georgemwaipungu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,779
- 589
Apande mara mbili?Blah blah tu ili apande kisiasa
Au unaogopa atakutaja kwenye scandal mpya
Apande mara mbili?Blah blah tu ili apande kisiasa
Wewe mjinga haya bwana wewe wasemaHamna kitu humu.
Atazungumza sasa,hutaki unataka ndio iko hivyo!Siasa tu ....tuliwaamini enzi hizo ...sasa inabidi tutengeneze kizazi kipya cha upinzani ...issues za uchumi waulizwe wachumi na wahasibu nguli ....wanasiasa waulizwe siasa ....
Atazungumza sasa,hutaki unataka ndio iko hivyo!Siasa tu ....tuliwaamini enzi hizo ...sasa inabidi tutengeneze kizazi kipya cha upinzani ...issues za uchumi waulizwe wachumi na wahasibu nguli ....wanasiasa waulizwe siasa ....
Kafulila amekwisha,licha ya kujitoa NCCR kwenda Chadema ili apate nguvu,lakini wapi.Sasa anatumia nguvu nyiingi kujitengeneza kwenye mediaApande mara mbili?
Au unaogopa atakutaja kwenye scandal mpya
Bangi mbaya sana!Sasa sisi inatuhusu nini kutuletea habari za huyu jamaaaa alietoka ukawa na kuhamia ukawa? Hata tukikiu uliza wewe sisi inatuhusu nini kutuletea hizo ngonjera na wakati tayari tunaye kiboko ya mafisadi na walarushwa na wapiga madili ambae NI MAGUFULI?? Hata upinzani wafanye maajabu gani, tulisha amua Magufuli anatoshaa
Umekatika huku saa 3 dk51, labda kama utarudiNa wanavyomugopa Jembe,Wakishindwa watakata umeme
Itakua wewe sio mtanzania Kafulila ndo mwanasiasa anayeogopwa na lumumba walifanya juu chini asirudi bungeni ana mpangilio mzuri wa mawazo na data kibao namuheshim sana asante kwa taarifaAnachambua uchumi kwa kutia novel na Tigris?...keshakufa kisiasa,atahama mpaka achanganyikiwe...wanakigoma hawatasahau dharau yake kwa mawese.
Ndio kazi ya mwanasiasa! Lazima uwe kwy media,nk ili usipotee! Ni kawaida sana iyoKafulila amekwisha,licha ya kujitoa NCCR kwenda Chadema ili apate nguvu,lakini wapi.Sasa anatumia nguvu nyiingi kujitengeneza kwenye media
Muda huu ndio mzuri,kwenda kuwaomba radhi wale wakulima wa mawese aliowakebehi,kuliko kuhangaika kwenye ma Tv anapoteza pesa yake bureNdio kazi ya mwanasiasa! Lazima uwe kwy media,nk ili usipotee! Ni kawaida sana iyo
wewe ndio unatengeneza hiko kizazi?Siasa tu ....tuliwaamini enzi hizo ...sasa inabidi tutengeneze kizazi kipya cha upinzani ...issues za uchumi waulizwe wachumi na wahasibu nguli ....wanasiasa waulizwe siasa ....