Kafulila afunguka kuhusu Zitto na ESCROW

Kafulila afunguka kuhusu Zitto na ESCROW

umemsahau Tumbili Mkuu Werema. anamjua vema Kafulila
 
Apelekwe mahakamani kwa habari za uzushi, asipende kujipatia umaarufu asiostahili
 
Baadhi ya walioponzwa na uz.and.iki wa Zitto na kupotea
1.Danda Juju
2.Juliana Shonza
3.Mtela Mwampamba
4.Burton Gwakisa
5.Kitila Mkumbo
6.Said Arfi
7..Habibu.Machange..............
8....:.............

Walioponea chupuchupu kupotezwa na Zitto
1.David Kafulila
2.Moses Machali
3.Felix Mkosamali
4.Halima Mdee?
5.Ben Saanane
6...................
7...................
Zitto ana DHAMBI ya mauti ya kisiasa.
Dhambi zake haziwezi kusamehewa
 
Ni kweli wasile matango pori maana yana sumu!. Tunawahitaji katika kujenga taifa jipya chini ya UKAWA, hivyo ni vizuri wakatunza afya zao sawia!.

Wapambe wa zzk hawawezi kukaribishwa ndani ya ukawa,kwani ni sawa na kumkaribisha nyoka
 
Ndugu yangu kafulila leo unapita barabarani na kusema wewe ni zaidi ya zitto na kwamba zitto hajawahi kuwa na msaada wowote kwako tangu mmefahamiana,tunaomba ujibu haya maswali1.Nani alikuozesha huyo jesca kishoa?2.nani alikusaidia kesi yako wakati mbatia alipokufukuza uwanachama mpaka jaji akatoa hukumu ya kukubeba tena hukumu iliyotolewa jumapili?3.nani alikupeleka hospital ulipoanguka toka ghorofa ya kumi?4.nani alikupa pesa ya mawakala2010?tunaomba majibu please,ila kumbuka wananchi wa kigoma wanaelewa kila kitu kuhusu wewe na zitto na kwa taarifa yako wanakusubiri kwa hamu sana wakupe haki yako,
 
Asingemjibu mjinga huyo. Act wasaliti hatuwataki
 
HIvi zito huwa ana matatizo gani? Kila kukicha hili mara lile Kwa nini asitulie japo kidogo akatafakali ? kufanya mabadiriko mwenyewe ni kawaida.

Kwa sasa zzk kuyafanya hayo ni shida kwake,mtu yeyote hasiye Solis ushauri wa wenzake ni hatari na hafai
 
Mimi nadhani malumbano yoyote ya wapinzani kwenye mtandao kwa wakati huu tukielekea uchaguzi mkuu si muafaka. Wapinazani waepuke kuvurugana wakati huu kwa sababu watakinufaisha chama cha mapinduzi.

Mkuu zzk siyo mpinzani
 
huyu mtoa nyuzi kaja na umbea mkubwa sana kafulila hawezi kuongea maneno hayo vijana wa cdm wamekua wasemaji wa kafulila sisimizi
nilijua nyuzi imeandikwa na kafulila mwenye kumbe pimbi wa bavicha ndio amekuja na sera mfu

Matusi hayana nafasi hapa,njoo na hoja
 
Baadhi ya walioponzwa na uz.and.iki wa Zitto na kupotea
1.Danda Juju
2.Juliana Shonza
3.Mtela Mwampamba
4.Burton Gwakisa
5.Kitila Mkumbo
6.Said Arfi
7.................
8....:.............

Walioponea chupuchupu kupotezwa na Zitto
1.David Kafulila
2.Moses Machali
3.Felix Mkosamali
4.Halima Mdee?
5.Ben Saanane
6...................
7...................
Zitto ana DHAMBI ya mauti ya kisiasa.

Nawasikitikia sana mtela na shonza coz hawana nyuma wala mbele
 
haya ya zito hayaandikwi na wapambe , bali ni zitto mwenyewe , ana siasa za kishamba sana ! si ni zitto huyohuyo anayedai ndio amejenga cdm , unafiki na usaliti ni aibu sana .
 
Natbiri vita kali itakayomuumiza Zitto Kafulila akiamua nae mapambano majukwaani ,kitakachotokea ni migawanyiko ya kidini na malalamiko kibao tusubiri kutakuwa na Kigoa yenye uislamu na ukristo
 
Back
Top Bottom