Kafulila afunguka kuhusu Zitto na ESCROW

Kafulila afunguka kuhusu Zitto na ESCROW

HIvi zito huwa ana matatizo gani? Kila kukicha hili mara lile Kwa nini asitulie japo kidogo akatafakali ? kufanya mabadiriko mwenyewe ni kawaida.
Anaona akikaa chini na kutafakari anapoteza muda, bora akurupuke na kupayuka tu,mambo yote mbele kwa mbele.
 
ZZK anafanya kosa moja kubwa sana.Kwamba ni yeye pekee mwenye uwezo wa kujenga hoja ama kuibua uchafu serikalini.Kwake yeye utendaji kazi wa pamoja haupo.Hutangulia mbele kusema ni yeye ndio alifanikisha.Hakika ni ubinafsi wa kutisha.Bado anaweza kubadilika akitaka.
 
ZZK anafanya kosa moja kubwa sana.Kwamba ni yeye pekee mwenye uwezo wa kujenga hoja ama kuibua uchafu serikalini.Kwake yeye utendaji kazi wa pamoja haupo.Hutangulia mbele kusema ni yeye ndio alifanikisha.Hakika ni ubinafsi wa kutisha.Bado anaweza kubadilika akitaka.

He has such an inflated ego,very big ego.A narcissistic politician by nature.
Who is narcissistic person?-is a person who believe is more important than others.
Narcissism is a psychological condition in which a person feels is more important than others. Narcissism derives from the name Narcissus, A Greek who fell in love with his own image/reflection in a pool.In short, a narcissistic person like to be full of himself,who believes the world revolves around him.
Ukishamjua hivyo,basi.Unaachana naye tu.
 
Mkuu, ninadhani hujanielewa. Nimesema chini ya serikali ya UKAWA na si ndani ya UKAWA. UKAWa itakuwa ikiongoza taifa la Tanzania lenye Watanzania wenye itikadi mbali mbali wakiwemo ccm fisadi, and ccm zito, wehu, wazima, vijana wazee, wanawake, wanaume , watoto, n.k.

Serikali ya UKAWA itakuwa makini kuhakikisha inatumia resources zote kuendeleza nchi na hapatakuwa na Idle man power wala ubabaishaji wa ccm. Hivyo Zito kabwe na wafuasi wake, watalazmika kufuata taratibu za serikali ili wawe raia wema wenye maslahi kwa taifa.

Namna gani watakuwa shaped, ni kazi ya UKAWA.


Wapambe wa zzk hawawezi kukaribishwa ndani ya ukawa,kwani ni sawa na kumkaribisha nyoka
 
Ndugu yangu kafulila leo unapita barabarani na kusema wewe ni zaidi ya zitto na kwamba zitto hajawahi kuwa na msaada wowote kwako tangu mmefahamiana,tunaomba ujibu haya maswali1.Nani alikuozesha huyo jesca kishoa?2.nani alikusaidia kesi yako wakati mbatia alipokufukuza uwanachama mpaka jaji akatoa hukumu ya kukubeba tena hukumu iliyotolewa jumapili?3.nani alikupeleka hospital ulipoanguka toka ghorofa ya kumi?4.nani alikupa pesa ya mawakala2010?tunaomba majibu please,ila kumbuka wananchi wa kigoma wanaelewa kila kitu kuhusu wewe na zitto na kwa taarifa yako wanakusubiri kwa hamu sana wakupe haki yako,

kumbuka pia kumfikishia swali hili bwana mkubwa unaempigania...
Vipi lile gari alilosaidiwa zitto na mbowe kwa ajili ya kampeni kipindi alipokua chokoraa wa kisiasa atarudisha lini?!

Je hicho alichokifanya kwa mbowe sio usaliti kama huo unaotaka kutusadikisha kuwa kafulila alimfanyia/anamfanyia zitto?!

Je vipi katika speech yake huko kigoma kuwa act ni chama cha watu wa kigoma kwani wamechoka kuwa SILABU(Manamba) kwa kutumikia vyama vya watu wengine haoni kuwa anahubiri kile anachokipinga na kukihubiri eti upande wa pili wanakifanya?!

Kwani ni hoja ya escrow pekee ndo inaweza kumpa kick?!!

Kama ndivyo sivyo kwanini anataka kupoka hoja hiyo ambapo sote tunajua ni hoja ya kafulila?!

Au ndo mkuki kwa nguruwe..........
Hako ni kachama ka wabembe na wabwali a.k.a wakimbizi,mtu kama kafulila mtz halisi hawezi kutekwa na chama cha wakimbizi. Jamaaa anawaokotaje akili mbili kama ninyi......
 
Mbowe alimnunulia mpaka nguo Zito kipindi mchafu mchafu toka Mwandiga pale Land Mark,lakini tumemkaushia tu,yale mashati ya mchele-mchele Zito unayakumbuka?
 
Mbowe alimnunulia mpaka nguo Zito kipindi mchafu mchafu toka Mwandiga pale Land Mark,lakini tumemkaushia tu,yale mashati ya mchele-mchele Zito unayakumbuka?

Hayo maisha hata obama alipitia
 
Kafulila alipata umaarifu zaidi kupitia ESCROW sasa ZZK anataka kuhodhi umaarufu huo ili aonekane niyeye aliye anzisha mjadala wa wizi wa a/c ya ESCROW. Bado Zzk anatapatapa.

Tatizo kubwa ninaloliona kwa mdogo wangu ZZK ni kupenda kujikweza, kiburi, kutaka umaarufu hana kingine kijana huyu ni hicho tu kinachomsumbua.
 
bora ya zzto aliyekata posho za mamilioni wabuge kupewa hawa wakina kafulira na wenzake wanaotaka pansion ya 230 m ndani ya miaka 5,hawana cha maana kwa watanzania masikini.
 
bora ya zzto aliyekata posho za mamilioni wabuge kupewa hawa wakina kafulira na wenzake wanaotaka pansion ya 230 m ndani ya miaka 5,hawana cha maana kwa watanzania masikini.

Unajua kwenye vikao vya kamati posho ilikuwa laki tano...Na huyo Mungu wako amekuwa akizibeba zote

Unajua kuwa kamati za bunge nazo ni sehemu ya Bunge?

Unajua Kamati za Bunge zinakaa kwa muda mrefu zaidi kuliko bunge lenyewe?

Huoni kama huyo ni unafiki ?
 
Yatafumka mengi tu .....huyu Zitto tumemsema toka enzi hizo tukiamini kwavile ni kijana angebadilika lakini akazidi kuharibu ......ikafikia mahali tukawasema sana viongozi wa CDM kwa kulea ujinga muda mrefu huku Zitto akizidi kujijenga yeye binafsi huku akichanganya wananchi walioamua kusimama na wapinzani .......

Hali ya kisiasa ndani ya CCM ndio inayompa Zitto pumzi ya kisiasa kwasasa .....otherwise angeshafutika kwenye ramani za siasa ......muda utaongea
 
Back
Top Bottom