ya kuishambulia Rwanda akitokea Tanzania naona Mzee Mkapa alimkatalia 4 some reasons ambazo haziko clear!! Nia ya Mzee Mugabe alitaka amuondoe kabisa madarakani PK nafikili, alishajua kabisa kwamba jamaa huyu akiachwa kuendela na adventures zake in East and Central Africa, hakuna nchi ambayo atabaki salama! - Naona Utabili wa Mzee Mugabe utatimia siku si nyingi. Mimi sio mtume wala nabii lakini nataka kuwapa tahadhali Watanzania wenzangu kwamba jamaa huyu anaweka mikakati ya ku-wreak havoc katika Taifa letu - iwe covertly au overtly na uwezo huo anao sana, atashirikiana na M7 indirectly, hawa wote wanaona Tanzania ni kikwazo kwa malengo yao; kwa bahati mbaya Mh.Uhuru ajaliona hilo!
Asifikili mzozo wa kisiwa cha Magingo umekufa a natural death wana buy time tu. Mh.Kenyatta anapashwa kuwa mwangalifu sana na jamaa hawa(sina hakika na spelling kisiwa) - Yale madege ya Shukhoi MK30 Museveni hakuyanunua kulinda nchi yake wala nini - aliyanunua kwa madhumuni ya kuyatumia katika vita vya kuvamia DRC kwa mara ya tatu kwa kuwa aliona Airforce ya Mugabe ilivyo chachafya majeshi ya Rwanda na Uganda nchini DRC, fundisho walilo lipata ndilo liliwafanya
wanunue ndege za kwao wanafikili wanaweza ku-counter Airforce ya Zimbabwe wanasahau kwamba wakijitia wajuaji watapashwa kukabili Airforces za South Africa na Angola (i.e SADC) na kusema kweli nchi zote za SADC zimekwisha choshwa na viburi na vurugu za jamaa hawa, wakianzisha vita kwa pretext yoyote ile wajuwe itakuwa mbaya sana ambayo haijawahi kushuhudiwa barani Africa na matokeo yake kila mtu mwenye akili timamu anajua itawa-cost dearly Uganda na Rwanda, nataka kuwakumbusha wakina M7 na PK kwamba William Clinton hana tena madaraka/Mamlaka ya kuwasaidi kwa lolote hata ndege za Hercules za kubeba wanajeshi wao na silaha watakuwa wanazisikia kwenye Radio!
Nataka kurudia kuwapa ushauri wa bure kwamba inapokuja katika ufanisi wa kutumia jet fighter effectively kwenye war theater what counts ni skills za fighter pilots sio ndege. Looking back now naona Lt General Weather kwenye Mount Kenya alitusadia sana kupunguza ma-Chopper Gunships ya Uganda, jamaa hawa hawapashwi kuwa na such sophisticated flying machines - uwezi kujua kesho watafanya nini! Ni wapenda vita kupindukia.
Hapa wa kulaumiwa zaidi ni serikali ya DRC; baada ya kupata msaada wa kijeshi kutoka angola tanzania mozambique na zimbabwe, wangepanga mikakati ya kuflush rebels wote nje ya mipaka na kurudisha hali ya amani, usalama, na kufanya uchaguzi wa kidemokrasia kutafuta rais atakayeongoza serikali. Kumbe mpaka leo imebainika wazi hakujakuwa na serikali yenye kutoa sera congo tangu kuangushwa kwa serikali ya mobutu.
Pili, baada ya mobutu kuifilisi nchi aliyotawala kifedha na kuhamisha hazina za congo zote kwenye benki za uzunguni, vibaraka wa mobutu walisalia hapo na kugundua jamii ya kimataifa (Un) ilitamani congo kuendelea kusambaratika, waliendelea kupokea ufadhili wa mobutu kutoka benki za uswizi kuzidi kureclaim ground na ndio labda kagame kwa hofu ya ushirikiano wa vibaraka wa Mobutu ssese seko pamoja na inter-haramwe hutu rebels, akachukua jukumu la kuivamia congo na kuweka polisi wa kirwanda kupatrol kufanya kazi na serikali ya DRC kuzuia possibilty ya inter-haramwe hutu genocidaires kupenya katika nyadhifa za 'serikali' ya congo....
System ya kufadhili vita vya africa congo has been systematically expensive, kiasi ambacho kingetumika kama msaada, ingeipa DRC matumaini ya kupata maendeleo.... na sasa mzozo huu umezidi kuwa mbaya miaka nyingi kulazimu kujiuliza maswali, itakuaje rebels wa mai mai, M23, wale wanakuwa sponsored na FDLR ya rwanda....isipokuwa kuna mkono mkubwa usioonekana. Mataifa ya SADC (tanzania) are not innocent here to be spared kwa kuruhusu DRC kuendelea kuharibika mpaka wakati huu and Rwanda on the other hand is not very innocent either!
Tatu, kumekosekana uaminifu kutoka kwa nchi za tanzania na rwanda. Sababu kubwa ikiwa si vyema kuwe na taifa la kiafrika kuharibu matumaini ya taifa lingine la kiafrika kupata amani. Kihistoria ni mataifa tu ya kikoloni zinazoeneza ideologyia hii.
lazima tanzania kureview sera zao ndani ya congo, kabla kugeuka kuwa national shame, na isiwe inagonganishwa kichwa pamoja na kagame kwenye huu mzozo.
….kama JWTZ inaogopa matokeo ya ukosefu wa usalama pande za kigoma, it is only at JWTZ best interests to act swiftly and desicively kuondoa threats zote..... cc
JokaKuu...
Sadc looks formidable though fractious.....................dialogue cannot thrive kati ya matiafa husika ya SADC kwa hayaonani macho kwa macho
.....but tanzania is not in a safe spot tight federation ingawa Ni hivi majuzi imejikuta kwenye mvutano wa kidiplomasi na malawi japokuwa muungano huu ndio unajivunia kuwa na mataifa mengi zaidi barani..........It is easy kwa mataifa ya ulaya to cripple mataifa ya SADC with economic sanctions rendering them innefective diplomatically than it is to EAC....mugabe's case is real..where he can only speak from his backyard.... if mugabe is the SADC pitbul and he's confined then to his backyard then Tz can only tread delicately in DRC.....though it is easier to legally complicate matters internationally for EAC via ICC................
Ni kama kumfungia kuku kamba mahindi.....I suspect M7 will throw himself in the DRC mess very soon...but let not uhuru do this mistake kwa sababu it will be very costly in the end and probably because there is equally something from the international community to gain for pacifying rwanda and also for its destabilization! I don't know kama that makes sense lakini lazima kuangalia mambo kiundani...
......
Nne, kuna uwezekano jamii ya kimataifa imepata ishara zote Africa mashariki, janga ya kimizozo na kivita inabadilika kwa kasi; hii ni baada ya alshabab kuondolewa somali kwa kipindi kifupi mno, na ndio uhuru na ruto kawekewa vikwazo vya ICC maskudi kuwa na compund effect sio ndani kenya pekee, kama njia pia ya kuzuia geo-political consequences of resolve ya serikali za kiafrika hasa zilizostawi kiulinzi, kiuchumi na kisiasa (IGAD nations). Mugabe himself yaujua he has been carefully isolated into zimbabwe na hawezi operate outside borders mpaka pale atakapoondolewa mzigo wa economic sanctions.
Tano, (nasema mara ya pili sasa) DRC itaweza kurekebiswa pale tu palipo na mkataba wa amani. lakini kwa wakati huu haiwezekani jamii ya kimataifa kukubali uchaguzi wa kidemokrasia kufanyika. Mikataba ya amani huwekwa pale tu kuna serikali iliyochaguliwa. Huwezi kamwe kumweka ex-rebels mamlakani kwasababu hatakubali demokrasia. Yeye hujipenyeza mamlakani kutumia bunduki
Sita, Huyu political activist alice gatebuke ningetarajia moja ya mtazamo wake uwe pia kuzungumiza DRC kupata serikali iliyochaguliwa kidemokrasia kama suluhu ya pekee ambao itamaliza huu mzozo na kuzuia mengine kutokea.
Saba, Most of these political activists do not work out of sincerity, lakini wanatumia nafasi walizopata kama njia ya kupata ufadhili kusimamia mahitaji ya matumbo binafsi. kama alice gatebuke alikuwa na mawazo ya rwanda moyoni na Congo kurekebika, inambidi kufanya shughuli zake hapa barani africa. Kama the 'true daughter of rwanda' ataifia rwanda kwa sababu anaipenda, tunapaswa kumwona barani mara kwa mara. Lakini kama ni maswala ya tumbo lake mwenyewe anaangazia..... hamna lolote hapo!
My Take
Kwa maoni yangu nitakosoa SADC kwa kukosa uaminifu inaposhughulikia Kurejesha hali ya kawaida DRC , na ndio inafanya EAC to be, on a technically superior level kidiplomasia. bado EAC has not been tested.