Kafulila na Zito ni Marafiki.
Tunakumbuka kuwa Kafulila alikuwa CDM na Zitto alimtaka awe mwenyekiti wa vijana na baada ya kuukosa akahamia NCCR mageuzi ambapo Zitto (naibu katibu mkuu wa CDM) aliunga mkono hatua hiyo! na kueleza kwmaba atamwunga mkono kugombea jimbo la Kigoma kusini
Kwa kuwa hawa ni marafiki, Kafulila anafundishwa na Zitto vitu vya kufanya ili naye atoke!
Zitto "alitoka" baada ya kuwasilisha hoja binfsi ya BUZWAGI ambapo aliungw amkono na watanznaia wengi wakidhani kuwa ana maelngo mazuri na nji hii lakini kumbe alikuw aamelenga kupata umaarufu ili aweze "kuzivuta" na kuacha malengo ya msingi
Kafulila naye anataka kuwasilisha hoja binfasi kuhusu umeme hususan wakati huu ambapo DOWANS inavuma, anatengemeza mazingira ya kutaka Ujiko ili hatimaye naye aweze "kuzivuta" au tayri ameanza kuzivuta
Tunakumbuka Jinsi jepesi alivyokuwa akipiga chapuo la kutaka kununuliw akw amitambo chakavu ya DOWANS na sasa inawezekana kabisa Kafulila (ingawa anaweza kuonekana ana malengo mazuri) kuwa anatumiwa na hawa jamaa ambao sasa wanataka kulipwa b 185
Kitu kingine "kibaya" kwa "wanasiasa wa aina hii " kutoka Kigoma ni kuwa labda hawana msimamo, Dr kabudru, Nsanzugwanko na Zitto Kabwe ( ambaye wakati fulani mara atangaze kuacha siasa, mara atangaze kuw ambunge wa taifa, agombee, Geita, kahama au Kinondoni)