Kafedheheshwa kisa mke wa mpwawe... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kafedheheshwa kisa mke wa mpwawe...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by gfsonwin, Sep 24, 2012.

 1. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  jamani leo nimeyasikia mambo ya ajabu hapa kijiwen.

  kuna kijiwe ambacho mie hupenda kukaa jion ili kupata moja baridi. sasa leo nimeiskia hii na ni kweli imetokea kabisa na muhusika kajifungia ndani toka juzi.

  ilikuwa hivi,

  Jamaa mmoja ni msanifu majengo yeye na mkewe kiukweli kwa mitaa hii ya huku kwetu ni maarufu sana kwa ishu za ujenzi wa nyumba za makazi. sasa jamaa alipewa tenda na mjomba wake amjengee nyumba, na kama kawaida yeye na mkewe walianza kazi pasi kuchelewa. sasa kumbe mjomba sijui ilikuwaje akaanza kumtongoza huyu mkwe wake hali akijua ni mke wa mpwawe. Binti akamchomolea kwa sababua yeye ni mjomba lakin mjomba akang'ang'ania sana. binti akaona isiwe tabu akamweleza mumewe ishu yote.

  basi yeye na mkewe wakaseti mtego ambao ulikuwa hivi.

  mume akaaaga anaenda moshi kwao kusalimia hivyo mkewe atabaki kuendelea na kazi. asubuhi jamaa kapanda chakito anaondoka. kwa jinsi walivyopanga mtu na mkwe ni kwamba mume atarudia chalinze kisha achukue vijana waje wawafumanie na mke atampigia simu mjomba kwamba mume kasafiri so wanaweza kutoka.

  dili lilikubali so mume alishuka mlandizi na mke alikuwa tayari keshaongea na mjomba kuwa wangesafiri kwenda bagamoyo kuvinjari. binti alijizungusha hadi mumewe aliporudi mitaa ya jirani na kuandaa kikosi chake vyema ndipo wakaanza safari na mjomba kwenda bagamoyo wakitokea kibaha kupitia njia ya pangani.

  mume alikuwa ameshafika eneo la kati kati ya por kama km 9 hivi kutoka mji mdogo kbh akapaki gari njian, basi mkewe kaja akiwa na mjomba kwenye gari wanakwenda bagamoyo kufika eneo lile binti akasema mbona hii gari kama yangu hebu simama nione nani yuko nayo? hamadi ni mumewe na wale vijana 8 aliowaandaa.

  jamani mjomba alidakwa kama mpira wa kona vijana walimvua nguo kisha wakamuinamisha wakamfededa, jamaa kuona folen inayosubiri kumuingilia ni kubwa akasema ana hela vijana wachukue wakamwambia tupe 2 mil tukusamehe kujisachi alikuwa na laki 8 wakazichukua hizo fedha kisha wakampelekea dozi kama kawaida hadi walipochoka.

  uncle sasa akabebwa na mpwawe akarudishwa nyumban kwake na hadi leo uncle hajatoka nje na hajulikan anaendeleaje. inasemekana kajifungia kisa aibu na fedheha.

  kilichonishangaza mimi ni hiki

  hivi kweli kulikuwa na sababu ya mpwa kumuadhibu mjomba kiasi hiki?

  hivi kweli vijana wa kazi wanajali afya zao? hata kama walikondomize lakin hata usafi tu hawaujali?

  na je kujifungia ndani kwa huyu uncle si kujitafutia matatizo zaid???

  jamani mke wa mtu sumu lol!
   
 2. Elijah

  Elijah JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 1,671
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  kafededwa
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,670
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Kafededwa ndiyo nini?
   
 4. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  ukisoma post yote utaelewa bana nimetumia tafsida bana.
   
 5. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Amepata alichostahili!
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Sep 24, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,670
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Kufededwa ni msamiati mpya ama umeutunga tu wewe mwenyewe?
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Sep 24, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,670
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Hivi unatambua kuwa kitendo walichokifanya ni cha ki.senge?
   
 8. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  sijautunga ndo lugha ambayo hata wasimuliaji walikuwa wanatumia. ni msamiati mpya hata kwangu.
   
 9. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #9
  Sep 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Najua, lkn kitendo cha uncle mtu ni cha kihayawani pia.
   
 10. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #10
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  Kaunga kweli alistahili adhabu kama hii?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Sep 24, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,670
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Oh okay...shukran.
   
 12. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #12
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  nakubaliana na wewe Kaunga lakin nimejiuliza maswali mengi sana juu ya huu mkasa ivi vijana 8 kila mmoja avue nguo ama atoe uume wake mbele ya wenzake muingie kwa folen kwa mtu mmoja kweli wako na utimamu wa akili?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #13
  Sep 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Hebu niambie adhabu gani ambayo ingenfedhehesha kiasi kwamba atajiuliza mara kumi kumi kuhusu kurudia tena. Yaani hiyo imegusa manhood yake kabisa, na atamuheshimu mkewe kama anaye!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Elijah

  Elijah JF-Expert Member

  #14
  Sep 24, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 1,671
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  mbaya sana,na yeye watamfededa tu
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Sep 24, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,670
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Hao wana gay tendencies.

  Mwanaume ambaye hana hizo tendencies hawezi kumfanyia mwanaume mwenzie kitendo kama hicho.

  Atatafuta njia zingine za kumuadhibu huyo mtu.

  Mfir.aji na m*****.ji wote ni wa.senge (ashakum....)
   
 16. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #16
  Sep 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Bangi na ugumu wa maisha unahusika; niliamua makusudi kutowafikiria hao vijana kwani ingecomplicate every thing, nimechagua uncle mtu na mpwa mtu ili mjadala uwe rahisi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #17
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  kuhusu adhabu hilo sijui lakin wafikir kwa alolipata ndoa itakuwepo tena? na je huyu bwana anafikiri kama mkewe hajatulia kwa alolifanya litamtuliza?
   
 18. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #18
  Sep 24, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ndio hivyohivyo umeelewa sasa..
   
 19. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #19
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  sawa ila sasa wafikiri kwa hili hata katika uakoo nani atakayeonekana mkosa?
   
 20. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #20
  Sep 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Huwezi jua, huenda wamendanganya mkewe lkn pia labda mkewe ni mvumilivu.

  Ukisema huyu bwana una maana mpwa mtu? Sijaona shida yeyote kwenye ndoa yao, hivyo swala la kutulia sijui lahusikaje. Nieleweshe!
   
Loading...