Kafulila angekuwa CHADEMA.........

Kafulila angekuwa CHADEMA.........

huyu kijana anaonekana wazi kwamba ni jembe la uhakika..kafulila tunakuhitaji sana cdm 2015 .
 
yaani Magwanda sijui yakoje? Wakiona mtu anabwabwaja sana bungeni basi wanafikiri eti anaweza.
 
Naunga mkono jamaa ni kichwa mimi nilimkubali toka kipindi cha kampeni l real appreciate kafulila kwa kujenga hoja.
 
Yes....The guy is so smart ! ni Miongoni mwa vijana wachache wenye daring spirit na hazina ya pekee
 
Mimi pia namheshimu kwani anajenga hoja kwa kujiamini bila woga wowote.
 
Mchungaji nina mkubali sana! No nonsense anakilisha vijana wenye uchungu na nchi! Kafulila karibu nyumbani CDM
 
nyie mlimuita sisimizi,leo vipi amegeuka tembo tena?

Nimecheka kweli hapa...ok,Seriously sijui ni kwa nini tumejenga utamaduni huu kwamba hatuwezi kumuunga mtu mzuri mkono mpaka aje huku tuliko.Hebu tuwekeze kwenye kujenga upinzani imara na wa kweli ili tuweze kuiwajibisha serikali vizuri.ikitokea siku tukaona kwamba tupo tayari kuunganisha nguvu itakua vizuri zaidi katika mkakati wa kisiasa kwani tutakuwa tunaunganisha nguvu na vyama vingine vyenye nguvu na si kuunganisha nguvu na vyama dhaifu,sana sana utakuwa umevibeba tu na vitakuwa political liability kwetu na si asset.
 
Thread umeipa heading kubwa hlf sijaona uliyodadavua inaonekana thread ya kuazimwa hii au ndo kusema huna uwezo mzuri wa kujenga hoja na wewe? Namshauri modes aifute au aiedit
 
Mwenye kufahamu CV ya Kafulila aniambie kama Kafulila alisoma Tambaza Secondary School...kisha nitarejea
 
Mchungaji nina mkubali sana! No nonsense (anakilisha) vijana wenye uchungu na nchi! Kafulila karibu nyumbani CDM
anakilisha, Ee! Mungu zibariki shule za Kata ni janga la taifa kama umeme
 
Mtu mwenye uwezo kama Kafulila ndani ya CDM ni Zitto Kabwe, peke yake! Hawa wengine ni mateka wa siasa tu!
 
Mtu mwenye uwezo kama Kafulila ndani ya CDM ni Zitto Kabwe, peke yake! Hawa wengine ni mateka wa siasa tu!

Hivi kwanini Tanzania idadi ya mashoga inaongezeka sana?
 
Back
Top Bottom