asije tu akatu-disappoint kama Lwakatare aliyekuwa anajiumauma juzi.
Usikose Leo Saa 4:00 Usiku "Mwelekeo wa Uchumi Tanzania"Mhe.Kafulila atakuwa akiuchambua uchumi toka JPM akabidhiwe nchi.
Mnakumbuka Kilichompata Kafulila kule Clouds?Ngoja tuone kama watamgwaya tena.
Acha personal attack,changia hojaAnachambua uchumi kwa kutia novel na Tigris?...keshakufa kisiasa,atahama mpaka achanganyikiwe...wanakigoma hawatasahau dharau yake kwa mawese.
Huyo kiboko wa mafisad mbona hawafungi sasa & juz tu wazir ake kasema mahakama imekosa kesi,alaf bado unatuletea stor za kiboko wa mafisad,au mafisad wez wa kuku??Sasa sisi inatuhusu nini kutuletea habari za huyu jamaaaa alietoka ukawa na kuhamia ukawa? Hata tukikiu uliza wewe sisi inatuhusu nini kutuletea hizo ngonjera na wakati tayari tunaye kiboko ya mafisadi na walarushwa na wapiga madili ambae NI MAGUFULI?? Hata upinzani wafanye maajabu gani, tulisha amua Magufuli anatoshaa
Umemeamua wewe sio tumeamuaSasa sisi inatuhusu nini kutuletea habari za huyu jamaaaa alietoka ukawa na kuhamia ukawa? Hata tukikiu uliza wewe sisi inatuhusu nini kutuletea hizo ngonjera na wakati tayari tunaye kiboko ya mafisadi na walarushwa na wapiga madili ambae NI MAGUFULI?? Hata upinzani wafanye maajabu gani, tulisha amua Magufuli anatoshaa
Tena akimaliza miaka yake kumi tunabadili katiba aongoze tena miaka kumi kwa sababu wabunge wengi ni wetu na wananchi wanampenda magufuliSasa sisi inatuhusu nini kutuletea habari za huyu jamaaaa alietoka ukawa na kuhamia ukawa? Hata tukikiu uliza wewe sisi inatuhusu nini kutuletea hizo ngonjera na wakati tayari tunaye kiboko ya mafisadi na walarushwa na wapiga madili ambae NI MAGUFULI?? Hata upinzani wafanye maajabu gani, tulisha amua Magufuli anatoshaa
Hata mimi nawasiwasi na akili zakeHivi wewe jamaa ni mzima kweli?
Akili yako ina mashaka.Nakuuuliza tena, sisi inatuhusu nini hata tukiku uliza wewee
Kunywa maji punguza hasira.Sasa sisi inatuhusu nini kutuletea habari za huyu jamaaaa alietoka ukawa na kuhamia ukawa? Hata tukikiu uliza wewe sisi inatuhusu nini kutuletea hizo ngonjera na wakati tayari tunaye kiboko ya mafisadi na walarushwa na wapiga madili ambae NI MAGUFULI?? Hata upinzani wafanye maajabu gani, tulisha amua Magufuli anatoshaa
Li i
Lini MTU ambaye kasoma BBA akachambua uchumi. Ameujulia wapi. BBA yenyewe kaunga unga ya jioni. Labda angekuwa lipumba hapo sawa. Kafulila amekalilishwa tu economic growth na economic development tegemeeni kusikua hayo tu.
Pole pole hamkumuona alivyokuwa anapiga domo sana.Daah! Kutoka Ubunge mpaka kuwa Mpiga Domo kwny TVs
Nyinyi-M?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kafulila wa kuitia Hofu CCM?
Blah blah tu ili apande kisiasa
Usikose Leo Saa 4:00 Usiku "Mwelekeo wa Uchumi Tanzania"Mhe.Kafulila atakuwa akiuchambua uchumi toka JPM akabidhiwe nchi.
Mnakumbuka Kilichompata Kafulila kule Clouds?Ngoja tuone kama watamgwaya tena.
Wewe mbunge wa viti maalumu uko tayari tukuandalie kipindi na Kafulila mpambane hoja kwa hoja?Anachambua uchumi kwa kutia novel na Tigris?...keshakufa kisiasa,atahama mpaka achanganyikiwe...wanakigoma hawatasahau dharau yake kwa mawese.
Haha tigirisAnachambua uchumi kwa kutia novel na Tigris?...keshakufa kisiasa,atahama mpaka achanganyikiwe...wanakigoma hawatasahau dharau yake kwa mawese.
Andika upya herufi umechapia sana inaonyesha una kigugumizi cha ccm kwenye mikono yako?Li i
Lini MTU ambaye kasoma BBA akachambua uchumi. Ameujulia wapi. BBA yenyewe kaunga unga ya jioni. Labda angekuwa lipumba hapo sawa. Kafulila amekalilishwa tu economic growth na economic development tegemeeni kusikua hayo tu.
Hamna kitu humu.
Usikose Leo Saa 4:00 Usiku "Mwelekeo wa Uchumi Tanzania"Mhe.Kafulila atakuwa akiuchambua uchumi toka JPM akabidhiwe nchi.
Mnakumbuka Kilichompata Kafulila kule Clouds?Ngoja tuone kama watamgwaya tena.
Andika upya herufi umechapia sana inaonyesha una kigugumizi cha ccm kwenye mikono yako.Li i
Lini MTU ambaye kasoma BBA akachambua uchumi. Ameujulia wapi. BBA yenyewe kaunga unga ya jioni. Labda angekuwa lipumba hapo sawa. Kafulila amekalilishwa tu economic growth na economic development tegemeeni kusikua hayo tu.
Unaogopa kuvuliwa nguo na mtu ambaye tayari hana nguo?Lumumba washaanza kuchanganyikiwa..wanahofu kafulila atawavua nguo...
Mkuu jina lako... Linaendana na Comments yako!Sasa sisi inatuhusu nini kutuletea habari za huyu jamaaaa alietoka ukawa na kuhamia ukawa? Hata tukikiu uliza wewe sisi inatuhusu nini kutuletea hizo ngonjera na wakati tayari tunaye kiboko ya mafisadi na walarushwa na wapiga madili ambae NI MAGUFULI?? Hata upinzani wafanye maajabu gani, tulisha amua Magufuli anatoshaa