Kafulila Asipotoshe Umma

Kafulila Asipotoshe Umma

Kweli kamanda.
Wajinga bado hawajui kuwa baada ya chama kununuliwa tumebadili gia. Siku hizi agenda ni kusubiri matukio na kupinga mabadiliko yanayofanywa na Magu kurejesha maliasili kwa watanzania.
Wajinga wanashabikia eti sasa hivi tuwe tunagawana mapato na ACACIA 50/50.
Sie werevu hatutaki hayo tunataka tushitakiwe ili tudaiwe mabilioni na Bombadier ziendelee kukamatwa.
Waache wajinga waendelee na Ajenda ya UFISADI tuliyoikacha mara tu kamanda Mbowe alipofika bei na kamanda LOWASA.
Hahahaha....!! Sijui kama Chakaza amekuelewa mkuu
 
Nadhani mleta mada ametoa shule ya jumla kwa watu wasio na uelewa kama Kafulila ambao hawajui dhana ya chama cha upinzani.

Agenda ya chama cha upinzani haiwezi kuwa ni hiyo hiyo wakati wote bali hutegemea serikali ya wakati huo inafanya nini dhidi ya wananchi wake. Kwa sasa naamini agenda ya udikteta ni yenye nguvu kuliko zote. Wananchi wengi wanaonja mateso ya udikteta/maamuzi ya mtu mmoja kuliko kitu kingine chochote.
Mkuu kasome dibaji ya ilani ya uchaguzi ya Chadema ya 2015 inasema Ufisadi ni tatizo kubwa hapa TZ sasa inakuaje midomo yao imezibwa na nini hawataki iwe ajenda kwa sasa??
 
Sishangai kuitwa SISIMIZI...na sifa ya sisimiz ni kuifuata SUKARI popote ilipo..
 
Lowasa hakunnua chama bali ni wajinga pekee waliokariri propaganda za CCM kuwa Lowasa kanunua chama, wale mbumbu mpaka lao wanaamini hilo lakini Wajanja kuliko ww huko huko CCM wanajua Richmond ni ya kikwete na Ufisadi upo huko huko CCM na ajenda ya Ufisadi ipo chadema bali vyama vya upinzani hawapo huru hawaruhusiwi kufanya mikutano mikubwa ya wazi ili waibue Ufisadi wa ununuzi wa ndege, ujenzi wa reli, chato Airport, michango ya rambirambi, vibali vya Sukari, kivuko cha Dsm -Bagamoyo,

Pesa inayochotwa hazina kwenda kwa Lipumba kwa ajili ya kudhoofisha upinzani huko CCM kwako kuna wizi wa kutisha ndiyo maana mmezibwa midomo kwa vitisho vya kuvuliwa uanachama wa CCM na mnazuia mikutano ya Upinzani kuwabambikia kesi kuwakomoa ili wasipate nafasi ya kuanika Ufisadi wenu.
Ujinga ni kudhani kuwa eti Magufuli kazuia mikutano kirahisirahisi tu.
Dr Slaa aliwauliza - Chama siku hizi hakina wanasheria? iko wapi NGUVU YA UMMA?
CHADEMA siku zote huko nyuma ilikuwa inajivunia NGUVU YA UMMA. Vipi siku hizi au nayo kaizuia Magufuli?
Ukweli ni kuwa baada ya UMMA kujua kumbe chama kinaweza kununuliwa na MAFISADI - CHADEMA siku hizi imekosa support ya UMMA.
Ndio maana tunalalamika eti Magufuli kazuia mikutano. Unakumbuka enzi zile siku tatu Askari wanapambana na UMMA pale Mbeya?
Ile ndo ilikuwa CHADEMA sio hii ya LOWASA CHADEMA Mdebwedo.
Eti Magufuli katuzuia - Hivi hamuoni aibu?
 
swali, je ni kweli ndani ya ccm hakuna mafisadi, majizi????. kama wapo je kuhamia ccm ndio kuwatoa majizi walioko uko au kukubaliana nao. au ndo kusema ukiwa ccm na ukawa jizi hakuna shida kubwa kama ukiwa upinzani?. je ni kweli kafulila kaona huko ndiko mahali salama pasipokuwa na majizi, fisadi au kuwa ukiwa huko uguswi hivi hivi, sawa escrow wako wapi??. Mwanasiasa siyo mtu wa kuaminiwa.
Kama Rais anasema asemi ccm oyee kwa sababu huko ccm Kuna mafisadi, je sasa vipi vipi.
 
Awali ya yote naomba kuchukua nafasi kumshukuru Mwenyezi Mungu kutujalia zawadi ya uzima tulio nao.

Bila kupoteza muda, napenda kusema kuwa nimemsikia Ndg Kafulila kupitia (voice note) akithibitisha kuwa ndiye aliyetoa tamko la kujiengua toka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Kimsingi sina tatizo na yeye kutoka kwani ni HAKI yake kikatiba kufanya maamuzi aliyoyafanya na hivyo sina PINGAMIZI lolote katika hilo.

Ndg Kafulila anasema kupitia tamko lake kuwa ataujulisha umma ni chama gani atajiunga nacho hivi karibuni, kitu ambacho binafsi naona hakina haja kwani tayari maudhui ya andiko lake yanabainisha ni chama gani atajiunga nacho.

Sasa kama sina tatizo na Ndg Kafulila ku-exercise haki yake kikatiba, kwanini natoa maoni yangu kuhusiana na suala lake la yeye kuondoka Chadema?

Nimeamua kutoa maoni yangu kutokana na ukweli kuwa SIKUBALIANI na hoja kuu ya Ndg kafulila kuwa UPINZANI SIO TENA JUKWAA SALAMA LA KUENDESHA VITA DHIDI YA UFISADI. Adai hii imetokana na vyama vya upinzani kupigwa ganzi (japo hajasema nani kavipiga ganzi na kwanini avipige ganzi) na hivyo UFISADI SIO TENA AJENDA KUU YA UPINZANI.

Labda nisema tu kuwa Ndg Kafulila ni ama kaamua kupotosha umma kwa makusudi au hajui ni nini maana ya VYAMA VYA UPINZANI, lakini pia hajui AJENDA KUU ya vyama hivyo nchini! Kifupi tu ni kwamba, UFISADI haujawahi kuwa na kamwe hauta kuwa AJENDA KUU ya vyama vya upinzani si tu kwa Tanzania, bali duniani pote. Hii inatokana na tafsri ya upinzani lakini pia wajibu wake katika Demokrasia ya mfumo wa vyama vingi duniani.

Naomba nitumie maandiko kadhaa kulithibitisha hili nisemalo, nitaanza na mmoja wa wanasiasa wakongwe na machachari nchini New Zealand, na huyu sio mwingine ila ni Dakta Donald Thomas Don Brash. Dakta Brash alipata kuwa Gavana wa Benki Kuu ya New Zealand, Kiongozi wa Kambi Rasmi Bungeni, Kiongozi wa vyama vya National Party na ACT Party kwa nyakati tofauti. Yeye aliwahi kusema, naomba nimnukuu;

“The Opposition’s main role is to question the government of the day and hold them accountable to the public…. Opposition represents an alternative government, and is responsible for challenging the policies of the government and producing different policies where appropriate.”

Naomba nitoe tafsiri (sio rasmi) Kazi kuu ya upinzani ni KUHOJI serikali iliyoko madarakani na kuifanya iwajibike kwa umma….Upinzani unawakilisha serikali MBADALA na unawajibika kutoa changamoto kwenye sera za serikali na hivyo kutoa sera tofauti/mbadala pale inapowezekana.

Dakta Brash anaongeza kusema, namnukuu; “…one of the most important jobs of the Opposition is to constantly question the Government. Any Government has to remain answerable to the public at all times, and a good Opposition can put the spotlight on serious issues and have them resolved quickly”.

Tafsiri (sio rasmi) Moja ya kazi muhimu za upinzani ni kuendelea kuhoji serikali bila kuchoka, Serikali yeyote inapashwa kuendelea kuwajibika kwa umma muda wote, na upinzani mzuri unaweza kumulika/kuibua mambo na hivyo kurekebishwa kwa haraka.

Lakini pia kwa mujibu wa Taasisi ya Kidemokrasi ya Afrika (Africa Democratic Institute) inasema wajibu wa upinzani katika Demokrasia ni mkubwa sana. Taasisi hii inabainisha baadhi ya kazi/wajibu wa upinzania kuwa ni pamoja na:-

To hold governments accountable (Kuiwajibisha Serikali);
To serve as a credible alternative to the ruling government (Kuwa mbadala wenye kuaminika/thabiti dhidi ya serikali inayotawala);
To promote and stimulate debates in parliament (Kukuza na kuchochea mijadala bungeni);
To be a training ground for future leaders (Kuwa eneo la mafunzo kwa viongozi wa baadaye);

Kwa upande mwingine, mwandishi Sheetal Kumari wa India, anaandika kama ifuatavyo:-
The Opposition parties play a very significant role in a democracy as representatives of the people…to safeguard their interests….The opposition act as watch dog’ of a the system.

Tafsiri (sio rasmi) Vyama vya upinzani vina jukumu muhimu sana katika Demokrasia kwa kuwa wawakilishi wa watu/umma ili kulinda maslahi yao….Upinzani ni mlinzi katika mfumo.

Sio hao tu, pia msomi Julius Kiiza, PhD; kutoka Chuo Kikuu cha Makerere, katika ‘pepa’ yake ya Wajibu wa Upinzani katika Demokrasia, Kiiza (kama anavyopenda kuitwa) pamoja na mambo mengine anaandika.

“…opposition parties perform several important functions. These include; promoting responsible and reasoned debate. Opposition parties hold the government to account for its commissions or omissions. Parties present a viable alternative to the incumbent government by designing alternative ideas, principles and policies for governing society. Should the party in power let the voters down, the ‘government-in-waiting’ takes over the reign of power – through free and fair elections.”

Kiza anendelea kuandika; “Parties act as a training ground for future leaders, parties strengthen the culture of democracy within the party and the political community in general (by, for example, promoting open debate during delegates’ conferences, promoting intra-party democratic elections and ensuring accountable use of party finances). Parties work with the Electoral Commission, the mass media and civil society organizations to monitor and improve the quality of voter registration, civic education and electoral transparency.

Tasfri (sio rasmi) ya maneno ya Kiiza
...vyama vya upinzani vinafanya kazi kadhaa muhimu. Hizi ni pamoja na; kukuza mijadala na hoja zenye kuleta uwajibikaji. Vyama vya upinzani vinaiwajibisha serikali katika maelekezo na makosa yake. Vyama vinajinadi kama mbadala unayofaa na fanisi dhidi ya serikali iliyoko madarakani katika kubuni mawazo, kanuni na sera mbadala zenye kuongoza umma. Kama itatokea chama tawala kikawaangusha wapiga kura, 'serikali inayosubiri' huchukua madaraka kupitia chaguzi huru na za haki.

Sasa nikirejea kwenye hoja yangu, ukisoma hayo maandiko na mengine mengi tu, hakuna hata moja linalosema kuwa AJENDA KUU YA UPINZANI NI UFISADI. Hivyo kwa wanaotumia maneno kama hayo ya Ndg Kafulila pale wanapoamua kuondoka upinzania, ama wanaamua kudanganya ama hawajui wajibu/agenda kuu ya upinzani ni nini.

Ni vema watoe sababu zengine lakini sio sababu zisizo na mashiko na tena ni MFU kama hizo za aina ya Ndg Kafulila. Lakini pia ukisoma maandiko hayo, na mengine mengi ambayo sikuyanukuu, hakuna mahali panasema njia ya upinzani kuiunga mkono serikali iliyoko madarakani ni kuondoka upinzani na kujiunga chama tawala, kama ingelikuwa ni hivyo. Basi upinzani na wajibu wake utakuwa hauna maana.

Mimi nadhani ni sahihi sana kwa wewe unaona vyuma vimekaza na unaona njia rahisi ni kukimbilia chama tawala, basi ondoka tu, USIUPOTOSHE UMMA. Au kama umeshindwana na wenzio ndani ya chama na ukaona njia sahihi ni wewe kuachana nao, basi ondoka tu, ukipenda kimya kimya au kwa kelele lakini USIUPOTOSHE UMMA. Na kama umeahidiwa CHEO, PESA nk basi we nenda tu kachukue lakini USIUPOTOSHE UMMA.

NAOMBA KUWASILISHA

Dickson Ng’hily
European Zone Coordinator – ACT Wazalendo
22/11/2027
Mkuu Dickson. Nimelifurahia sana andiko lako. Nakumbuka ulikuja kuomba kura pale mivinjeni Kurasini kupitia CDm 2010. Nakumbuka ile amsha amsha na Sera zako mkapata diwani. We jamaa nakukubali sana sana.

Kama upo hapa ulaya please let's keep in touch +49 40 361 226 49150. Nipo Hamburg

Kafulila njaaa inamsumbua

Kama upon ulaya please let's keep in touch 40 361 226 49150
 
Hujasema agenda ya vyama vya upinzani hapa Tanzania ni nn. So ufisadi sio inshu ya kuzungumziwa? Na kwann wanaogopa kilizungumzia
Ccm na wameukalia ufisadi wakiwa na polisi,jeshi,takukuru,mahakama,tiss na wako kimya .leo unataka walikulizungumzia tuuu!! naulio waona ni chadema !!??
 
Kumbuka Kafulila anaposema wapinzani ana maana ya CHADEMA kwa sababu anaamini vyama vingine sio wapinzani bali ni matawi ya CCM na CHADEMA!

Kafulila alikuwa mwanachama wa CHADEMA , Ilani ya Uchaguzi ya CHADEMA kwenye dibaji/utangulizi inasema Ufisadi ndio tishio kubwa kabisa la mustakabali wa nchi yetu. Ndio kusema tukitaka tutoke hapa tulipo ni lazima tuukatae na tupambane na ufisadi.

Nmekuwekea sehemu ya utanguliza wa Ilani ya Uchaguzi ya CHADEMA.

‘’Hivi karibuni Rais wetu, Jakaya Mrisho Kikwete, aliulizwa na waandishi wa habari wa Jijini Paris, Ufaransa kwamba “Nchi yako ina utajiri mkubwa wa maliasili, inakuwaje Watanzania ni masikini wa kutupwa?” Alijibu, kwa furaha na kwa kujiamini, “Hata mimi sijui sababu; ninajiuliza kila siku swali hilo lakini sijapata jibu!’’ Huyo ndio dereva wa gari tulilopanda; hajui anakotoka wala aendako. Sote tunaelewa hatari ya kupanda gari ambalo dereva wake hajui anapoenda. Kama Rais wa nchi hajui sababu kwa nini nchi yetu ni maskini atawezaje kupambana na huo umaskini? Hata hivyo, CHADEMA hatuamini kwamba Rais Kikwete hajui chanzo cha umaskini katika nchi yetu. Rais Kikwete anajua chanzo cha umaskini wa nchi yetu lakini hawezi kukitaja kwa kuwa yeye mwenyewe ni sehemu ya tatizo hilo''.

''Kuna sababu tatu zilizosabisha nchi yetu ifike hapa ilipo, nazo ni: ufisadi, ufisadi na ufisadi. Ufisadi ndio tishio kubwa kabisa la mustakabali wa nchi yetu. Ndio kusema tukitaka tutoke hapa tulipo ni lazima tuukatae na tupambane na ufisadi’’.

Kwa mantiki hii, ajenda kuu ya CHADEMA ilikuwa ni kupambana na Ufisadi. Kwa sasa wameachana na ajenda yao kuu.
Mwenzenu naomba kusaidiwa kuelewa, hivi kuna viashilia gani vinaonyesha CHADEMA wameachana na agenda ya ufisadi?
 
Vijana wanaingia upinzani hawapewi majukumu Kwa kuwa uongozi uko mikononi mwa wachache. Waache wajitafutie chimbo watakakotumika effectively
Kwa hiii roho yako ya kusaka machimbo ya chips kuku. vipi mumeo yuko salaama kweli ukizingatia hapo Ana mudu machalari na kande daily etii mae mndenyi!!??
 
MACHALI,YAREDI, KAFULILA, NEXT ITAKUWA MKOSAMALI NA ASSUMPTA THEN ZITTO, HUWEZI KUWA HUNA KAZI INGINE YA KUKUINGIZIA KIPATO THEN UKA WEZA HIMILI MIKIKI MIKIKI
 
Awali ya yote naomba kuchukua nafasi kumshukuru Mwenyezi Mungu kutujalia zawadi ya uzima tulio nao.

Bila kupoteza muda, napenda kusema kuwa nimemsikia Ndg Kafulila kupitia (voice note) akithibitisha kuwa ndiye aliyetoa tamko la kujiengua toka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Kimsingi sina tatizo na yeye kutoka kwani ni HAKI yake kikatiba kufanya maamuzi aliyoyafanya na hivyo sina PINGAMIZI lolote katika hilo.

Ndg Kafulila anasema kupitia tamko lake kuwa ataujulisha umma ni chama gani atajiunga nacho hivi karibuni, kitu ambacho binafsi naona hakina haja kwani tayari maudhui ya andiko lake yanabainisha ni chama gani atajiunga nacho.

Sasa kama sina tatizo na Ndg Kafulila ku-exercise haki yake kikatiba, kwanini natoa maoni yangu kuhusiana na suala lake la yeye kuondoka Chadema?

Nimeamua kutoa maoni yangu kutokana na ukweli kuwa SIKUBALIANI na hoja kuu ya Ndg kafulila kuwa UPINZANI SIO TENA JUKWAA SALAMA LA KUENDESHA VITA DHIDI YA UFISADI. Adai hii imetokana na vyama vya upinzani kupigwa ganzi (japo hajasema nani kavipiga ganzi na kwanini avipige ganzi) na hivyo UFISADI SIO TENA AJENDA KUU YA UPINZANI.

Labda nisema tu kuwa Ndg Kafulila ni ama kaamua kupotosha umma kwa makusudi au hajui ni nini maana ya VYAMA VYA UPINZANI, lakini pia hajui AJENDA KUU ya vyama hivyo nchini! Kifupi tu ni kwamba, UFISADI haujawahi kuwa na kamwe hauta kuwa AJENDA KUU ya vyama vya upinzani si tu kwa Tanzania, bali duniani pote. Hii inatokana na tafsri ya upinzani lakini pia wajibu wake katika Demokrasia ya mfumo wa vyama vingi duniani.

Naomba nitumie maandiko kadhaa kulithibitisha hili nisemalo, nitaanza na mmoja wa wanasiasa wakongwe na machachari nchini New Zealand, na huyu sio mwingine ila ni Dakta Donald Thomas Don Brash. Dakta Brash alipata kuwa Gavana wa Benki Kuu ya New Zealand, Kiongozi wa Kambi Rasmi Bungeni, Kiongozi wa vyama vya National Party na ACT Party kwa nyakati tofauti. Yeye aliwahi kusema, naomba nimnukuu;

“The Opposition’s main role is to question the government of the day and hold them accountable to the public…. Opposition represents an alternative government, and is responsible for challenging the policies of the government and producing different policies where appropriate.”

Naomba nitoe tafsiri (sio rasmi) Kazi kuu ya upinzani ni KUHOJI serikali iliyoko madarakani na kuifanya iwajibike kwa umma….Upinzani unawakilisha serikali MBADALA na unawajibika kutoa changamoto kwenye sera za serikali na hivyo kutoa sera tofauti/mbadala pale inapowezekana.

Dakta Brash anaongeza kusema, namnukuu; “…one of the most important jobs of the Opposition is to constantly question the Government. Any Government has to remain answerable to the public at all times, and a good Opposition can put the spotlight on serious issues and have them resolved quickly”.

Tafsiri (sio rasmi) Moja ya kazi muhimu za upinzani ni kuendelea kuhoji serikali bila kuchoka, Serikali yeyote inapashwa kuendelea kuwajibika kwa umma muda wote, na upinzani mzuri unaweza kumulika/kuibua mambo na hivyo kurekebishwa kwa haraka.

Lakini pia kwa mujibu wa Taasisi ya Kidemokrasi ya Afrika (Africa Democratic Institute) inasema wajibu wa upinzani katika Demokrasia ni mkubwa sana. Taasisi hii inabainisha baadhi ya kazi/wajibu wa upinzania kuwa ni pamoja na:-

To hold governments accountable (Kuiwajibisha Serikali);
To serve as a credible alternative to the ruling government (Kuwa mbadala wenye kuaminika/thabiti dhidi ya serikali inayotawala);
To promote and stimulate debates in parliament (Kukuza na kuchochea mijadala bungeni);
To be a training ground for future leaders (Kuwa eneo la mafunzo kwa viongozi wa baadaye);

Kwa upande mwingine, mwandishi Sheetal Kumari wa India, anaandika kama ifuatavyo:-
The Opposition parties play a very significant role in a democracy as representatives of the people…to safeguard their interests….The opposition act as watch dog’ of a the system.

Tafsiri (sio rasmi) Vyama vya upinzani vina jukumu muhimu sana katika Demokrasia kwa kuwa wawakilishi wa watu/umma ili kulinda maslahi yao….Upinzani ni mlinzi katika mfumo.

Sio hao tu, pia msomi Julius Kiiza, PhD; kutoka Chuo Kikuu cha Makerere, katika ‘pepa’ yake ya Wajibu wa Upinzani katika Demokrasia, Kiiza (kama anavyopenda kuitwa) pamoja na mambo mengine anaandika.

“…opposition parties perform several important functions. These include; promoting responsible and reasoned debate. Opposition parties hold the government to account for its commissions or omissions. Parties present a viable alternative to the incumbent government by designing alternative ideas, principles and policies for governing society. Should the party in power let the voters down, the ‘government-in-waiting’ takes over the reign of power – through free and fair elections.”

Kiza anendelea kuandika; “Parties act as a training ground for future leaders, parties strengthen the culture of democracy within the party and the political community in general (by, for example, promoting open debate during delegates’ conferences, promoting intra-party democratic elections and ensuring accountable use of party finances). Parties work with the Electoral Commission, the mass media and civil society organizations to monitor and improve the quality of voter registration, civic education and electoral transparency.

Tasfri (sio rasmi) ya maneno ya Kiiza
...vyama vya upinzani vinafanya kazi kadhaa muhimu. Hizi ni pamoja na; kukuza mijadala na hoja zenye kuleta uwajibikaji. Vyama vya upinzani vinaiwajibisha serikali katika maelekezo na makosa yake. Vyama vinajinadi kama mbadala unayofaa na fanisi dhidi ya serikali iliyoko madarakani katika kubuni mawazo, kanuni na sera mbadala zenye kuongoza umma. Kama itatokea chama tawala kikawaangusha wapiga kura, 'serikali inayosubiri' huchukua madaraka kupitia chaguzi huru na za haki.

Sasa nikirejea kwenye hoja yangu, ukisoma hayo maandiko na mengine mengi tu, hakuna hata moja linalosema kuwa AJENDA KUU YA UPINZANI NI UFISADI. Hivyo kwa wanaotumia maneno kama hayo ya Ndg Kafulila pale wanapoamua kuondoka upinzania, ama wanaamua kudanganya ama hawajui wajibu/agenda kuu ya upinzani ni nini.

Ni vema watoe sababu zengine lakini sio sababu zisizo na mashiko na tena ni MFU kama hizo za aina ya Ndg Kafulila. Lakini pia ukisoma maandiko hayo, na mengine mengi ambayo sikuyanukuu, hakuna mahali panasema njia ya upinzani kuiunga mkono serikali iliyoko madarakani ni kuondoka upinzani na kujiunga chama tawala, kama ingelikuwa ni hivyo. Basi upinzani na wajibu wake utakuwa hauna maana.

Mimi nadhani ni sahihi sana kwa wewe unaona vyuma vimekaza na unaona njia rahisi ni kukimbilia chama tawala, basi ondoka tu, USIUPOTOSHE UMMA. Au kama umeshindwana na wenzio ndani ya chama na ukaona njia sahihi ni wewe kuachana nao, basi ondoka tu, ukipenda kimya kimya au kwa kelele lakini USIUPOTOSHE UMMA. Na kama umeahidiwa CHEO, PESA nk basi we nenda tu kachukue lakini USIUPOTOSHE UMMA.

NAOMBA KUWASILISHA

Dickson Ng’hily
European Zone Coordinator – ACT Wazalendo
22/11/2027

Tatizo hamjui mnachokijadili..hakuna anayeamia ccm kwa hao viongozi wote ambaye hajaahidiwa nitakuja kuwaambia siku nyingine
 
Chama cha upinzani hakiwezi kua na ajenda moja miaka yote..... Vp kama agenda ni ufisadi ikatokea serikali ikaweka sawa means upinzani usambaratike... Na kuisimamia na kuishauri serikali itakua kazi ya nan?
 
Nyalandu akija kwenu pouwa na wenzenu wakienda upande mwingine mara mzee wa viflash wamenunuliwa au wameahidiwa vyeo.. kueni nyie upinzani uchwara. Msipoangalia awamu hii ndio utakua umauti wenu maana hamna mnalolisimamia sasa. Mmekalia kupiga domo tu mmewakimbia hata mnaodai mnawatetea hovyoo.. hapa kazi tu.
 
Kafulila njaa imemtoa huko! Upinzani na njaa kichwani??? Sasa ananyemelea u DC wameshamwambia jitoe akili upate ulaji japo miaka hii 3 ukijipanga kurudi jimboni! Njaaaaa hakuna lingine
Kilichobaki in kumshawishi Jesca naye atoke!
 
Kumbuka Kafulila anaposema wapinzani ana maana ya CHADEMA kwa sababu anaamini vyama vingine sio wapinzani bali ni matawi ya CCM na CHADEMA!

Kafulila alikuwa mwanachama wa CHADEMA , Ilani ya Uchaguzi ya CHADEMA kwenye dibaji/utangulizi inasema Ufisadi ndio tishio kubwa kabisa la mustakabali wa nchi yetu. Ndio kusema tukitaka tutoke hapa tulipo ni lazima tuukatae na tupambane na ufisadi.

Nmekuwekea sehemu ya utanguliza wa Ilani ya Uchaguzi ya CHADEMA.

‘’Hivi karibuni Rais wetu, Jakaya Mrisho Kikwete, aliulizwa na waandishi wa habari wa Jijini Paris, Ufaransa kwamba “Nchi yako ina utajiri mkubwa wa maliasili, inakuwaje Watanzania ni masikini wa kutupwa?” Alijibu, kwa furaha na kwa kujiamini, “Hata mimi sijui sababu; ninajiuliza kila siku swali hilo lakini sijapata jibu!’’ Huyo ndio dereva wa gari tulilopanda; hajui anakotoka wala aendako. Sote tunaelewa hatari ya kupanda gari ambalo dereva wake hajui anapoenda. Kama Rais wa nchi hajui sababu kwa nini nchi yetu ni maskini atawezaje kupambana na huo umaskini? Hata hivyo, CHADEMA hatuamini kwamba Rais Kikwete hajui chanzo cha umaskini katika nchi yetu. Rais Kikwete anajua chanzo cha umaskini wa nchi yetu lakini hawezi kukitaja kwa kuwa yeye mwenyewe ni sehemu ya tatizo hilo''.

''Kuna sababu tatu zilizosabisha nchi yetu ifike hapa ilipo, nazo ni: ufisadi, ufisadi na ufisadi. Ufisadi ndio tishio kubwa kabisa la mustakabali wa nchi yetu. Ndio kusema tukitaka tutoke hapa tulipo ni lazima tuukatae na tupambane na ufisadi’’.

Kwa mantiki hii, ajenda kuu ya CHADEMA ilikuwa ni kupambana na Ufisadi. Kwa sasa wameachana na ajenda yao kuu.
Lini walitoa tamko la kuachana n.a. ajenda ya ufisadi?
So lazima kupiga kelele kila siku. Kuna mengine pia.
 
Dickson ahsante nilikuwepo kwenye kampeni zako za ubunge 2010 pale mwembeyanga nilikuadmire kwa uwezo mkubwa ukiwa na mgombea wa uraisi Dr Slaa ulipotelea wapi
 
Nyalandu akija kwenu pouwa na wenzenu wakienda upande mwingine mara mzee wa viflash wamenunuliwa au wameahidiwa vyeo.. kueni nyie upinzani uchwara. Msipoangalia awamu hii ndio utakua umauti wenu maana hamna mnalolisimamia sasa. Mmekalia kupiga domo tu mmewakimbia hata mnaodai mnawatetea hovyoo.. hapa kazi tu.
Hapa kazi tu ipi? Hovyoo ni nyinyi malimbukieni wa Siasa, nyalandu kaja upinzani mbona mmemwandama mpaka waziri kigwangala kaenda bungeni kumpiga Majungu au wewe ulikuwa msukule chooni hajasikia wala kuambiwa? CCM wana Bajeti ya kununua Wapinzani hilo sio Siri tena ujue pesa za walipa kodi ambao wengine ni Wapinzani na wale ambao hawana vyama lakini pesa zao zinachotwa Hazina kienyeji zinatumika kudhoofisha upinzani ni Ufisadi Hatari kuliko Ufisadi wote uliopata kutokea huku nyuma, Hakuna Upinzani Uchwara kwani wangekuwa ni uchwara huyo Mtukufu asingepiga marufuku mikutano ya siasa, mwambie Mtukufu aruhusu mikutano ya Siasa aone jinsi Ufisadi wenu utavyoanikwa wazi na ndipo utajificha Uvunguni mwezi mzima na kaachana na neno hapa kazi tu, hilo neno halina maana kwani wakazi wa Dsm wengi ni wagonjwa ile meli ya wachina imetoboa siri zote idadi kuwa ya wananchi wa Dsm ni waathirika wa maradhi mbalimbali kwa sababu ya ukata uliosababishwa na CCM kuchukua pesa za maendeleo na kuzipeleka kwenye Bajeti ya kuwanunua Wapinzani.
 
Back
Top Bottom