Kafedheheshwa kisa mke wa mpwawe...

Kafedheheshwa kisa mke wa mpwawe...

hakuna justification ya kuf.r.

Ila ipo ya kuliwa mke wako na ndugu wa karibu.

Naona wengi wameamua kuvaa viatu vya uncle, for once wavae vya mpwa mtu; bring betrayed by a close relative, some one u respect n never expect akutende.

Na kuhusu mke wa dogo, mimi sioni kosa kumshirikisha mumewe unyambisi wa uncle; ingekuwa mtu baki sawa lkn uncle ambaye ukipata matatizo utamfuata; naona ilikuwa sawa tu.
 
Kaunga, mbona adhabu ziko nyingine nyingi tu? Kwanini kuf.r? Siamini katika hili ndo maana nalikataa.

Uncle hana haki hata kidogo, anastahili adhabu kali but sio hii kwa uhakika.

Je, mtu akiua kwa upanga naye afe kwa upanga? Hapo hapo kuna nchi zimefuta adhabu ya kifo, mie nami kwenye sheria zangu sina adhabu ya kufededa.
 
Last edited by a moderator:
Lakini unaona kitendo alichofanya kweli ni cha utu? Isitoshe ni mtu wa karibu kwake, angeweza kuwa huruma nae hata kidogo!
Huu ni ukatili sana, ni bora ange muua kabisa kuliko kufanya kitendo hiki!

Ila ipo ya kuliwa mke wako na ndugu wa karibu.

Naona wengi wameamua kuvaa viatu vya uncle, for once wavae vya mpwa mtu; bring betrayed by a close relative, some one u respect n never expect akutende.

Na kuhusu mke wa dogo, mimi sioni kosa kumshirikisha mumewe unyambisi wa uncle; ingekuwa mtu baki sawa lkn uncle ambaye ukipata matatizo utamfuata; naona ilikuwa sawa tu.
 
Lakini unaona kitendo alichofanya kweli ni cha utu? Isitoshe ni wa karibu kwake!
Huu ni ukatili sana, ni bora ange muua kabisa kuliko kufanya kitendo hiki!

Lkn huoni adhabu hiyo ndiyo itakayomfanya asirudie asilani.

Talkin about vikao, haibadilishi tabia ya mtu saana wangeweza hata kumsingizia mdada wa watu.

Kongosho, nipe machaguo 3 ya adhabu ambazo zingemfanya huyo bazazi asirudie tena upuuzi wake na lowe onyo kwa wengine!
 
Last edited by a moderator:
Hakuna justification hapo ya huo upuuzi waliofanya! Mwanamke angemkataa kosha apige kimya. Atakapotongozwa akakubali atasema?

Kwa upande mwingine alivomwambia ilitosha kupeana mbinu za kumkatalia au kumkwepa na sio kumadhalilisha. Kaunga i get ur point ila haishabihiani na kitendo walichomfanya!
 
Last edited by a moderator:
bora wangemhasi hata kwa Prize, hii tu inatosha kabisa.

Hakuna kitu naogopa kama hiki, na kila siku namwomba Mungu aniepushe mie na kizazi changu.

Hata adui yangu wa kwanza siwezi mwombea hili, naona kama litaniletea laana kwenye familia yangu au kwa kizazi changu.

Hadi Mungukuichoma Sodoma, hasira yake ilikuwa kubwa sana. Afu nilibahatika kufundishwa kanisani nikiwa bado mdogo kuwa ni 'dhambi isiyosameheka' kwa hiyo from there sitaki hata kujihusisha nayo in any way.
Lkn huoni adhabu hiyo ndiyo itakayomfanya asirudie asilani.

Talkin about vikao, haibadilishi tabia ya mtu saana wangeweza hata kumsingizia mdada wa watu.

Kongosho, nipe machaguo 3 ya adhabu ambazo zingemfanya huyo bazazi asirudie tena upuuzi wake na lowe onyo kwa wengine!
 
Last edited by a moderator:
mi nina maswali....


1.asubuhi jamaa alipanda basi(chakito ) au gari lake (alilokuwa amepakia vijana wa kufededa)?


2. kwa nini walimfededa wakati hakuna ushahidi wa wazi kuwa jamaa alimkuta mjomba akimpofua mke wake ? maana mke na mjomba mtu walimkuta jamaa (mpwa kwenye gari)kando y bara bara

3. walimfededa hapo hapo barabarani mahali alipokuwa amepaki mpwa na njemba 8?

4. vipi ujenzi wa nyumba uliendelea?

5. mjomba hakwenda kushtaki maana hakuna ushahidi wa moja kwa moja kwamba amekutwa akimpofua mke wa mpwa wake!!

6 .mpwa ana moyo kweli ..aliweza kusubiri hadi jamaa wakamaliza kazi kisha akambeba mjomba wake na kumrudisha nyumbani??..hakushiriki kumfededa mjomba?

7. huyo mjomba hana watoto wala familia ? maana huko ndani yuko peke yake na hakuna anayemwangalia na kumjulia hali?


.............
 
Haya mambo yalikuwa yakipita pita kichwani sana ndo ikawa mwanzo wa kuwapotezea wake za watu waliokuwa wanajilengesha.
 
Kaunga hiyo haitamfanya arudie kitendo hicho tu bali ime muathiri kabisa na hisi hata siku zake za kuishi zimepungua na hatujui afya yake pia inaweza kuwa matatani pia!

Fedheha kwa watoto na familia yake, kwa kweli hii adhabu umemzidi uzito sana!

Me naona huyo mpwa angeweza ku set up mtego kama fumanizi ingeweza kusaidia pia kumbadil tabia yake, tena angeweza kuita watu wengi waka shuhudia nadhani ingekuwa funzo kwake lakini si adhabu hii!


Lkn huoni adhabu hiyo ndiyo itakayomfanya asirudie asilani.

Talkin about vikao, haibadilishi tabia ya mtu saana wangeweza hata kumsingizia mdada wa watu.

Kongosho, nipe machaguo 3 ya adhabu ambazo zingemfanya huyo bazazi asirudie tena upuuzi wake na lowe onyo kwa wengine!
 
Last edited by a moderator:
Mnashangaa kwa Mjomba? Dodoma kuna mtu alimfanyia kaka yake na mkanda VHS wakachukua wote ni matajiri wa mabasi ya Abiria Dom - Dar
Adabu na heshima sasa ipo
 
Ha ha ha
I know wengi the idea ya pen 8 zikumpenetrate babu bazazi inawafanya muanze kuhisi maumivu kwenye ......, zenu. Poleni, labda nina roho ngumu lkn mimi ninaona inamstahili. Suala la undugu hapo ni kwishney, akijiua nayo ni poa tu; akawahi sehemu ya kuota moto au kuchoma mahindi huko moyoni, kikubwa hata rudia na ni funzo kwa wengine.

Mbabu kama huyo anaweza baka hata binti au mjukuu wake nyumbani.
 
Dah!Hii soo aisee,sasa hata polisi ukienda utasemaje? Kwamba watu wamekula kiboga?
 
Kufededa na Kufededwa nini? Ni vitendo vinavyofanywa kwa wanaume tu au hata wanawake wanafededwa?
 
kiranga chake kakitafuta mwenyewe..... Anaenda kumsumbua mkewe tu kumuuguza marinda.....

Halafu gfsonwin ujue vijana wa namna hiyo wanaishi kwa kujilipua hawajali maradhi wala uchafu....

Ila sipati picha hivi wakikutana kwenye shughuli za ukoo itakuwaje? Kuna hatihati mjomba akataka kulipiza.....

mkubwa hivi marinda ndo tigo au? hamna kitendo kibaya kama hiki na jamaa lazima atataka kulipiza kisasi so it will be a vicous cycle
 
jamani leo nimeyasikia mambo ya ajabu hapa kijiwen.

kuna kijiwe ambacho mie hupenda kukaa jion ili kupata moja baridi. sasa leo nimeiskia hii na ni kweli imetokea kabisa na muhusika kajifungia ndani toka juzi.

ilikuwa hivi,

Jamaa mmoja ni msanifu majengo yeye na mkewe kiukweli kwa mitaa hii ya huku kwetu ni maarufu sana kwa ishu za ujenzi wa nyumba za makazi. sasa jamaa alipewa tenda na mjomba wake amjengee nyumba, na kama kawaida yeye na mkewe walianza kazi pasi kuchelewa. sasa kumbe mjomba sijui ilikuwaje akaanza kumtongoza huyu mkwe wake hali akijua ni mke wa mpwawe. Binti akamchomolea kwa sababua yeye ni mjomba lakin mjomba akang'ang'ania sana. binti akaona isiwe tabu akamweleza mumewe ishu yote.

basi yeye na mkewe wakaseti mtego ambao ulikuwa hivi.

mume akaaaga anaenda moshi kwao kusalimia hivyo mkewe atabaki kuendelea na kazi. asubuhi jamaa kapanda chakito anaondoka. kwa jinsi walivyopanga mtu na mkwe ni kwamba mume atarudia chalinze kisha achukue vijana waje wawafumanie na mke atampigia simu mjomba kwamba mume kasafiri so wanaweza kutoka.

dili lilikubali so mume alishuka mlandizi na mke alikuwa tayari keshaongea na mjomba kuwa wangesafiri kwenda bagamoyo kuvinjari. binti alijizungusha hadi mumewe aliporudi mitaa ya jirani na kuandaa kikosi chake vyema ndipo wakaanza safari na mjomba kwenda bagamoyo wakitokea kibaha kupitia njia ya pangani.

mume alikuwa ameshafika eneo la kati kati ya por kama km 9 hivi kutoka mji mdogo kbh akapaki gari njian, basi mkewe kaja akiwa na mjomba kwenye gari wanakwenda bagamoyo kufika eneo lile binti akasema mbona hii gari kama yangu hebu simama nione nani yuko nayo? hamadi ni mumewe na wale vijana 8 aliowaandaa.

jamani mjomba alidakwa kama mpira wa kona vijana walimvua nguo kisha wakamuinamisha wakamfededa, jamaa kuona folen inayosubiri kumuingilia ni kubwa akasema ana hela vijana wachukue wakamwambia tupe 2 mil tukusamehe kujisachi alikuwa na laki 8 wakazichukua hizo fedha kisha wakampelekea dozi kama kawaida hadi walipochoka.

uncle sasa akabebwa na mpwawe akarudishwa nyumban kwake na hadi leo uncle hajatoka nje na hajulikan anaendeleaje. inasemekana kajifungia kisa aibu na fedheha.

kilichonishangaza mimi ni hiki

hivi kweli kulikuwa na sababu ya mpwa kumuadhibu mjomba kiasi hiki?

hivi kweli vijana wa kazi wanajali afya zao? hata kama walikondomize lakin hata usafi tu hawaujali?

na je kujifungia ndani kwa huyu uncle si kujitafutia matatizo zaid???

jamani mke wa mtu sumu lol!

Ngumu kumeza, ngoja nitulize ubongo kabla sijatia neno, nisije nikachakachua huu uzi wako......
 
labda ajiue tu.

Mwanamme akishaf.r.. Kabaki nini sasa??

Sababu kuliko fanyiwa hivyo, heri nikuuawa tu.

to me hii adhabu haitoshi kumwonyesha mume kwamba mkewe ni safi sana na kwamba hawez kutoka nje ya ndoa yake. pia kama ni tabia ya mke basi adhabu hii haitomfanya mke aache kutoka. kwa mjomba kabaki na msongo wa mawazo na yawezekana akalipiza kisasi kwa namna nyingine au hata akajiua je upendo kati ya mama wa kijana na mjomba utakuwepo? mama wa kijana ataside na upande gani? ni tatizo la ukoo tayari
 
sio fair kwa kweli...huyo mpwa amelaaniwa
si angemuonya kwa upole huyo mjomba wake?
 
Afu mbona heading imebadilishwa!?? ile ya awali ilikuwa ina catch attention ya wasomaji kwa sana
 
Ila ipo ya kuliwa mke wako na ndugu wa karibu.

Naona wengi wameamua kuvaa viatu vya uncle, for once wavae vya mpwa mtu; bring betrayed by a close relative, some one u respect n never expect akutende.

Na kuhusu mke wa dogo, mimi sioni kosa kumshirikisha mumewe unyambisi wa uncle; ingekuwa mtu baki sawa lkn uncle ambaye ukipata matatizo utamfuata; naona ilikuwa sawa tu.
Kaunga mimi si mwanasheria ila sipend kabisa adhabu za kujichukulia sheria mkononi.

mpwa angeeza kufanya hivi kwakua ameshajua basi amwambie wazi kwamba uncle unataka kuvunja ndoa yangu na sasa naenda kushtaki kwenye ukoo ili wakujue tabia yako. Binafsi naamin hii ingekuwa njia nzur ya kuanza kutatua tatizo kwani tayari ukoo ungeanza kumsuta na hata kumpa makaripio. ama vipi basi angeenda kumshtaki polis kwa kosa la kuhujumu amani ya familia yake.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom