Kafulila na Moses Machali wako live TBC

Hakuna serikali inayojificha kwe kivuli cha uzalendo km hii asee yani ikiruka kidogo inakataza uchochezi sasa hao akina machali mgwira mtulia na kafulila ndo mifano ya uzalendo?
Kwa maana yao uzalendo ni kujiunga na ccm.aisee
 
Wazalendo wa Kolomije AKA Wazalendo uchwara.

 
Hawa wanachezea mali ya umma bure pasipo na tija kwa upuuzi
 
Washauzwa libya Haooo.....
Mmoja wapo hapo mpaka leo hajapewa châke aliingizwa kingi na wazee wa kijani

Ova
 
Wangapi wanaangalia TBC nowadays??
 

Mkuu hata wewe unatazama TBC ?????????.
 
Nchi imekosa uzalendo katika awamu hii ya tano kuliko wakati mwingine wowote tangu uhuru. Hii hali inachagizwa na namna rais wa sasa anavyoiendesha nchi. Kumekua na ukabila, ukanda , uchama na hata udini wazi wazi. Vyombo vya maamuzi kama bunge, mahakama vimemezwa kabisa na rais akitumia dola. Awamu hii imeshindwa kabisakutofautisha kazi za serikali na chama na hata kupelekea matukio ya kitaifa mfano wa uhuru, muungano nk kusherehekewa kama sherehe za ccm. Mambo haya ndio yamewagawa wananchi na kuzidisha chuki miongoni mwao na kufikia mahali pa kupinga kila kitu hata vile vizuri kwa sababu tu vimetolewa na yule mtu wanaemchukia sana na wanamchukia kwa sababu ya kuondoa mshikamano wa taifa.
 
hawana maaana tena hao wapo sawa na pombe ambayo haina kilevi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…