KAFULILA Mbashara Chanell 10 Leo!

KAFULILA Mbashara Chanell 10 Leo!

6d64ecb2210283b0bb672ccf9ad67bd3.jpg

Usikose Leo Saa 4:00 Usiku "Mwelekeo wa Uchumi Tanzania"Mhe.Kafulila atakuwa akiuchambua uchumi toka JPM akabidhiwe nchi.

Mnakumbuka Kilichompata Kafulila kule Clouds?Ngoja tuone kama watamgwaya tena.
asije tu akatu-disappoint kama Lwakatare aliyekuwa anajiumauma juzi.

au asije akaboa kama Nassari (huyu Nassari nahisi yuko mbioni kwenda TLP au CCM huyu).
 
Kuna taarifa kuwa kipindi kimeahirishwa. Sasa watarudia hotuba ya Mkulu Kagera.
 
Sasa sisi inatuhusu nini kutuletea habari za huyu jamaaaa alietoka ukawa na kuhamia ukawa? Hata tukikiu uliza wewe sisi inatuhusu nini kutuletea hizo ngonjera na wakati tayari tunaye kiboko ya mafisadi na walarushwa na wapiga madili ambae NI MAGUFULI?? Hata upinzani wafanye maajabu gani, tulisha amua Magufuli anatoshaa
Huyo kiboko wa mafisad mbona hawafungi sasa & juz tu wazir ake kasema mahakama imekosa kesi,alaf bado unatuletea stor za kiboko wa mafisad,au mafisad wez wa kuku??
 
Sasa sisi inatuhusu nini kutuletea habari za huyu jamaaaa alietoka ukawa na kuhamia ukawa? Hata tukikiu uliza wewe sisi inatuhusu nini kutuletea hizo ngonjera na wakati tayari tunaye kiboko ya mafisadi na walarushwa na wapiga madili ambae NI MAGUFULI?? Hata upinzani wafanye maajabu gani, tulisha amua Magufuli anatoshaa
Umemeamua wewe sio tumeamua
 
Tena akimaliza miaka yake kumi tunabadili katiba aongoze tena miaka kumi kwa sababu wabunge wengi ni wetu na wananchi wanampenda magufuli
 
Sasa sisi inatuhusu nini kutuletea habari za huyu jamaaaa alietoka ukawa na kuhamia ukawa? Hata tukikiu uliza wewe sisi inatuhusu nini kutuletea hizo ngonjera na wakati tayari tunaye kiboko ya mafisadi na walarushwa na wapiga madili ambae NI MAGUFULI?? Hata upinzani wafanye maajabu gani, tulisha amua Magufuli anatoshaa
Kunywa maji punguza hasira.
 
Li i

Lini MTU ambaye kasoma BBA akachambua uchumi. Ameujulia wapi. BBA yenyewe kaunga unga ya jioni. Labda angekuwa lipumba hapo sawa. Kafulila amekalilishwa tu economic growth na economic development tegemeeni kusikua hayo tu.

Kukalili ni ugonjwa mbaya Sana. Elimu c ile unayoiendea darasani tu.
 
6d64ecb2210283b0bb672ccf9ad67bd3.jpg

Usikose Leo Saa 4:00 Usiku "Mwelekeo wa Uchumi Tanzania"Mhe.Kafulila atakuwa akiuchambua uchumi toka JPM akabidhiwe nchi.

Mnakumbuka Kilichompata Kafulila kule Clouds?Ngoja tuone kama watamgwaya tena.
Blah blah tu ili apande kisiasa
 
Li i

Lini MTU ambaye kasoma BBA akachambua uchumi. Ameujulia wapi. BBA yenyewe kaunga unga ya jioni. Labda angekuwa lipumba hapo sawa. Kafulila amekalilishwa tu economic growth na economic development tegemeeni kusikua hayo tu.
Andika upya herufi umechapia sana inaonyesha una kigugumizi cha ccm kwenye mikono yako?
 
6d64ecb2210283b0bb672ccf9ad67bd3.jpg

Usikose Leo Saa 4:00 Usiku "Mwelekeo wa Uchumi Tanzania"Mhe.Kafulila atakuwa akiuchambua uchumi toka JPM akabidhiwe nchi.

Mnakumbuka Kilichompata Kafulila kule Clouds?Ngoja tuone kama watamgwaya tena.
Hamna kitu humu.
 
Li i

Lini MTU ambaye kasoma BBA akachambua uchumi. Ameujulia wapi. BBA yenyewe kaunga unga ya jioni. Labda angekuwa lipumba hapo sawa. Kafulila amekalilishwa tu economic growth na economic development tegemeeni kusikua hayo tu.
Andika upya herufi umechapia sana inaonyesha una kigugumizi cha ccm kwenye mikono yako.
 
Sasa sisi inatuhusu nini kutuletea habari za huyu jamaaaa alietoka ukawa na kuhamia ukawa? Hata tukikiu uliza wewe sisi inatuhusu nini kutuletea hizo ngonjera na wakati tayari tunaye kiboko ya mafisadi na walarushwa na wapiga madili ambae NI MAGUFULI?? Hata upinzani wafanye maajabu gani, tulisha amua Magufuli anatoshaa
Mkuu jina lako... Linaendana na Comments yako!
 
Back
Top Bottom