KAFULILA Mbashara Chanell 10 Leo!

KAFULILA Mbashara Chanell 10 Leo!

aisee ch 10 watarudi huyu jamaa akimaliza maana inaonekana alijiandaa sana kuuangusha ufalme wa kijani. Marudio ya hiki kipindi ni lini wakuu?
 
Kafulila anazidi kueleza kuwa nchi yetu inakabiliwa na deni kubwa sana ndani na nje ya nchi......

Kwa hali hiyo kutokana na serikali kulipa madeni hayo hali ya uchumi inazidi kudorora......
 
Muda huu ndio mzuri,kwenda kuwaomba radhi wale wakulima wa mawese aliowakebehi,kuliko kuhangaika kwenye ma Tv anapoteza pesa yake bure
Ccm inakuuma nn?sikiliza madini,kafulila=wabunge 20 wa ccm!
 
Anachambua uchumi kwa kutia novel na Tigris?...keshakufa kisiasa,atahama mpaka achanganyikiwe...wanakigoma hawatasahau dharau yake kwa mawese.
Mkuu mbona kama unawasemea Kigoma kama vile upo kigoma?

Hivi una knowledge yoyote ya uchumi kweli? Usilete wazo lako kama kinachoongelea hukijui.
 
Kafulila anazidi kueleza kuwa nchi yetu inakabiliwa na deni kubwa sana ndani na nje ya nchi......

Kwa hali hiyo kutokana na serikali kulipa madeni hayo hali ya uchumi inazidi kudorora......

Unaangalizia wapi mkuu?
 
Ng'ombe mkatwa mkia...hata akili ni kipisi.

Anakuja kujificha ccm akidhani atazawadiwa cheo?

Sisi sii mabwege kama chadema.
 
Anaeleza kuwa donor countries nyingi zimekata misaada yao kwa nchi yetu kutokana na nchi yetu kukosa good governance, anatoa mifano miwili mikubwa ambayo ni CCM kupora ushindi wa dhahiri wa Maalim Seif kule Zanzibar mwaka juzi.

Ameeleza pia kuwa kutokana na serikali yetu kupitisha sheria 2 kandamizi za cyber crime na ya huduma ya habari, ndiyo imezidi kuichafua nchi yetu katika jumuiya ya kimataifa na hivyo kuzifanya nchi hizo kukata misaada yao kwa nchi yetu......
 
Ccm Wamekata Matangazo Ya Channel Ten Kwenye King'amuzi Cha Startimes
 
Hata hapa kwangu naona channel 10 ishakatika!
 
Channel 10 haipo hewan kwa Sasa,

Kupitia kingamuzi cha STARTIMES.

JUMA PUNGUZA MAHARAGE please.
 
Naona matangazo hapa kwangu yamerejea......

Anaponda vikali uamuzi wa Magu wa kununua ndege kadhaa.......

Anasema pamoja na kuwa nchi yetu inahitaji ndege, lakini kwa sasa hatupaswi kufanya ununuzi wa ndege kuwa priority no One.

Anasema priority no 1 ingepaswa kuelekezwa kwenye kukuza kilimo chetu........
 
Siasa tu ....tuliwaamini enzi hizo ...sasa inabidi tutengeneze kizazi kipya cha upinzani ...issues za uchumi waulizwe wachumi na wahasibu nguli ....wanasiasa waulizwe siasa ....

Duuu mkuu kweli ina hasira. Anyway lakini ndio hivyo wamekata matangazo. Ukweli una shida zake.
 
Yaaan kisa kafulila tena sio mbunge tena hadi simu zinapigwa tv station imekatwa gafla kisa hukuna wa kumkosoa. Ila ukweli huongea na muda
 
Kumbe Africa mashariki Tanzania ndio nchi yenye umeme wa bei nafuu Asante Kwa taarifa kafulila
 
Maccm ni zero brain, yaani yanamwogopa Kafulila? hadi kuzima TV? ni aibu kubwa
 
Sasa sisi inatuhusu nini kutuletea habari za huyu jamaaaa alietoka ukawa na kuhamia ukawa? Hata tukikiu uliza wewe sisi inatuhusu nini kutuletea hizo ngonjera na wakati tayari tunaye kiboko ya mafisadi na walarushwa na wapiga madili ambae NI MAGUFULI?? Hata upinzani wafanye maajabu gani, tulisha amua Magufuli anatoshaa
NI MAFISADI WANGAPI WAMEFIKISHWA MAHAKAMANI NA KUKUTWA NA HATIA.
 
Kafulila anaeleza kuwa deni la Taifa linazidi kuongezeka maradufu.......
 
Back
Top Bottom