sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
sweetlady hawa vijana walipewa sh 250000/= na mtu alo watuma kisha wakapata sh 800000/= kwa mjomba nikijumlisha ni mil 1.25 sasa hizi kwa vijana 8 ni sawa na kila mmoja anaondka na laki na ushee. kwa vijana wa akitaa ambao walizaliwa kwa bahat mbaya na wanaish kwa jeuri ni hela nyingi ya kumtosha kunywa valuu mwezi mzima.
ishu na iona kwa uncle na mpwawe hivi mama mtu atamtetea nanai hapa?
Daaah...... gfsonwin mimi kama ndie mama wa kijana ntamtetea kaka angu........kwa sababu moja tu hiyo adhabu alopewa haiendani kabisa na kosa lake kwani mkewe huyo ndie mtu wa kwanza kumtongoza???......huyo kijana angeweza tu kuchukua ushahidi hata wa picha na kuupeleka ukajadiliwe kwenye vikao vya familia......watu 8 sio mchezo ati......huyo baba asipokunywa sumu ni bahati! Kweli sijapenda kabisa! Angekuwa uchagani huyo sahizi ashaanza kuokota makopo manake huko laana ya mjomba ni kali sana asee!
Last edited by a moderator: