Kafulila afunguka kuhusu Zitto na ESCROW

Kafulila afunguka kuhusu Zitto na ESCROW

haya ya zito hayaandikwi na wapambe , bali ni zitto mwenyewe , ana siasa za kishamba sana ! si ni zitto huyohuyo anayedai ndio amejenga cdm , unafiki na usaliti ni aibu sana .

Ni aibu sana hafai kuwa kiongozi
 
ZZK ni mpango wa Mungu name aliletwa kuwasaidia watu wa kigoma sasa km kafulila anataka kuungana na wachaga kumuangamiza Zitto mwambien tutamfyekelea mbal akatafute jimbo uko sijui ndo mbatia atamkatia jimbo la vunjo!! majimbo yote ya nccr yanatoka kg na kwa taarfa tu hakuna nccr kg tena polen sana.... ACT habar ya mjin
 
Baadhi ya walioponzwa na uz.and.iki wa Zitto na kupotea
1.Danda Juju
2.Juliana Shonza
3.Mtela Mwampamba
4.Burton Gwakisa
5.Kitila Mkumbo
6.Said Arfi
7.................
8....:.............

Walioponea chupuchupu kupotezwa na Zitto
1.David Kafulila
2.Moses Machali
3.Felix Mkosamali
4.Halima Mdee?
5.Ben Saanane
6...................
7...................
Zitto ana DHAMBI ya mauti ya kisiasa.

Mkuu hapo red kulikoni? Kama hauna jibu basi tukuite mzushi au vipi?
 
Hii ndio dawa hatuna mda wa kucheza na tumbili
 
Ndugu yangu kafulila leo unapita barabarani na kusema wewe ni zaidi ya zitto na kwamba zitto hajawahi kuwa na msaada wowote kwako tangu mmefahamiana,tunaomba ujibu haya maswali1.Nani alikuozesha huyo jesca kishoa?2.nani alikusaidia kesi yako wakati mbatia alipokufukuza uwanachama mpaka jaji akatoa hukumu ya kukubeba tena hukumu iliyotolewa jumapili?3.nani alikupeleka hospital ulipoanguka toka ghorofa ya kumi?4.nani alikupa pesa ya mawakala2010?tunaomba majibu please,ila kumbuka wananchi wa kigoma wanaelewa kila kitu kuhusu wewe na zitto na kwa taarifa yako wanakusubiri kwa hamu sana wakupe haki yako,

Mambo ya Ngoswe muachie Ngoswe. Unawezaje ukamuozesha mtu wakati mwenyewe huna mke. Kwetu sisi mtu ambaye hajaoa anaonekana bado ni mvulana hawezi kukaribishwa katika baraza la wazee
 
huyu mtoa nyuzi kaja na umbea mkubwa sana kafulila hawezi kuongea maneno hayo vijana wa cdm wamekua wasemaji wa kafulila sisimizi
nilijua nyuzi imeandikwa na kafulila mwenye kumbe pimbi wa bavicha ndio amekuja na sera mfu
'
sasa nani ataongea cdm asipofungua kinywa?
 
Unajua ingia andika ya kwako na msimamo wako, hakuna anayeleta dini hapa wajumbe wanachangia kutokana na ujuaji wao wa issue, kuna anayeiona issue moja kutoka upande wa mtume na mwingine anaoina issue hiyo hiyo kutoka kwa yesu,

hii forum ninataka kuamini kuwa ni huru maana naona kuna wachangiaji fulani wanataka kuwa viranja waku-control wengine waandike nini na waandikeje, hakuna mtoto mdogo hapa wa kuambiwa namna ya kuandika wote ni watu wazima tunaozidi miaka 13 kama tulivyosaini wakati wa ku-register, halafu issue ya watoto inaweza kuwa muhimu kwako ikawa nonesense kwangu, it does not mean anything zaidi ya kwamba priority zangu na zako hazifanani, that is all!

Hapa tunamjadili a bully, naye ni rais wa Iran ambaye inaonekana haelewi anachokifanya, kwa sababu dunia nzima inaelewa nguvu za US yeye haelewi, na at this point and time US haijaichokoza Iran isipokuwa na huyu rais wa Iran ndiye the bully here, halafu ni lazima tuongee international politics na za nyumbani pia at the same level bila ya kutishiwa na baadhi yetu ambao wanaonekana kutojua siasa kabisaaaa!

Mheshimiwa rais Jakaya Kikwete, anaweza kufuta maktaba wowote ule ambao sio muhimu kwa wananchi wake, yaani sisi wabongo, isipokuwa hawezi kudai Israel iondolewe kwenye ramani ya dunia ama sivyo atatengeneza bomu la kuifuta, that is insane na US ina haki zote za kujibu kikamailifu ikiwa ni pamoja na kutuadhibu, kutokana na uwezo wa nguvu zao, period! Should that happen, wananchi wote duniani watakuwa na haki ya kujadili the issue bila ya kutishwa what is right or what is wrong! au nani ana nguvu kuliko mwingine na aliyejua mapema, NONESENSE!

US waliwasaidia makaburu, kama USSR walivyomsaidia Idd Amin na sisi at the same time wakati wa vita vyetu, ambapo mpaka leo bado tunalilipia lile deni. Na sisi tungeweza kusadidiwa na US kama Kenya, lakini tukaichagua Urusi, so what? Sasa leo mbona tunasaidiwa na US? Kwanini tusiseme kuwa US iliwasaidia makaburu zamani kwa hiyo hatuwataki? Balozi wa US Smith ametufanyia mangapi bongo? Leo rais wako yuko NY, keshokutwa atakuwa Boston kwenye shughuli ambazo ziliwekwa chini na Smith, sasa how do you explin that na siasa zako za kukumbuka zamani? Waarabu waliotufanya watumwa wanafanya nini hapa bongo kwa siasa kama zako? Salim aliwezaje kuwa PM, yaani ulikuwa wapi kupinga kutokana na tuliyofanyiwa zaman na watu kama Salim yaani waarabu? Wajerumani si ndio waliomuua Mkwawa tena bila sababu, je leo tunafanya nini nao hapa bongo?

Wachangiaji ni lazima waongee wanyofikiri, tena bila ya kufikiri mara mbili au kutihwa asiyetaka akae pembeni asubiri issue zinazomhusu, we are grown men hapa hakuna mtoto wa kukumbushwa cha kuandika au cha kusema, siasa zote ni siasa ziwe za nje au za ndani zote ni siasa for God's sake! I mean kumbe kina Mahita mko mpaka huku, yaani hii inanikumbusha yule mtu aliyekuwa anatumwa na Mahita kule BCS, PLEASE! Tuache utoto, na hakuna anyekimbia wala kuondoka na this I see getting very interesting, kwani hapa inaonekana kuna kazi ya kuwafundiusha wananchi wenzetu kuwa leo ni 2006, sio 1961.

Wachangiaji watoe michango yao hata kama itwaingiza kina Mtume na Yesu, it ok asiyetaka anajua mlango ulipo, full stop!

Huyo zito usingemjua kama sio chadema kuna msemo usemao usitukane mamba angali hujavuka mto mkaa ni mkaa tu hata uuoshe na jiki utabaki kuwa mkaa.
 
ZZK ni mpango wa Mungu name aliletwa kuwasaidia watu wa kigoma sasa km kafulila anataka kuungana na wachaga kumuangamiza Zitto mwambien tutamfyekelea mbal akatafute jimbo uko sijui ndo mbatia atamkatia jimbo la vunjo!! majimbo yote ya nccr yanatoka kg na kwa taarfa tu hakuna nccr kg tena polen sana.... ACT habar ya mjin
Kweli Zitto ana laana ya mama yake kumbe act ni ya waha , sasa Kafulila hawezi kukubali ujinga yeye kama mbunge aliyepambana mwenyewe akaaminika na wananchi hawezi kumkubali msaliti aliyekataliwa hata kwao mwandiga na hata kigoma ujiji hapati jana kwao Kigoma alikuwa anazomewa nakuambia CCM B , Msaliti mwache abaaki mpweke hana mama, mke, wala marafiki wale wanyiramba wameshamshusha bei Mwiguru Kitila wao wanapaa yeye sampuli yake ni afande sele what a shame kwi kwi kwi
 
Ndugu yangu kafulila leo unapita barabarani na kusema wewe ni zaidi ya zitto na kwamba zitto hajawahi kuwa na msaada wowote kwako tangu mmefahamiana,tunaomba ujibu haya maswali1.Nani alikuozesha huyo jesca kishoa?2.nani alikusaidia kesi yako wakati mbatia alipokufukuza uwanachama mpaka jaji akatoa hukumu ya kukubeba tena hukumu iliyotolewa jumapili?3.nani alikupeleka hospital ulipoanguka toka ghorofa ya kumi?4.nani alikupa pesa ya mawakala2010?tunaomba majibu please,ila kumbuka wananchi wa kigoma wanaelewa kila kitu kuhusu wewe na zitto na kwa taarifa yako wanakusubiri kwa hamu sana wakupe haki yako,
Zitto kakataliwa duniani na mbinguni pia ukiona mtu anahesabu kile alichokitoa ujue ni laana laana laana, pole zake he is on hs own mama yake alimuonya, hakusikia alishaambiwa Mwiguru, Kitila TISS , CCM, wao watakuzamisha kisiasa lalivyo poyoyo akuelewa from a hero to zero best wake siku hizi size yake ni afande sele mtu aliyekuwa aidharau watu yuko kwenye level hiyo katibu wake Kaijage amebadili ID sasa
 
ZZK ni mpango wa Mungu name aliletwa kuwasaidia watu wa kigoma sasa km kafulila anataka kuungana na wachaga kumuangamiza Zitto mwambien tutamfyekelea mbal akatafute jimbo uko sijui ndo mbatia atamkatia jimbo la vunjo!! majimbo yote ya nccr yanatoka kg na kwa taarfa tu hakuna nccr kg tena polen sana.... ACT habar ya mjin
Kafulila ananyea Kambi?
 
Namshangaa Zitto anakomalia sifa tu lakini yale machungu ya kuitwa tumbiri au kutishiwa kifo anamuachia Kafulila. Ukiishaanza dhambi ya usaliti inaendelea, alianza kusaliti chama sasa anasaliti watu itafuata mkewe na watoto kusalitiwa na huyo jamaa

anae mke!?
 
Kweli Zitto ana laana ya mama yake kumbe act ni ya waha , sasa Kafulila hawezi kukubali ujinga yeye kama mbunge aliyepambana mwenyewe akaaminika na wananchi hawezi kumkubali msaliti aliyekataliwa hata kwao mwandiga na hata kigoma ujiji hapati jana kwao Kigoma alikuwa anazomewa nakuambia CCM B , Msaliti mwache abaaki mpweke hana mama, mke, wala marafiki wale wanyiramba wameshamshusha bei Mwiguru Kitila wao wanapaa yeye sampuli yake ni afande sele what a shame kwi kwi kwi
Maneno haya na myarudie baada ya uchaguzi hapo Oktoba, naamini Zitto atawachachafia ile mbaya.
 
Ndugu yangu kafulila leo unapita barabarani na kusema wewe ni zaidi ya zitto na kwamba zitto hajawahi kuwa na msaada wowote kwako tangu mmefahamiana,tunaomba ujibu haya maswali1.Nani alikuozesha huyo jesca kishoa?2.nani alikusaidia kesi yako wakati mbatia alipokufukuza uwanachama mpaka jaji akatoa hukumu ya kukubeba tena hukumu iliyotolewa jumapili?3.nani alikupeleka hospital ulipoanguka toka ghorofa ya kumi?4.nani alikupa pesa ya mawakala2010?tunaomba majibu please,ila kumbuka wananchi wa kigoma wanaelewa kila kitu kuhusu wewe na zitto na kwa taarifa yako wanakusubiri kwa hamu sana wakupe haki yako,
Majibu ya Kafulila

1.Make wangu Jesca Kishoa niliozeshwa na wazazi wangu.Zitto aniozeshe kwani yeye ni baba yangu!? Pambaf wewe

2.Zitto alinisaidia kwenye kesi yangu
 
Zito alimfitinisha Machali na Mkosamalia kama sio juhudi za Mbatia.Zito ana laana ya mama yake hata Prof.Beregu amekiri Zito kashindikana
 
ndugu yangu kafulila leo unapita barabarani na kusema wewe ni zaidi ya zitto na kwamba zitto hajawahi kuwa na msaada wowote kwako tangu mmefahamiana,tunaomba ujibu haya maswali1.nani alikuozesha huyo jesca kishoa?2.nani alikusaidia kesi yako wakati mbatia alipokufukuza uwanachama mpaka jaji akatoa hukumu ya kukubeba tena hukumu iliyotolewa jumapili?3.nani alikupeleka hospital ulipoanguka toka ghorofa ya kumi?4.nani alikupa pesa ya mawakala2010?tunaomba majibu please,ila kumbuka wananchi wa kigoma wanaelewa kila kitu kuhusu wewe na zitto na kwa taarifa yako wanakusubiri kwa hamu sana wakupe haki yako,
kwahiyo unataka kusema zitto ni mvunja sheria za nchi,??
-hukumu jumapili!!??
 
Baadhi ya walioponzwa na uz.and.iki wa Zitto na kupotea
1.Danda Juju
2.Juliana Shonza
3.Mtela Mwampamba
4.Burton Gwakisa
5.Kitila Mkumbo
6.Said Arfi
7.................
8....:.............

Walioponea chupuchupu kupotezwa na Zitto
1.David Kafulila
2.Moses Machali
3.Felix Mkosamali
4.Halima Mdee?
5.Ben Saanane
6...................
7...................
Zitto ana DHAMBI ya mauti ya kisiasa.

HAPA kuna misukule ya kasulu iongezwe
8. mwl fake kaijage
9. masud bigabiga
10. luka
juz wakati zzk yuko apa naona mwl kajagi hajapost lolote la uzushi. watu kslu wamegundua uzandiki wa zzk
 
Back
Top Bottom