Kafulila na Moses Machali wako live TBC

Huwa unatazama TBC?

Hivi mashabiki wa chadema mna akili kweli? Si mlisema hamtazami hiyo chanel
 
Nimewaona Isco akiimba bora tuachane ya lavalava,na Henry akiongea kiswahili
 
Vijana waliovuna aibu ya karne. Aibu kwa wasomi waliosimamia matumbo badala ya maslai ya Taifa
 
kama anakubalika mbona anatumia rasilimali nyingi?
 
Wasikilize wewe mi naona kichefuchefu
 
Unajua unaponunuliwa unakuwa kama ndondocha au mtumwa hivi , kwa hiyo waweza kutumikishwa kwa lolote lile , unakuwa kama bundi wa uchawi unaweza kutumwa kuloga hata mama yako mzazi .
 
MACHALI ALIKUWA AMETOA JICHO KAMA MJUSI KABANWA MLANGONI.ANAONYESHA KABISA ANATAFUTA CHEO
 
Je watu wanaofikiria matumbo hauwezi kuwajua ??? Utu kwao sio kitu. Pray 4 TL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…