Kafulila afunguka kuhusu Zitto na ESCROW

Kafulila afunguka kuhusu Zitto na ESCROW

HIvi zito huwa ana matatizo gani? Kila kukicha hili mara lile Kwa nini asitulie japo kidogo akatafakali ? kufanya mabadiriko mwenyewe ni kawaida.
Ngoja uone kuna siku atasema yeye ni mmoja wa Waasisi wa Azimio la Arusha ila hamkumuona kwa vile alikuwa hajazaliwa tuu.
 
Ngoja uone kuna siku atasema yeye ni mmoja wa Waasisi wa Azimio la Arusha ila hamkumuona kwa vile alikuwa hajazaliwa tuu.

Mpwa hili linawezekana maana kila siku anapoteza umakini.
 
Baadhi ya walioponzwa na uz.and.iki wa Zitto na kupotea
1.Danda Juju
2.Juliana Shonza
3.Mtela Mwampamba
4.Burton Gwakisa
5.Kitila Mkumbo
6.Said Arfi
7.................
8....:.............

Walioponea chupuchupu kupotezwa na Zitto
1.David Kafulila
2.Moses Machali
3.Felix Mkosamali
4.Halima Mdee?
5.Ben Saanane
6...................
7...................
Zitto ana DHAMBI ya mauti ya kisiasa.

No moja hadi tatu katika orodha ya wanusurika wawe makini na huyu Zitto kwani bado anawanyemelea wagombee mwaka huu kupitia chama chake ambacho kina kesi mahakamani ya kuporwa. Miongoni mwao wapo walio tayari na kuna uzi mbili humu jamvini zikiwahusu. Wadanganyike kama hawajasahaulika kisiasa. Nimeonya naona sasa naishiwa nguvu. Nitasema waache waende wakipigwa na wapigwe tu kwani hatutakuwa na njia nyingine.
 
Matusi ya nn, shika neno, elewa kilichopo, mshauri muhusika au mfikishie ujumbe asijisifie swala la ESCROW ambalo aliliminya na kuaza kutetea wahusika
 
zitto is in political death bed,amebaki kudandia hoja za wenzake
akizoea kupewa hoja na chadema sasa hivi kafulia ile mbaya
 
ZZK anafanya kosa moja kubwa sana.Kwamba ni yeye pekee mwenye uwezo wa kujenga hoja ama kuibua uchafu serikalini.Kwake yeye utendaji kazi wa pamoja haupo.Hutangulia mbele kusema ni yeye ndio alifanikisha.Hakika ni ubinafsi wa kutisha.Bado anaweza kubadilika akitaka.

Na hili ndo litamuua kisiasa,mtu asieamini ktk team work!!


ZZK anafanya kosa moja kubwa sana.Kwamba ni yeye pekee mwenye uwezo wa kujenga hoja ama kuibua uchafu serikalini.Kwake yeye utendaji kazi wa pamoja haupo.Hutangulia mbele kusema ni yeye ndio alifanikisha.Hakika ni ubinafsi wa kutisha.Bado anaweza kubadilika akitaka.
 
Ahsante....Tatizo Zitto anapenda kujikweza sana, kwanini adhani kila kitu kitampa sifa? kuna zingine zinamchoresha. Hakuna ubishi kwamba anachojitamba nacho ni nafasi aliyokua nayo ambayo impa mamlaka ya kusoma ripoti za PAC hata kama hajaziandaa yeye au hajazifanyia yeye uchunguzi.
 
Ni kweli zitto ni mnafiki na mroho wa madaraka hafai hata Kwa bure
 
Ndugu yangu kafulila leo unapita barabarani na kusema wewe ni zaidi ya zitto na kwamba zitto hajawahi kuwa na msaada wowote kwako tangu mmefahamiana,tunaomba ujibu haya maswali1.Nani alikuozesha huyo jesca kishoa?2.nani alikusaidia kesi yako wakati mbatia alipokufukuza uwanachama mpaka jaji akatoa hukumu ya kukubeba tena hukumu iliyotolewa jumapili?3.nani alikupeleka hospital ulipoanguka toka ghorofa ya kumi?4.nani alikupa pesa ya mawakala2010?tunaomba majibu please,ila kumbuka wananchi wa kigoma wanaelewa kila kitu kuhusu wewe na zitto na kwa taarifa yako wanakusubiri kwa hamu sana wakupe haki yako,

Ww kiboko yako ni Dr. Didas Masaburi tu!!

Yaani mwenyewe huna mke (bachelor mzoefu) afu umwozeshe mwenzio?
 
KAFULILA AFUNGUKA KUHUSU ZITTO& ESCROW

Naomba kuweka kumbukumbu sawa tu kwamba Zitto ni rafiki yangu tangu nikiwa CHADEMA lakini haimanishi tunakubaliana kila kitu.

Naudhika kuona wafuasi wake wakiandika uongo ambao hata yeye mwenyewe Zitto anajua ni uongo kwamba alinisaidia kwenye kampeni.

Ukweli wa Mungu Zitto hakunisaidia hata lita ya mafuta kwenye kampeni kwasababu anazojua yeye ambazo nisingependa kumsemea. Aliahidi tu kwenye magazeti.

Labda wafuasi wake wamrudie kumuuliza vizuri. Kuhusu ESCROW nimeshasema jana kwamba Umma unajua na nimeshaeleza kwamba chanzo ni gazeti la CITIZEN.

Nilichofanya ni kufuatilia chanzo hicho na kufanyia kazi na ilikuwa April2014.

Huu ndiyo ubinafsi wa wapinzani, wanagombania hoja!!
 
Back
Top Bottom