Kafulila kumpiku Kabwe?

kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,535
1,650
Kwa speed hii anayokuja nayo mh Kafulila anaweza akawa tishio kwenye bunge la 10 kama alivyokua Mh Zitto kwenye bunge lililopita but waswas wangu ni huyu zitto ambaye amekua haeleweki ndani ya CDM.Eti nyinyi mnalionaje hili jamani?
 
bado sijamuelewa vizuri KAFULILA, sijui thinking capacity yake towards the nation. mara nyingi hawa vijana hununuliwa haraka saaana due to lack of leadership empowerment kwa vyama vyao na taifa kwa ujumla zaidi ya kuangalia mambo ya faster-faster pasipo kuangalia impact gani ahead of them.
SIWAELEWI hawa akin Zitto & Kafulila.
 
kama zitto alivyochakachuliwa..ndivyo na kafulila atakavyochakachuliwa soon..
 
kwani kuna tofauti kati yao?
si nilisikia ni mapacha sijui marafiki damu damu?
they must be the same kwa kila kitu i guess
 
Nazani TAMAA ya maisha mazuri na PESA za haraka haraka za njia za mkato, NDIZO ZINAZOWAHARIBU hawa
 
Zitto has recently been a disaster! Nimesoma interview yake jana kwenye The Citizen na majibu yake kuhusu sababu za kwenda kinyume na wenzake kwenye swala la kufa na kupona ni bourbon talk yaani kama anakunywa wisky. Nimemsikiliza Kafulila leo kwenye Clouds FM anaonekana ana point kuhusu UMEME. Wasi wasi wangu ni kwamba Kafulila ni protege wa Zitto Kabwe na anaweza akapotoshwa naye. Let us hope not.
 
Mbona ni sawa na kulinganisha Ligi ya Kombe la Kinesi na Barclays Premier League!?! Zitto is a lot better than Kafulila. Tatizo waTZ ni wagumu kuelewa afu wapesi kusahau!
 
Kwa speed hii anayokuja nayo mh Kafulila anaweza akawa tishio kwenye bunge la 10 kama alivyokua Mh Zitto kwenye bunge lililopita but waswas wangu ni huyu zitto ambaye amekua haeleweki ndani ya CDM.Eti nyinyi mnalionaje hili jamani?
 
Kwa speed hii anayokuja nayo mh Kafulila anaweza akawa tishio kwenye bunge la 10 kama alivyokua Mh Zitto kwenye bunge lililopita but waswas wangu ni huyu zitto ambaye amekua haeleweki ndani ya CDM.Eti nyinyi mnalionaje hili jamani?

Kafulila si rafiki yake, anajua mwenzie makeke yake yalimsaidia vipi, na yeye ndo anaanza anaweza naye kuingia kwenye kamati, si unajua mzee.
Ila for sure wala usiogope... akipata mfadhili na yeye atatulia tu.... tumeona wengi si yeye tu.
 
Kwa speed hii anayokuja nayo mh Kafulila anaweza akawa tishio kwenye bunge la 10 kama alivyokua Mh Zitto kwenye bunge lililopita but waswas wangu ni huyu zitto ambaye amekua haeleweki ndani ya CDM.Eti nyinyi mnalionaje hili jamani?

kwani kafulira kafanyaje zaidi ya kumkataa ngeleja?tujuze.....
 
Kwa speed hii anayokuja nayo mh Kafulila anaweza akawa tishio kwenye bunge la 10 kama alivyokua Mh Zitto kwenye bunge lililopita but waswas wangu ni huyu zitto ambaye amekua haeleweki ndani ya CDM.Eti nyinyi mnalionaje hili jamani?

Hivi kafulia kwa nini unataka attention kubwa na haraka namna hii?? Acha kuanzisha hizi thread za kukupa ujiko wa bwana mdogo. Ubunge utakupa kichaa sasa hivi. This again is another crap thread from you!
 
Kila siku Zitto Zitto jamani jadilini mambo muhimu yanayo husu hii nchi kwa nini tunarudi hatua 7 nyuma?
 
kafulila ni mchapakazi kiasi chake ataamfunika zito kabisaaaaaaaaaaaaaaaa
hata Mnyika asipojipanga aatafunikwa
 
Ndio maana yake kwani mlikuwa hamjui hapa watu wa CDM ni ma hater wa Zitto kwa kuwa kawafunika na walidhani wataibuka wao sasa safari hii kaingia Kafulila waliyemuita sisimizi amegeuka tembo na anazo nondo kali kali za kumnyanyua NCCR for life
 
Kafulila ibua kashfa za kifisadi ili na wewe ulipwe mihela na mafisadi, cheza karata yako ndani ya hii miaka 5 utoke.
 
Hivi kafulia kwa nini unataka attention kubwa na haraka namna hii?? Acha kuanzisha hizi thread za kukupa ujiko wa bwana mdogo. Ubunge utakupa kichaa sasa hivi. This again is another crap thread from you!
Ahaa kumbe ni kafulila mwenyewe kaanzisha thread. Duh. Kweli anauusaka umaarufu.
Kwani kafanya nn kiasi kwamba anaonekana anakuja kasi?
 
Kafulila na Zito ni Marafiki.
Tunakumbuka kuwa Kafulila alikuwa CDM na Zitto alimtaka awe mwenyekiti wa vijana na baada ya kuukosa akahamia NCCR mageuzi ambapo Zitto (naibu katibu mkuu wa CDM) aliunga mkono hatua hiyo! na kueleza kwmaba atamwunga mkono kugombea jimbo la Kigoma kusini

Kwa kuwa hawa ni marafiki, Kafulila anafundishwa na Zitto vitu vya kufanya ili naye atoke!
Zitto "alitoka" baada ya kuwasilisha hoja binfsi ya BUZWAGI ambapo aliungw amkono na watanznaia wengi wakidhani kuwa ana maelngo mazuri na nji hii lakini kumbe alikuw aamelenga kupata umaarufu ili aweze "kuzivuta" na kuacha malengo ya msingi

Kafulila naye anataka kuwasilisha hoja binfasi kuhusu umeme hususan wakati huu ambapo DOWANS inavuma, anatengemeza mazingira ya kutaka Ujiko ili hatimaye naye aweze "kuzivuta" au tayri ameanza kuzivuta

Tunakumbuka Jinsi jepesi alivyokuwa akipiga chapuo la kutaka kununuliw akw amitambo chakavu ya DOWANS na sasa inawezekana kabisa Kafulila (ingawa anaweza kuonekana ana malengo mazuri) kuwa anatumiwa na hawa jamaa ambao sasa wanataka kulipwa b 185

Kitu kingine "kibaya" kwa "wanasiasa wa aina hii " kutoka Kigoma ni kuwa labda hawana msimamo, Dr kabudru, Nsanzugwanko na Zitto Kabwe ( ambaye wakati fulani mara atangaze kuacha siasa, mara atangaze kuw ambunge wa taifa, agombee, Geita, kahama au Kinondoni)
 
Kwa speed hii anayokuja nayo mh Kafulila anaweza akawa tishio kwenye bunge la 10 kama alivyokua Mh Zitto kwenye bunge lililopita but waswas wangu ni huyu zitto ambaye amekua haeleweki ndani ya CDM.Eti nyinyi mnalionaje hili jamani?

Hebu acha kumpamba wewe! Amefanya kitu gani cha maana? Hana lolote wala si chochote ataishia kununuliwa tu na hivi ndo maskini kapata!!!!!!!!
 
Huyo kafulia wenu ataendelea kufulia hana lolote kama angekuwa sio m2 wa tamaa asingehama chadema kwakunyimwa uongozi wa vijana, kafulia ni mtu ovyo sana anapendaga kusifiwa na kujigamba anataka aonekane ni yeye tu,hivyo ataendelea kufulia kwa hongo za mafisadi.sembuse zitto mwenyewe kapewa kamati ya madini kaufyata mkia ndo mseme kafulia anaejisikia anajua kulikoni wengine.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom