Nataka kusisitiza swala alilozungumza mwenzetu juu ya kufanya critical analysis ya situation ya Congo pasipo kurukiarukia mambo ya propaganda. Tatizo la Congo ni kabila Jn ambaye asili yake si congo bali Rwanda akiwa na special assignemnt ya watu wenye pua ndefu wakina Kgama na Museveni. Watu wa Congo wanahitaji uongozi wao na wasilazimishwe kuwa chini ya wanyarwanda. Wote tunajua kwamba baada ya Kabla Jn kukubali kuingia katika mtandao na kumuua Kabila snr ambaye si bailogical father wake, alipewa jukumu la kuirarua congo ki uchumi, ndio maana cha kwanza alichofanya ni kuua wacongo wote walioonekana kuwa hatari katika kazi yake hiyo mpya. Afrika isikubali kuwa wanafiki kwa kuweke tawala za kikoloni katika nchi ile, Kabila atoke awaache wacongo wachague serikali yao ya wacongo. Kwa hivi tunavyokwenda Tanzania na wapiga debe wengine wakiwemo Angola na /zimbabwe wanaoendelea kuua waongo kwa kisingizio cha kumsaidia kabila wana commmit genocie, damu za wacongo na ziwe juu ya Kikwete na marafiki zake