Kafulila Asipotoshe Umma

Kafulila Asipotoshe Umma

upinzani inabidi kushikamana
Pesa inayotumika kuwakomoa kuwabambikia kesi kuwanunua Wapinzani ni pesa nyingi sana, ni pesa ambazo zingeweza kujenga Hosptal, viwanda, vyuo vikuu kila mkoa, lakini Madalali wa Siasa wanakula hiyo pesa kiulaini na kuendelea kudidimiza maendeleo nchini.
 
Pesa inayotumika kuwakomoa kuwabambikia kesi kuwanunua Wapinzani ni pesa nyingi sana, ni pesa ambazo zingeweza kujenga Hosptal, viwanda, vyuo vikuu kila mkoa, lakini Madalali wa Siasa wanakula hiyo pesa kiulaini na kuendelea kudidimiza maendeleo nchini.
KABISA
 
Kuna upotoshaji mkubwa sana, tena wa makusudi, tangu Lowassa alipojiunga na CHADEMA. na ukiangalia POVU lililowadondoka CCM na makuwadi wake baada ya Lazaro Nyalandu kujitoa CCM, pamoja na hatua za kukurupuka kumtimua uanachama kinyume na taratibu ili kuzima pigo alilorusha kwa chama chake cha zamani, utaelewa kwa nini hali iko hivyo katika kujaribu kumdhibiti Lowassa akiwa nje ya CCM.

Mleta uzi ameandika vizuri sana tena kwa hoja nzito, kuhusu kazi na majukumu ya vyama vya upinzani. Awamu ya tano ya CCM imejikita katika kujaribu kupambana na UFISADI, siyo kwa kupenda, bali kwa kujibu hoja kali za vyama vya upinzani, hasa CHADEMA, kuhusu ufisadi. unaweza kushangaa huyo aliyeitwa Tumbili juzi, na wabunge wa CCM wakashangilia, leo anapongezwa. Lakini upotoshaji pia upo katika yale yanayoendelea sasa hivi. CHADEMA inapinga matumizi nje ya bajeti, ambapo JPM na maafisa wake wanaamua tu kutumia fedha bila kufuata mipango ya serikali. huo ni ufisadi mkubwa, wa kitaasisi. Kujenga uwanja mkubwa wa ndege Chato ni ufisadi mkubwa. Kubomoa jengo la TANESCO kwa kisingizio cha kujenga barabara, ni UFISADI mkubwa
 
Naomba watu wamjibu huyu mheshimiwa kwa [HASHTAG]#HOJA[/HASHTAG].
 
9ca1ca2b94e5e5bf86f7595d4a7230ce.jpg
 
Shukrani kwa andiko lako nimejifunza zaidi na kuelewa nini maana ya upinzani,ila inasikitisha kuona huyo jamaa kwa kipindi chote hicho hakuwa anajua maana ya upinzani,ok ni aina ya viongozi tulionawo sijui ni njaa.
Mkuu chungulia inbox yako kaka hali si nzur
 
Dickson, umeiweka vizuri post yako, nimekuelewa, umefafanua, umenifurahisha. Lazima Kafulila atakuelewa tu. Kafulila na Mollel wasiwadanganye umma.
 
Hahaha Unajua WatZ bwana! tuna act hatujui kabisa kinachowahamisha akina kafulila na wengine! Sio agenda za Ufisadi sijui na kitu gani, Hivyo Visingizio Tu But the real reason Ni NJAA baba! Vyuma vimekaza Ata hela ya kununulia grisi nayo hakuna, Ndugu yangu yule alikuwa anamtegemea Mama Watoto Sasa ameletewa dau nono on the table, Anaziachaje sasa, Na bado wengi Tu wataenda Ila sijui kwa nini DAU HILI halijatua kwenye kigoda Changu.
Wakumbusheni bhana akina Bashite Na Mimi Wanione Maana Nilishindwa Uenyekiti Wa Kitongoji
 
Back
Top Bottom