KAFULILA AFUNGUKA KUHUSU ZITTO& ESCROW
Naomba kuweka kumbukumbu sawa tu kwamba Zitto ni rafiki yangu tangu nikiwa CHADEMA lakini haimanishi tunakubaliana kila kitu.
Naudhika kuona wafuasi wake wakiandika uongo ambao hata yeye mwenyewe Zitto anajua ni uongo kwamba alinisaidia kwenye kampeni.
Ukweli wa Mungu Zitto hakunisaidia hata lita ya mafuta kwenye kampeni kwasababu anazojua yeye ambazo nisingependa kumsemea. Aliahidi tu kwenye magazeti.
Labda wafuasi wake wamrudie kumuuliza vizuri. Kuhusu ESCROW nimeshasema jana kwamba Umma unajua na nimeshaeleza kwamba chanzo ni gazeti la CITIZEN.
Nilichofanya ni kufuatilia chanzo hicho na kufanyia kazi na ilikuwa April2014.
Huu ndiyo ubinafsi wa wapinzani, wanagombania hoja!!

Huwa natamani nipate fursa ya kumwambia Zitto kama anajisikia vizuri sana kuwa God's gift to mankind, basi ajue pia anatakiwa ajue yuko kati ya watu ambao yeye naye kapewa zawadi kuwa nao. Inabidi ajishushe awe humbled kuwa kati ya watu wanaomzunguka atafika mbali
hahaaa mpwa nyuma kuna sugu za sindano tu nilisoma porini manyaria ilintesa sana
Wapambe wa ZZK kuweni makini msile matango
zitto is in political death bed,amebaki kudandia hoja za wenzake
akizoea kupewa hoja na chadema sasa hivi kafulia ile mbaya