Kafulila kuendelea na ubunge

Afadhali mahakama kama imeona uonevu wa Mbatia, yaani mtu asikosolewe yeye ni nani kwani?

Kafulila nakuomba ujipe moyo mkuu.
 
nina wasiwasi kama kweli ndani ya hivi vyama vyetu vya siasa kuna demokrasia ya kweli -- naongelea vyama vyote pamoja na CCM. maana mambo ni magumu..
 
Kafulila ni kijana mbunge mjenga hoja hata bungeni anachangamsha tatizo hana msimamo mara yeye na Hamad Rashid wapigania kambi isiyo rasmi, akitulia ni mzuri na 2015 atubu na arudi CDM
 
aendelee asiendelee na ubungo yote hayana muda hapa, cha kujiuliza hv zitto ni Kiongozi wa nccr pia? Au ana ubia na ubunge wa kafulila? Maana halipiti jambo la kafulila bila kusikia zitto katamka jambo.
 
zitto hajafanya baya lolote zaidi ya kutujuza tu mapema anachokijua.
Ni moja ya njia ya kupashana habari.
Cjaona baya alilofanya.
 
Hapa ni Presumption of Inocent......its obvious na huhitaji kuwa Lawyer, kama wameona prima facie then next ni quash decision until proven.......cha msingi hapani dhahiri kwa Kauli ya Tendwa kuna wacwac wa justice kupindishwa.......
 
aendelee asiendelee na ubungo yote hayana muda hapa, cha kujiuliza hv zitto ni Kiongozi wa nccr pia? Au ana ubia na ubunge wa kafulila? Maana halipiti jambo la kafulila bila kusikia zitto katamka jambo.

Kweli Wewe UNAMBOWA.
 
Sidhani kama ni ubunge!Itakuwa ni uanachama wake wa NCCR Mageuzi ambao alipokonywa na chama chake.Kabla hajaenda mahakamani alikuwa ni mbunge na ofisi ya bunge bado haijathibitisha kupokea barua na wala haijamtangaza Kafulila kuwa si mbunge!Kwahiyo hapa hoja ni uanachama sio ubunge,hawezi kurudishiwa kitu ambacho hakunyang'anywa..!
 
Hili la kuvuliwa UANACHAMA na kakikundi kadogo ka watu kanakotafuna RUZUKU yetu kwenye vihoteli vya hapa Dar halafu unapoteza UBUNGE wa JIMBO la wapiga kura maelfu mahakama zetu zitusaidie kwa kweli. Msajili wa vyama ameshindwa. Analialia tu kama mbwa aliyemwona chatu.
KATIBA ya JMT inatuangusha kwa hili. Inamtaka mtu kugombea kupitia chama lakini haisemi itamlindaje anapoandamwa na "best loosers" kama akina Mbatia.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
aendelee asiendelee na ubungo yote hayana muda hapa, cha kujiuliza hv zitto ni Kiongozi wa nccr pia? Au ana ubia na ubunge wa kafulila? Maana halipiti jambo la kafulila bila kusikia zitto katamka jambo.
Nimarafiki tena sana.
Alipokuwa anaumwa Zitto kafulila alikuwa karibu sana,
 
Hii itabaki kuwa changamoto katika zoezi la kuanda katiba mpya

Back
Top Bottom