KAFULILA AFUNGUKA KUHUSU ZITTO& ESCROW
Naomba kuweka kumbukumbu sawa tu kwamba Zitto ni rafiki yangu tangu nikiwa CHADEMA lakini haimanishi tunakubaliana kila kitu.
Naudhika kuona wafuasi wake wakiandika uongo ambao hata yeye mwenyewe Zitto anajua ni uongo kwamba alinisaidia kwenye kampeni.
Ukweli wa Mungu Zitto hakunisaidia hata lita ya mafuta kwenye kampeni kwasababu anazojua yeye ambazo nisingependa kumsemea. Aliahidi tu kwenye magazeti.
Labda wafuasi wake wamrudie kumuuliza vizuri. Kuhusu ESCROW nimeshasema jana kwamba Umma unajua na nimeshaeleza kwamba chanzo ni gazeti la CITIZEN.
Nilichofanya ni kufuatilia chanzo hicho na kufanyia kazi na ilikuwa April2014.