Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,842
- 31,073
Kafulila anaeleza kuwa mfumo wa Magufuli wa fukuza fukuza yake watumishi wa Umma, unaweza usiwe na tija kwa Taifa, kwa kuwa upo uwezekano watumishi hao wa Umma wakafidiwa mabilioni ya shilingi......
Iwapo watumishi watapeleka malalamiko yao kwenye vyombo vya sheria kutokana na kufukuzwa kazi bila kufuata taratibu za sheria za kazi.....
Iwapo watumishi watapeleka malalamiko yao kwenye vyombo vya sheria kutokana na kufukuzwa kazi bila kufuata taratibu za sheria za kazi.....