Kafedheheshwa kisa mke wa mpwawe...

Yaani mjomba kakomeshwa hasa, hili ni fundisho na kwa wengine wenye tabia kama ya mjomba, hamridhiki na wake zenu, mweeeh!

Nimeshindwa kujizuia kucheka na kukuonea huruma, jinsi unavyomsikitikia huyo bazazi wa matendo kwamba mzigo alimiss na bado mshiko ukamtoka na wakamdu; haya nimekubali sio vizuri ila kiukwelii nimefurahi! :biggrin:
 
Mshahara wa dhambi ni mauti. Mjomba mtu aliona vyaelea hakujua vimeundwa na kuwezeshwa! Sijui ni kwa nini watu hatuna kiasi. Cha mtu mavi wajameni.
 
Back
Top Bottom